Yani inauma sana hawa wakenya wanajua kutembelea code za Tanzania kwenye fursa zilizopo hapa. Kumbuka Kenya asilimia kubwa imejaa kikabila kuongea na ndio maana lugha yao kubwa ni Kingereza ila suala la kujitangaza kiswahili kipo kwao wameshinda hili.
Nimeshangaa fursa hii tumeshindwa kupeleka...
Madrasa zimekufa, wanaoenda ni watoto wadogo na wakifika umri fulani wanaacha, shuleni nako kwenye secular hawafanyi vizuri hata somo la maarifa ya uislam wanafeli. matokeo yake ni kuvaa hijabu mtaani kisha kushindana kucheza challenge za nyimbo huko Tiktok, kifupi naweza sema kwa sasa waislam...
Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale.
Mume hana shughuli yoyote...
Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.
Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza...
Wakuu nauliza hawa LATRA alieanzisha aliiweka kwa niaba ya nani? Wafanya biashara wa magari au kwaniaba ya wananchi?
Mimi nina uhakika ipo kwaajili ya wafanya biashara wala si wananchi, kwasababu; mafuta yakipanda tu wafanyabiashara wanapiga kelele nauli ipande nao (LATRA) wanapandisha nauli...
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba...
Entitlement kwa ndugu wa kiafrika ni tatizo kubwa sana, mtu anajihisi kwamba kwavile ndugu yake kafanikiwa basi ana haki ya kupata sehemu ya mafanikio ya ndugu yake, nadhani hata wachezaji wengi wa kiafrika wamelalamika hili jambo kwamba ndugu wanahizi matatizo yao yote inabidi yashughulikiwe na...
Hapa sizungumzi kazi za kijanja janja unaotea kwa muda mchache unapiga dola kadhaa alafu baada ya hapo mchongo unakuwa ushachuja unaanza upya kujitafuta kwengine, nazungumzia kazi iwe ya uhakika kiasi kwamba kuna watu wamezigeuza ziwe ajira rasmi wanazifanya hata kwa miaka mitatu +.
kazi ziwe...
Leo Jumatano 24.01.2024.
Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki Tanzania
Kikosi cha Tanzania
Kikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo
Mpira Umeanza...
Tanzania...
TCRA Wametoa report ya Q2 inaonyesha watumiaji wapo 35M wa internet.
Hii ni work force kubwa sana , na ni muda wa serikali kuwaza sasa kutengeneza ajira za mitandaoni nyingi sana.
Ukosefu wa ajira za kawaida na ongezeko la watumiaji wa internet inaleta picha ya ama serikali itengeneze ajira...
Anaitwa Bruce Africa.. Nimeusikia wimbo wake hapa. Ukaniamsha usingizini.. fasta nikasema. Nimshazam..
Wimbo wake huu My love ni mkali. Sasa nikajiuliza mbona ha hit ana ana ngoma kadhaa .
Kweli game ngumu.
Takwimu za vifo Gaza ni kubwa mno kiasi kwamba inakadiriwa kati ya kila wapalestina 20 mmoja kati yao ameuliwa.
Suala la vifo zaidi ya 100 na baadhi ya siku mpaka 700 ni kitu cha kawaida.Kuna wajumbe wa UN wanasema hawajawahi kushuhudia uwiyano wa vifo namna hiyo katika vita vyovyote duniani...
Danguro la Mabinti wenye asili ya kihindi na Nepal lavunjwa jijini Dar-es-salaam.
Aisee watu ni wasiri sana, kwahyo mlikuwa mnazichakata Mbususu za Kihindi peke yenu bila hata ya kutuambia nasisi.
Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE.
SOME THING MUST BE DONE.
WE CANT GO ON THIS WAY.
WE NEED THIS GOVERNMENT OUT,
BY ANY MEANS.
WE NEED...
KUSEMA MTOTO KULELEWA NA BIBI NA BABU ATAHARIBIKA NI UONGO KWA SABABU TUPO WENGI AMBAO HATUJAHARIBIKA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Katika vitu najivunia na kumshukuru Mungu katika maisha yangu ni kulelewa na Bibi na Babu. Kwa kweli Mungu kwa hili namshukuru sana. Ulikuwa mpango mzuri...
Ndg zangu.
Kipindi hiki ni wiki moja watoto wakiwa wameanza likizo napenda sana kuwafundusha mapishi mbalimbali. Tukiwa jikoni yaani ni kama hotelier vile.
Sasa sijui wife anawaza nini ndoa isije tetereka
Wanaukumbi.
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilisema kuwa Hamas imewaficha mateka kwenye mahandaki kumbe ni uongo baada ya kushindwa kujua walipo mateka wakaamua kudanganya, kumbe mateka wote wanaishi kwenye nyumba za kawaida majigambo mengi wanaenda kuwaokoa mateka wameishia kuwauwa watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.