wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusoma 12

    Leo dollar moja ya Marekani imesimama 2700 kwa shilingi ya Tanzania, tumekosea wapi kama taifa?

    Hii wachumi tunaomba mtupe shule kidogo, zipi athari zake kiuchumi kwa maisha ya mtanzania? Ukosefu wa ajira na matatizo ya kiuchumi vijana tutachomoka?
  2. J

    Mbinguni ni Wapi?

    Mbinguni ni Wapi Mbinguni ni Wapi Katika Biblia, neno mbingu linatumiwa kwa maana zaidi ya moja kumaanisha mbingu halisi; makao ya kiroho, na cheo kilichokwezwa au kutukuka. Katika kila maana, hali iliyopo inasaidia kutambua ni maana gani iliyokusudiwa. 1. Mbingu halisi: Kitabu cha Mwanzo 1:20...
  3. Mpekuzi Tanzania

    Yupo wapi mtangazaji Gerald Hando

    Baada ya usajili wa Mussa Kipanya pale Wasafi FM kwenye kipindi Cha Good Morning. Huyu Mwamba simuoni. Napenda kujua yupo wapi Mimi ni mfuasi wa utangazaji wake
  4. Vincenzo Jr

    FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Kagera sugar FC🆚Yanga Sc saa 11 kamili jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko mpira umeanza dakika ya 5 dube anakosa goli la wazi dakika ya 10 kagera sugar 0-0 yanga sc dakika ya 19 dube anakosa goli la wazi...
  5. Tajiri wa Babeli

    Ni wapi naweza nikapata sigara.?

    Habari zenu? Mimi ni mfanyabiashara ajaye nipo mkoa wa Lindi nilikuwa naulizia ni wapi ninaweza kupata sigara ili mimi nije niuze kwa jumla.?
  6. W

    Yuko wapi Mtoto aliyeimba na Kala Jeremiah 'Wana Ndoto'?

    Miriam Thomas Chirwa, anayejulikana kwa jina la "Mwinjilisti Miriam," alizaliwa tarehe 15 Septemba 1998, akiwa na ulemavu wa macho Alianza safari yake ya muziki akiwa na umri wa miaka 6, ambapo alirekodi nyimbo 5. Akiwa na miaka 10, alirekodi nyimbo 10 na kutoa albamu yake ya kwanza "Mseme...
  7. ndege JOHN

    Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

    Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapata tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje...
  8. ndege JOHN

    Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

    Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapa tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
  9. Mi mi

    Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja

    Deusdedith Soka Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili. Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
  10. mkolaj

    Jukwaa la Jamii forum doctor au Jf Afya limepotelea wapi?

    Ndugu wanaJf ni simu yangu tu au na ninyi kwenye simu zenu Jukwaa la Afya kutoonekana! Tangu Jana nalitafuta silipati. Kuna shida gani! Naomba mwenye kujua tatizo atuambie....
  11. Mmawia

    Lissu hofu yako ya fedha chafu ndani ya Chadema inatoka wapi?

    Nimemsikikiza vizuri sana makamu mwenyekiti wa Chadema kwa makini sana kupitia kituo komoja cha habari jana. Anasema anahofu kuwa fedha haramu zinaweza kuingizwa ndani ya Chadema. Lissu ni makamu mwenyekiti wa Chadema ambaye yupo ktk top 3 ya viongozi wakuu wa chama. Inakuwaje awe na mashaka...
  12. A

    KERO Makampuni ya mikopo na matangazo yao ya biashara yanaingilia faragha zetu

    Kumekuwa na tabia ambayo imezidi kumea katika jamii yetu na nchi kwa ujumla kwa makampuni ya mikopo kutuma msg kwenye siku zetu wakitangaza huduma zao. Idara za masoko za makampuni ya kukopesha yamekua yakituma msg kwa wananchi kujitangaza ili kuoata wateja. Hofu yangu kubwa ni wapi wanapata...
  13. Pfizer

    Simba Tundu Lissu: Historia Yake na Je, Unaweza Kumuona Wapi Live Baada ya Kizimkazi?

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), mnyama anayeongezeka umaarufu sasa nchini ni “Simba Tundu Lissu” alizaliwa Dar es Salaam Zoo, nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam eneo la Mwasonga, Kigamboni. Alizaliwa Januari Mosi, 2018, hivyo kwa sasa ana...
  14. Ibrahim A.S

    Wapi nitapata hivi

    Habari wana JF, Naomba kuuliza wapi nitapata viti hivi hapa Dar. Natanguliza shukrani.
  15. Suley2019

    FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

    Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi sana. Dakika 4, Yanga wamekosa nafasi ya wazi baada ya Prince Dube kupiga mpira ukagonga nguzo ya goli...
  16. hitler2006

    MBWA WA MASAKI NA WATANDALE WAPI WANABWEKA SANA

    Nimejikuta najiuliza tu swali hivi mbwa wa huko ushuani kama njiro,capripoint,osterbay nao wanabweka sana kama wa huku kwetu uswahilini maana huko ushuani nasikia wana majina eti mara german shephard...na wa huko wanashinda indoor well fed,wanaratiba ya kuonana na vet,lakini pia hawapati kadhia...
  17. Mzee Mwanakijiji

    Swali Muflisi: Kwani Hawa Walitoka Wapi?

    Na. M. M. Mwanakijiji Tanzania imewahi kukumbwa na kashfa kubwa tu zilizokuwa zinahusisha mali ya asili au mali ya umma (Hakuna mali ya serikali). Kashfa kubwa zaidi ambazo zilizizima katika taifa letu zilianza miaka mingi nyuma lakini hakuna ambayo iligusa akili na fikra za Watanzania kama...
  18. Pdidy

    HIVI WALE WEZI WA SIMU NA MICHEZO YA KARATA PALE RIVERSIDE TO UBUNGO WAMEENDA WAPI??

    DAHA ILE SEHEMU ILIKUWA KAMA GAZAA YAAN USITEMBEE RIVERSIDE KUIONQA UBUNGO WANAUME HAOOO WAMEKUPITIA NA SIMU WAKIKUKOSA SIMAMA KWENYE KARATA USHANGAE MIUJIZA WANAKUPITIA DAH..YAAN ILE SEHEMU NILIHESHIMU JAMAA MMOJA ALIIBIWA JAMAA AKAENDA PALE KWA .......KURIPOTI AKAITWA JAMAA MMOJA AKAHOJIWA...
  19. M

    Gari za kwenda bagamoyo zinapatikana wapi

    Habar wakuu hivi gari zakwenda bagamoyo unapandia wapi mwenge au makumbusho au tegeta
  20. Kaka yake shetani

    Hivi kama Serikali kutumia polisi wanataka matatizo ya wananchi wasikilizwe wapi?

    Vilio vya wananchi vimekuwa vingi sana mpaka wabunge wa CCM naona kama pale dodoma ni kujaza vyoo vya dodoma. wananchi ndio viongozi wao ila leo mpaka mawaziri wakiongea kwa kejeli kuwa wanajitka,hakuna kosa kwenye serikali kukosea,TRA siyo tatizo. ili litafikia mwisho kwa nchi zilizochoka...
Back
Top Bottom