Mkazi Mmoja huko Mkoani Mtwara amewashangaza na hadi leo Kuwaacha Hoi Wananchi huko baada ya Kuanzisha Duka lake la Kuuza Bidhaa mbalimbali tokea Miezi Minne iliyopita ila huwa halifungi kabisa huku ikifika Usiku analiacha hivyo hivyo na kwenda zake Kulala eneo lingine lakini hakuna chochote...
Kama nitakuwa nakosea Wabobezi na Wajuvi zaidi mtanirejebisha na nitawashukuruni sana tu. Nijuavyo Mzukulu ni kwamba kama kuna Idara au Taasisi ambayo ipo nchini Tanzania na ina uwezo mkubwa mno wa Kunusa kila baya, kuliwahi na hata ikiwezekana kulikabili Kimedani kwa ama kushirikiana na Jeshi...
Za mida tena wakuu!
Kuna sheria ya mitandao ilitungwa kwa pupa na Bunge letu hili ili kutuziba midomo tusiripoti taarifa za kuikosoa serikali ya mtakatifu!mfalme!asiekosea! Malaika!mungu wa tz! Rais wa milele na mzalendo wa kule Chato!
Sasa kwa kuwa maji hayazuiliki kwa mikono wala huwezi...
Ustaarabu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya kila siku. Iwe ni maisha ya kawaida au kisiasa.
Hakuna ubishi kuwa serikali ya CCM chini ya JPM inakubalika kwa wananchi. Hii ni kwa sababu imeweza kufanya kazi kubwa ya kutekekeza ilani ya uchaguzi vizuri.
Sasa ninyi Chadema mmekosa mahala ambapo...
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali...
Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari polisi (bila kuonesha vitambulisho) wakiwa na silaha za moto wamewakamata madaktari wawili, Dr. Chriss Cyrilo (kushoto) na Dr. Shindo Kilawa (kulia) wakiwa maeneo ya Mbezi jijini Dar usiku huu.
Watu hao hawakutaja sababu za kuwakamata, zaidi ya kutumia...
Marekani walijua kabisa kwamba kulikuwa na kikosi kilichobatizwa jina la "Wasiojulikana" hapa nchini, kikosi ambacho kilijikita katika kuteka watu na hata kuua. Na Marekani waliona wazi kwamba wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani pamoja na waandishi wa...
Hapa ndio mahali ambapo Nchi yetu na siasa zetu zilipofikia.
Tunamshukuru Mungu kwa kumlinda Mh Ibra dhidi ya wahalifu wanaolindwa ambao walimvamia alipotoka kwenye mgahawa kuelekea nyumbani kwake .
Mungu ibariki Chadema
=====
Ibrahim John Mwampwani diwani wa kata ya Isyesye Jijini Mbeya...
Khofu hutumika kama mbinu ya kuwanyamazisha watu, kuwapora haki zao, kuwalazimisha kufanya mambo yenye maslahi na anayejenga khofu na pengine kupunguza uwezo wa kufikiri kwa yule anayetiwa khofu.
Khofu ikizidi kwa yule anayekhofishwa huongeza ujasiri na humfanya kufanya mambo makubwa kuliko...
Katika pita pita zangu za twitter kuna mdau katoa solution dhidi ya watekaji ambao tumewapa jina la watu wasiojulikana.
Anashauri kuwa wakati wa kuwa na silaha katika shughuli za harakati za kisiasa ni huu.ili wakitokea hao watekaji wapate kashkashi.
Je ni suluhisho?
Kumekuwa na matukio mfululizo ya watu kutekwa, na watu tunaoaminishwa na serikali yetu iliyoko madarakani kuwa watu hao ni watu wasiojulikana, matukio ambayo yameongezeka sana katika utawala huu wa awamu ya tano, matukio ambayo hapo siku za nyuma hayakuwepo.
Swali kubwa tunalojiuliza wananchi...
Ukifuatilia kwa karibu mbinu za watekaji au ukamataji wa raia ya wasiojulikana na dola zinafanana kwa kiasi fulani. Tofauti kubwa wasiojulikana wakiteka raia hawarudi lakini dola ikiteka au kamata raia atafikishwa mahakamani siku ya 2 au 3!! Lakini mbinu na mazingira ya ukamataji au utekaji wa...
Miaka kama miwili iliyopita kasi za kikundi cha "Wasiojulikana" ilikuwa ya juu ajabu. Kulikuwa na tetesi nyingi kuhusu nani hasa walikuwa nyuma ya hiki kikundi, na mengi sana yalisemwa.
Kwa wengi ilikuwa ni vigumu kuamini kuwa kikundi cha "Wasiojulikana" kilikuwa hakina uhusiano na serikali kwa...
Nimekosa usingizi nikaamua nianzishe thread hii.
Tujiulize, hivi Spika Ndugai anaposema Tundu Lissu hawezi kuhudumiwa na bunge katika matibabu yake kwa sababu alikiuka taratibu za kwenda kutibiwa nje, ana msingi gani katika hoja yake, ikiwa:
- Baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi na kufikishwa...
Asalaam Alleykum:
Mwaka 2017 ulikuwa na mbwembwe nyingi sana.
Moja wapo ya mbwembwe hizo ni zile za watu wasiojulikana ambao walipiga vita za madawa ya kulevya wakashindwa, wakavamia Clouds na kutisha watu, wakamiminia Tundu Lissu risasi na mambo mengi ambayo yalilitia doa nchi yetu kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.