Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa.
Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama...
Mbunge wa vitu maalum Mkoa wa Mbeya Mhe. Suma Ikenda Fyandomo, ameshtukia mchezo unaofanywa na wataalamu katika ujenzi wa stendi ya mabasi katika Mamlaka ya mji mdogo wa Tukuyu Mkoani Mbeya, kwa kupanga tofali ndogo za nzege (PAVING BLOCK) zilizo chini ya kiwango hali inayo hatarisha ubora wa...
Salaam, Shalom!!
Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti katika Nchi yetu.
Tulipokuwa tukichangia thread iliyosema :
"Bandari, ardhi na maliasili zetu ni Mali...
Watu wanalitumia fungu hili kuhalalisha kula wanyama ambao wamekatazwa katika kitabu cha Mambo ya walawi. Na kwa kuweka mambo sawa fungu hili halizungumzii vyakula, na kudhihirisha hili ukisoma hiyo matendo ya mitume 10 yote utaelewa.
Fungu lenyewe linasema "Sauti ikamjia mara ya pili...
Serikali imefanya jambo jema sana kuruhusu safari masaa 24, matumizi ya gari ndogo na Costa kupakia abiria usiku, matumizi ya magari ya magazeti na IT kutumika kubeba abiria yamepungua na sasa watu wanasafiri salama na mabasi yaliyoruhusiwa
Kutokana na ubora wa mabasi yanayotumika sasa huko...
Baada ya kuizingira Gaza na kuhakikisha hakuna gaidi litakalotoroka, sasa wafaulu kuingia mjini kati.
=========
Defence Minister Yoav Gallant said on Tuesday, November 7, Israeli forces were operating "in the heart of Gaza City" one month after Hamas's bloody October 7 attacks, as the campaign...
Moja kwa moja,
Katika kipindi cha miaka 7 Dar sijawahi kushuhudia mvua kama iliyopiga siku mbili hizi haswa ya leo ndio bab kubwa sehemu nyingi maji yamejaa sana.
Tukirudi nyuma wakati tahadhari zinatolewa na TMA wabongo wengi mitandaoni na mitaani walikuwa wanabeza sana na wengine kuleta...
Wakuu,
Mbezi Beach inasifika kuwa kuwa na wadosi watu wazito na viongozi mbalimbali hasa upande wa chini. Lakini kipindi hiki cha mvua Mbezi haitamaniki, barabara za ndani ni mbovu kupita maelezo, yaani utafikiri uko pale urafiki wanapouza kwenye soko la ndizi.
Kwa kwa jinsi Mbezi Beach...
Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka.
Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi. Muhimbili (MUHAS) tunaojiunga au tunaotarajiwa kujiunga katika masomo ya Shahada ya Kwanza kutokea Ngazi...
Anonymous (1ea1)
Thread
diploma
heslb
kimya
mkopo
muhimbili
udahili
wanafunzi
wapo
wiki
Hamas: kumekucha Viongozi wetu wapo majumbani mwao, na si mahospitalini.
Wanapanga mikakati ya kuwamaliza Israel.
Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema madai ya utawala wa Kizayuni kwamba viongozi wa harakati hiyo wapo katika njia za chini ya ardhi ya...
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na sasa Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM wakati akipokelewa mkoani Dar es Salaam amesema;
"Tangu niteuliwe nimepata nafasi ya kupita kwenye mitandao, wengi wanahamaki na wengi wana bashasha, lakini wanaohamaki wengi wao wanawaza Makonda ataenda...
Namwambia rafiki yangu mpita njia kwamba zama zimebadilika, malaika anaetawala sasa ni malaika wa kheri. Watu wanaenda wapendako na wanalala wanapotaka wao. Enzi za kumiliki vikosi na magenge ya wahuni zimepita, hazipo tena.
Nakwambia wewe rafiki yangu mpita njia kwamba, zama za kutishia watu...
Maisha ya chuo yanaraha na karaha zake bhana yani ni sawa pepo na dunia unaishi muda mchache maisha magumu then unaambiwa bata lipo peponi unaishi katika uzima wa milele,naamini kabisa kwa mliosoma DODOMA UNIVERSIT -UDOSO sio kitu kigeni yaani mashauzi mengi na hasa mawaziri wa fedha(wanajiona...
Mdau mmoja kanipigia simu.
Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani.
Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu.
Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada .
Huu ni uzembe mkubwa sana.
Na ni hasa kwa jamii nyingi za kiafrika, mtu unakuta tu anapenda kuwatesa wanyaa na kuwadharau, ni mtu huyp huyo hujivika unafiki wa kwenda kanisani / msikitini wakati hutesa viumbe vya Muumba
Ng'ombe anayechelewesha msafara yuko mbele lakini unakuta mtu anamtia bakora ng'ombe wa nyuma...
Pamoja na mgao wa umeme, kuna sehemu hazitakiwi kukatiwa kabisa. Nimemsikia GUSSIE anasema wasikate umeme Kariakoo. Ukweli ni kuwa Kariakoo ni moja ya maeneo yanayotakiwa kukatiwa kabisa umeme iwapo kuna mgao.
Kariakoo ni eneo ambalo dola za nchi hii zinaoenda kupotea. Ndiko hazina ya nchi hii...
Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini.
Mfano Tandika
Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine.
Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula.
Warembo wa huku ni wale ambao hawana...
Ilikuwa 2002, nikiwa na miaka 8 tunilipata ajali mbaya tena mzaingira ya mbali na nyumbani.
Kwa wakazi wa mtoni mtongani kuna sehemu panaitwa ngazi mia kule relini. io siku mimi na jamaa zangu baada ya maumziko ya shule tulienda kutembea maeneo ya relini,zile ngazi zilikuwa nyingi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.