A
Anonymous
Guest
Watendaji wa halmashauri ya wilaya ya mkuranga wanatoza ushuru wa manunuzi ya viwanja vya futi 50/40 kwa wananchii wanayonunua viwanja hiyo.
Huku wakitambua kuwa ni kosa kisheria kuuza viwanja hivyo na kutoza tozo hizo ambazo ni kinyume na taratibu za mipango miji.
Kwa mfano mwananchi akinunua kiwanja hicho kwa shilingi milioni mbili anatakiwa kulipa laki mbili kwa mtendaji wa Kijiji fedha hizi zinakusanywa bila kuwa na sheria mama Wala by laws ukihoji wanakufukuza