1. Farid Musa
2. Bakari Mwamnyeto
3. Feisal Salum Fei Toto
Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe.
Na kwa wale wa benchi la ufundi (siyo wachezaji) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka ndimu au malimao karibu...
CHADEMA wapo kimya ila CCM wenyewe kila siku ndiyo wamekuwa wasemaji kwa niaba ya CHADEMA. Yaani CHADEMA wakitaka kusema CCM wanatumia vyombo vya dola kuwazuia kusema, wakikaa kimya bado inakuwa nongwa.
CCM wanaanza kuuliza "Mbona CHADEMA wapo kimya".
Wale ambao wapo kwenye ndoa fanya yafuatayo utakuja kunishukuru
Acha kushika wala kufuatilia simu ya wife.
Usimpende kupita kiasi.
Chukulia poa kila issues.
Mwanamke yeyote duniani anatongozwa sana tu, kwa hiyo we potezea kumfuatilia wife, cha msingi usijue chochote.
Kuwa busy kutafuta hela...
Ili uwe mwanasiasa kwa siasa za kiafrika lazima uwe mnafiki.
Lazima penye uongo ukubali na kusapoti huku ukikenua meno.
Hayati Magufuli alikataa unafiki na ndiyo maana mpaka leo Watanzania wanasikitika.
Lissu hakujua Mbowe na wana CHADEMA ni wanafiki na wachumia matumbo.
Wakamtumia Lissu...
Habari za sasa wanajamii , natumai ni nzuri.
Nilikuwa na maswali kadhaa kuhusu ziara za viongozi wetu wakuu wa nchi wa tatu (Rais, Makamu wa Rais, na Waziri mkuu)
1. Je ziara za viongozi wetu hawa kwa mataifa waliyo enda kuzuru zitatamatika lini kwa kila mmoja?
2. Kulikuwa na umuhimu gani kwa...
Kwa sasa Dar es Salaam ni kama imeanza kutikisika, haijafikia kiwango hicho lakini kiuhalisia kuna mambo hayako sawa hasa yanayohusu ulinzi.
Hawa vijana wa Panya Road sijui niseme wanachekewa au mamlaka hazijapata jibu hasa la kudili nao, wenyewe mamlaka za ulinzi zinajua zinachokifanya.
Juzi...
Utangulizi
Utayari ni hali ya kuafiki au kukubali jambo fulani. Hivi sasa kumekuwa na mikanganyiko ya aina mbalimbali baina ya nchi na watu wake, huku ikionekana kuwapo kwa upinzani kutoka kwa wananchi juu ya masuala mbalimbali yahusuyo uendeshaji wa nchi kwa ujumla.
Mpaka sasa ni dhahiri kuwa...
Utafiti uliofanywa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya Kazi, Uhamiaji na Walk Free Foundation umebaini kuwa hadi mwaka 2021, watu milioni 28 walikwama kwenye kazi za kulazimishwa huku milioni 22 wakiishi kwenye ndoa kwa kulazimishwa.
Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Guy Ryder...
Wanawake watatu kati ya Wanajeshi 49 raia wa Ivory Coast wameachiwa huru kutoka katika mamlaka za Mali huku wengine wakiendelea kushikiliwa.
Wanawake hao wamerejea Ivory Coast ikwa ni wiki 7 tangu waliposhikiliwa.
Kundi hilo la Wanajeshi lilishikiliwa tangu Julai 10, 2022 baada ya Mali kudai...
Si vizuri kuwa singo, kipindi hiki cha mwiso wa wiki (weekend), wakati unaweza kumshika shati Hamisi/Ashura, na mapumziko ya mwisho wa wiki yakawa safi kabisa.
Yeyote aliye singo wkend hii, anyooshe mkono juu
Wadau!
Nimekaa na ku-observe kwa muda sasa huu upande wa Youtube ukiachana na wasanii na chaneli maarufu za habari na udaku kupata views nyingi Youtube na hata watu hawa kutumika kama mabalozi wa makampuni kadhaa - hii huwaingizia pesa. Youtubers wapi wengine ambao wapo tunawaona kweli...
Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu.
Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza vifo saba vilitokea maeneo ya Mvara na Oluko na vingine saba vimetokea Madi Okollo, yote yakiw ani...
Kabla ya vita ya pili ya Dunia, China ilikuwa ikiongozwa chama cha Wakoumitang. Wakiita nchi yao Republic of China. Hawa walikuwa chini ya Kai Shek. Wakoumitang walifanya kazi kubwa sana kuiunganisha China. Wakikomesha wababe wa kivita vurugu zingine. Lakini wakatokea wapinzani wao. Wacommunist...
Wakuu sina haja ya salam.
Huu ni ushauri tu kwa nyie mnaopenda visafari vya hapa na pale. Watumishi wa kada ambazo zipo likizo kama walimu nawashauri mtulie tu makwenu.
Kwanini nasema hivo, hii likizo ni ndefu kina junya nao hawaendi shule wapo tu wanaangalia katuni nyumbani kwao, ili...
GENTAMYCINE sijasafiri muda mrefu sasa kwenda 'Majuu' sijui nimechokwa au? Ngoja nilazimishe sasa kwenda hata China kwa Makamarada (Comrades) na wao wakinikataa nitaomba kwenda Ukraine au Urusi (kwenye Vita) japo naogopa Kufa kwani naivizia sana 2025 ili nami niweke Historia yangu na siyo...
Ilikuwa ni tarehe 21-11-2020 siku ya Jumamos ambapo mtoto Nassir Jumanne mande mwangopola alipotea Chunya mjini, moja ya wilaya ya Mbeya.
Wazazi wa mtoto, baba yake Jumanne Mwangopola na mama yake Shamimu Shabani walifanya jitihada kubwa kumtafuta lakini jitihada hazikuzaa matunda.
Leo hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.