wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wapi wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel na vyuma vya canopy

    Msaada waku naulizia wapi au makampuni Gani wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel navyuma vya nguzo za conopy na vifaa vyake oringina msaada wenu Dee pond ,agroprodct na wadaut wangine
  2. Ni wapi naweza kupata sigara nikauze jumla? Nipo Dar

    Habari, Mimi ni mfanyabiashara nipo Dar, Mabibo. Nilikua naulizia wapi naweza kupata sigara ili nije kuuza Bei ya jumla?
  3. J

    Maagano ya Ukoo Yalitoka Wapi

    Maagano ya Ukoo Yalitoka Wapi Chanzo cha maagano ya ukoo kwa kifupi Katika biblia, Yohana 8:36 inasema, “Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli” Hebu tujiulize, ni kwa nini Bwana Yesu alipokuwa anakata roho pale msalabani, alisema neno moja tu. Alisema “imekwisha” (Yohana 19:30)...
  4. Hawa wanajifunzia wapi haya mambo?

    https://www.facebook.com/reel/901390448542878
  5. Freeman Mbowe yuko wapi?

    Ni miezi sasa inakatika mwenyekiti wa Chadema yuko kimya bila kutoa neno wakati 1. Wagombea wa Chadema wanakatwa nchi nzima 2. Rushwa na pesa chafu zimetapakaa kwenye chaguzi za Chadema 3. Kuna ugomvi mkali kati ya Tundu Lisu na Benson Kigaila 4. Kuna ugomvi mkali kati ya Benson Kigaila na...
  6. Maana ya jiji iko wapi kama hawako mstari wa mbele katika majanga makubwa?

    Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala? Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au...
  7. R

    Wapo wapi viongozi wakuu wa dini kwenye tukio lakuanguka kwa jengo la Kariakoo? Unaridhika na response yao?

    Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai. Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga...
  8. Wapi kuna mashamba ya sh 150,000/= mkoani Njombe

    Habarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"! Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe. Katika hiyo ziara, nilibaini kuwa mashamba si ghali kwenye hiyo "nchi". Maeneo jirani na mijini ekari moja ni...
  9. Tanzania, hapa tunatosha wapi?

    Aristotle, the great philosopher, alisema unaweza kuainisha serikali zote duniani katika haya makundi sita. Mimi binafsi naona nchi yangu ipo kwenye Oligarchy.
  10. Oparesheni Ahadi ya 3 ya Iran (Operation True Promise 3) imefia wapi?

    Tulisikia sana, na wababe wa Tanzania wakaimba Mazayuni watajuta. Anga likafungwa tarehe 4 hadi 6 Novemba 2024 tukajua ahadi ya 3 ya ukweli imewadia. Nauliza, hii oparasheni tuliyoingojea kwa hamu kuwaadhibu mazayuni imefia wapi? Au Iran karidhika na majibu ya mazayuni au wanasubiri Turampu...
  11. KERO Kutoka Kibada mpaka Mwasonga ni kilometer 18 tu, nauli inakuaje 1200? Latra mko wapi?

    Kwema wakuu? Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi feli. Toka nauli ipande ikasogea mpaka 1000 na muda huu naandika hapa nauli kule ni 1200 Kwa mujibu...
  12. D

    Nchi imekuwa tamu sana. Mzunguko wa pesa mzuri mno na pesa iko mtaani tofauti na miaka mitano iliyopita. Hivi mama ulikuwa wapi?

    Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors. Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super...
  13. Shule nyingi za private zinaajiri waalimu kutoka kenya kama taifa tunafeli wapi.

    Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu. Mzazi ukienda kutafuta shule kwa ajili ya mwanao basi sifa utakazopewa kuhusu shule husika basi utaambiwa...
  14. Hivi majibu ya Postmortem ya Kifo cha Mzee Ali Kibao yameishia wapi? Tuliambiwa yanatoka baada ya Saa 24 tu mbona kimya?

    Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa mwezi mzima umepita tangu mauaji ya kikatili ya Mzee Ali Kibao, lakini mamlaka bado zimeendelea kuwa kimya kuhusu ripoti ya uchunguzi wa kifo chake. Awali, ziliahidi kwamba matokeo ya uchunguzi yangewekwa wazi ndani ya masaa machache, lakini hadi sasa hakuna...
  15. Ule utu baina yetu sijui umeenda wapi?

    Nime angalia ile clip ya bwana Tarimo anavyo buruzana na wale vibaka kuna watu wanapita tu kama hawaoni na isitoshe gari iliyotumiaka ni binafsi na wanaojifanya polisi hawana sare na wakina mama wanaangalia tu badala yakupiga kelele,ili hali siku hizi kuna utekaji,kweli huu ndio utanzania wetu?
  16. "Watekaji" wanatoa wapi pingu?

    Nilikuwa nikifikiri pingu zinapatikana Polisi tu, lakini kumbe hata "watu wengine" wanaweza kuwa nazo! "Watekaji" waliomteka marehemu Ally Kibao na hatimaye "kumpoteza", walikuwa na pingu. Lakini Jeshi la Polisi lilikana kuwatambua, kwa hiyo "hawakuwa" askari Polisi. Waliojaribu kumteka...
  17. Kama unatokea Kimbiji, kati ya Chamazi na Mwenge wapi ni mbali zaidi?

    Ili kuendelea na drama zao za sizitaki mbichi hizi, msemaji wa Deportivo la Utopolo amenukuliwa akisema kuwa uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi ni mbaaali sana kwao ni kama walikuwa wanasafiri kwenda mkoani. Sijajua hili wamegundua lini maana walikuwa wanapasifia balaa hadi pale walipopokea...
  18. Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

    Friends and Our Enemies, Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo. Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu...
  19. Mmawia kada wa CHADEMA yu wapi?

    Kama anavyo onekana kwenye picha kada maarufu wa chama cha maendeleo ufipa Chadema Mmawia
  20. M

    Wapi nitapata jenereta nzuri ya 25kVA mpya au used

    Habari wakuu! Nahitaji kupata jenereta nzuri ya 25kVA – mpya au used. Kama kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata na bei zake zinavyorange, tafadhali naomba ushauri wenu. Asante!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…