Kwa wanunuzi wa Hisa kuweni makini na Brokers

The Dojin

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2026
Posts
437
Reaction score
782
Habari,

Kwa mtu mwenye ndoto ya kununua Hisa za makampuni mbali mbali jiepusheni na Tanzania Security Limited(TSL) Kwa sasa huyu broker ameshakuwa broke embu fikiria kama kampuni inaweza kuzima namba za huduma Kwa mteja siku nzima je Hisa zako zitakuwa salama, kama unaweza kuuza Hisa zako ukakaa zaidi ya mwezi hujalipa hela zako ukifuatailia unajibiwa utalipwa baadae unakaa zaidi ya mwezi na malipo Yako hayajalipwa epukeni kama ukoma Kwa brokers wababaishaji

Nawasilisha
 
Du! Hatari sana!
Asante kwa Taarifa
 
Nilishasema haya mahisa, maUTT kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"

kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!

aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tuko hapa SIKU YAJA.
 
Brocker gani ambao nisalama kwenye soko hisa
 
Back
Top Bottom