Naona baada ya Mwanza SASA NI Simiyu to Mara, wananchi wanaonekana walikuwa na kiu Kali Sana. Tofauti na msafara wa Mhe. Rais hakuna mapokezi mengine yanayofanywa na wananchi Kwa wingi huu. Si Katibu Mkuu CCM wala Makamu Mwenyekiti, voluntary show up inaridhisha natumaini kwamba mama ameifungua...
Jameni Urusi watatumalizia vijana wa Afrika walioko huko, wameishiwa wanajeshi sasa wanalazimisha watu kwenda kupigana na kufia huko... Ukraine wanafyeka hawajali nani wala nani.
Federal news agency
The funeral of Tarimo Nemes Raymond, a citizen of Tanzania, who fought near Bakhmut as part of...
Nimekuwa nikipita humu mara kwa mara na threads nyingi zimekuwa zikimtakia au kumuombea mabaya Waziri wetu Mkuu mchapa kazi hodari mzalendo wa kweli asiyependa uzembe utokee popote, amekuwa akipigwa Vita na vya kimtandao wa kumuombea mabaya yamfike.
Nadhani pengine hili linatokea baada ya...
Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali
"hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni kweli tuna wanasheria, jee wanasheria waliopo ni wapo kweli au ni wapo wapo tuu?!. Kama kweli Tanzania...
Huyu ni binti aliyejisitiri kwa kuvaa kiheshima akimuogopa Mwenyezi Mungu. Kati ya begi za shule alizochagua au chaguliwa hili lenye rangi zao ndio kaona linafaa pasipo Yeye kujua kipi anapromote zaidi ya mbunifu wa begi hilo akiwa anajua hajaweka kwa makusudi rangi zao.
Pana siku nilimuona...
Hii hali mnadeal nayo vipi malegendi.
Kashakula, kashakunywa, shopping, n.k. lakini umeomba game ndio anakupa taarifa kwamba yupo siku zake...
Mbaya zaidi time frame mliyonayo ni siku hizo ambazo atakua kwenye siku zake, hadi azimalize ni yeye au wewe utakuwa umeondoka,
Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi?
Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya?
Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au...
Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu.
Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga...
Yaani wanawake wapo wengi sana Kila Kona unakunana na mwanamke Tena sio mwanamke tu Bali ni mwanamke mrembo.
Kwanini utembee na mke wa mtu?
Yaani hakuna maumivu makali kama kuchapiwa mke wako amini hili.
Trauma anayoipata mwanaume kisaikolojia ni mara mia apigwe risasi ya trako.
Mkesha wa...
Anaandika; Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi.
Kesho ni mwisho wa Mwaka. Kuanzia majira ya 12:00 - 4:00 Usiku nitautumia muda huo kuombea watu wote wenye kuhitaji msaada wa KUOMBEWA.
Nafahamu sio Watu wote wanaoamini kwenye mambo ya maombi. Nawaelewa Watu wa Aina hiyo. Maombi haya ni Kwa...
Nashangazwa na viongozi wetu wa siasa kuwa very active kwenye social media kupost mambo wanayoyafanya, but ukisema uwafuate inbox kuwaeleza changamoto yako hawakujibu
Moja kati ya viongozi niliojaribu kwenda nao dm ninpamoja na Waziri wa maji (Juma Aweso) na Nikki wa Pilli.
Watu watano waliofariki kwa ajali ya gari mkoani Morogoro wametambuliwa wakiwemo mume na mke, ambao pia ni wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro , Fortunatus Musilimu alisema ajali hiyo ilitokea usiku wa Desemba 26,2022, eneo la Iyovi, Kata na...
Hadi kufikia Desemba 1, 2022, Wanahabari 363 walinyimwa Uhuru wa Kazi yao duniani kote ikiwa ni kiwango kipya cha juu zaidi kwa 20% kulinganisha na mwaka 2021.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari (CPJ), Waandishi wa Habari wasiopungua 56 walifungwa barani Afrika mwaka...
Hawa TBC sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa.
Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za kombe la dunia cha ajabu game inaonyeshwa moja moja tena wakati ambao umeme haupo.
TBC ni wahuni tu...
Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata.
Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi?
Kuna tetesi zipo kwamba Feisal...
"Wachezaji wanaocheza kama Tuisila Kisinda wapo wengi sana pale Tandika Mabatini"
Haya sio maneno yangu ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma.
My Take: Kamati za usajili kuweni makini hasa kwa wachezaji kutoka nje
To be honest Huu uongozi ni Sahihi kwa ustawi wa Taifa .
Nipo DSM naona miradi ya kuchagiza uchumi ikianzishwa , simaanishi madaraja no hapa nazungumzia Mambo muhimu tu.
Vijana wanapambana life goes on
Vitu vimepanda Bei Sana lakini hela ukijituma unapata and you can afford to pay bili zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.