Ukiona mdada anavaa nguo za mpenzi wake wa kiume, kama; mashati, tshirt, bukta, boxa, suruali, vest n.k Juwa mmewe/mpenzi wake anamkoleza ipasavyo.
Ni vigumu, mtu kusema habari za mpenzi wake; hasa mambo ya sirini na kuyaweka hadharani. Ila kwa kuangalia vitendo, utagundua uwezo wa mwenza wake...