Mradi wa kuimarisha ubora wa elimu ya sekondari kwa njia mbadala (SEQUIP) umefanikiwa kusajili wasichana 3,616 kwa mwaka 2023 na 3,333 kwa mwaka 2022 wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21.
Wasichana hawa wanatarajia kurudi shule kuendelea na elimu ya sekondari baada ya Rais Samia Suluhu Hassan...