Hii biashara ilipokuwa imepamba moto, MATAGA walifurahia sana wakiamini CHADEMA itakufa kutimiza azima ya mwenyekiti wao(Mwendazake).
Tulishuhudia wimbi la baadhi ya madiwani, wabunge na wanachama wa CHADEMA wakihamia CCM huku baadhi wakipokelewa kwa mbwembwe kama zile Bombardier au wafalme...