wasiojulikana

  1. masopakyindi

    Watu wasiojulikana wamepotelea wapi?

    Hawa miamba waliotesa Awamu ya Tano , wamepotelea wapi?
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Bora tozo kuliko Kutekana na wasiojulikana

    Wakuu Kwema!!! Tutozane. Tukamuane, Tuzinguane, Tuchapane, Tuchanane, Lakini tusiuane. Kwa kweli Mimi Taikon naona ni mara elfu Tozo kuliko Kutekana, kuuana, kupotezana Kwa kisingizio cha Uzalendo, sijui maendeleo, sijui vitu gani. Nchi sasa inaenda Sawa Sawa, mambo yamenyooka. Mapungufu...
  3. G

    Hongera Sabaya kwa kufunua ukweli, pengine wasiojulikana watajulikana

    Kwa kifupi Sabaya amefunua ukweli ambao wengi tusingeweza kuufahamu kirahisi. Kwanza ni ujasiri mkubwa kuwataja viongozi wakubwa kwenye kesi ambayo inaonyesha Kuna uhalifu, Kukiri kwamba alitumwa na mamlaka ya uteuzi ni dhahiri kwamba kuna uwezekano kwamba nayo ilihusika. Wengi tunafamu...
  4. Father of All

    Ni wakati muafaka kuanza kuwafichua wale waliojulikana kama ‘Watu wasiojulikana’

    Habari za siku nyingi wana jamvi. Naomba niingie kwenye hoja moja kwa moja. Baada ya kufariki kwa John Magufuli ambaye serikali yake 'haikuwa' na uwezo wa kuwatambua na kuwashughulikia watu wasiojulikana ambao walitesa na kuua watu wetu wengi, sasa ni wakati muafaka wa kuwaumbua na kuwajua wale...
  5. kimsboy

    Rais Samia ni kiboko ya wasiojulikana, toka ameingia wanaharakati wanapata usingizi

    Huyu mama toka ameingia wanaharakati wa mtandaoni kwa sasa wanalala usingizi na hofu imeondoka. Nakumbuka kipindi cha mwendazake watu tuliishi kama digidigi. Ilikua kuikosoa serikali kinachofuata ni kifo au kupotea ila toka huyu mama aingie angalau tunapata na usingizi na amani hata ukiwa...
  6. Corticopontine

    Pwani: Mmoja afariki dunia baada ya nyumba aliyokuwa amelala na wenzake kuchomwa moto na wasiojulikana

    Mkazi wa Umwerani, Kata ya Kongowe, Kibaha Mkoani Pwani Mrisho Omary amefariki baada ya nyumba ya udongo iliyoezekwa kwa nyasi kuchomwa moto na Watu wasiojulikana akiwa amelala na wenzake ndani. Watu wengine waliokuwa kwenye nyumba hiyo siku ya tukio May 15,201 ni Mwalimu Ally Shaban na...
  7. M-mbabe

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya kutoweka kwa "wasiojulikana" na kuibuka kwa "majambazi" nchini?

    Ni mwaka jana tu hapa tulikuwa tukihabarishwa mara kadhaa kuwa baadhi ya wananchi (hususani wanaharakati na wanasiasa) walikuwa "wakitwaliwa" na watu "wasiojulikana". Hili iko well documented na sidhani kuna haja ya kupoteza muda kulirudia hapa. Kuanzia mwezi jana kumekuwepo na wimbi la...
  8. M

    Siyo kwamba nampenda Rais Samia, bali nafurahi hofu ya watu wasiojulikana imeondoka

    Ilifika mahali hata kuongea siasa unaangalia kushoto na kulia ndiyo uongee,tena na unayemuamini. Ilifika mahali ukiongea halafu ukataja neno Tundu Lissu badi kama pana mfanyakazi wa serikalini unaona amaondoka kimyakimya. Simu zinarahisisha biashara lakini ilifika mahali mtu hapendi muongee...
  9. Mag3

    Rais Samia Suluhu Hassan tusaidie kutengua kitendawili cha wasiojulikana

    Toka awamu ya tano iingie madarakani matukio ya kutekwa, kushambuliwa na kuuawa yalikuwa yakidaiwa kutekelezwa na watu wasiojulikana. Hadi hii leo ninapotoa ombi langu hili kwako, watekelezaji wa vitendo hivyo vya kutisha hawajaweza kubainika ni akina nani zaidi ya wasiojulikana. Katika hiyo...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

    Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita. Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC. Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo. Taarifa rasmi...
  11. S

    Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana

    Dada yangu Hilda, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila binafsi nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda. Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea hapa nchini, na katika hili la kupinga vitendo...
  12. Page 94

    Mlinzi wa mgodi wa Bilionea Laizer auawa na wasiojulikana, saba washikiliwa

    Nimesoma habari hiyo kutoka katika ukurasa wa ripota wa billionea huyo, Millard Ayo. Kwa kuwa JF ni kisima cha watu makini, hebu tujaribu kuelezana nini hasa inaweza kuwa sababu ya yeye kuuwawa? ======= Watu wasiojulikana wamemuua Manace William Lemoringeti, mlinzi wa mgodi wa Bilionea...
  13. R

    Uchaguzi 2020 Kama Amiri Jeshi Mkuu, tuambie hawa "wasiojulikana" ni akina nani tutakupa kura, mengine tutakusamehe

    Wakuu leo nimekuja na kibwagizo kipya. Kwanza tunaweza kukiri kuwa katika mambo ambayo ni makosa na ambayo hayawezi kuvumilika hata mbele za mwenyewezi Mungu ni kitendo cha mwanadamu kutoa uhai wa mwanadamu mwingine kwa sababu yoyote ile. Kisa cha Kaini kumuua Abel ni mfano tosha kwa sisi...
  14. G Sam

    Uchaguzi 2020 Mgombea ubunge jimbo la Mvomero kupitia CHADEMA ndugu Peter Mdidi ametekwa na watu wasiojulikana na kupelekwa kusikojulikana

    Huko Mvomero mgombea ubunge kupitia CHADEMA ndugu Peter Mdidi ametekwa na mpaka sasa haijulikani alipo PIA SOMA - Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana ~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia - Kiongozi wa Madaktari (Dr...
  15. GENTAMYCINE

    Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

    Yaani GENTAMYCINE na Jopo langu la Watu wenye Roho Mbaya za Ukweli na wanaojua 'Ndumba' na 'Fitina' za kila namna 'tusiojulikana' ndani ya CCM tukuamulie Wewe 'Mpuuzi' Mmoja halafu upite kwa Kutushinda? Kama ni Kamati yangu hii hii iliweza Kufanya 'Kafara' Kubwa Segerea Siku Moja kabla ya Mechi...
  16. D

    Lissu katika mikutano yake ya kampeni anasema yeye na Mwenyekiti wanatembelea magongo kwa kupigwa na watu wasiojulikana

    Jamani mimi naona kama wanatoa siri zao na kutuwezesha sisi wananchi kupata ukweli haraka na wa uhakika kuhusu hao watu wasio julikana. Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu pale Ufipa siku alipopokelewa nilifikiri hawakumwambia sasa nilipoona anazidi kuisema kilasiku na kila sehemu ndiyo nimekuja...
  17. Libya

    Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

    #Sasa basi === Taarifa ya awali inasema Watu ambao hawajajulikana, usiku wa kuamkia leo wamevamia na kumwagia petroli kisha kuchoma moto Ofisi za CHADEMA Kaskazini na ofisi za Mkoa na Wilaya Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea kubaini wahusika na madhara yaliyojitokeza ZAIDI: Ofisi za...
  18. Noel france

    Watu wasiojulikana ndiyo msingi wa CCM kupoteza uchaguzi huu

    Habari wanajukwaa! Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu ni wenye ushindani mkubwa sana, kwa pande zote. Kwa upande wa chama tawala, turufu yao kuu ni ununuaji wa ndege, ujenzi wa miundombinu mbalimbali, pia kuleta mabadiliko ya kiuongozi ndani ya taasisi za serikali. Kwa mfano: Katika baadhi ya...
  19. Superbug

    Nimelazwa Muhimbili ila sitaki mje mnione kwa kuogopa wasiojulikana

    Hapa ndipo tulipofikia kimsingi ingekuwa enzi za JK au BWM ningewaambia ndugu zangu nimelazwa wodi gani kitanda namba ngapi ila kwa hali ilivyo humu humu jf mnipe pole inatosha. Muhimbili ni kubwa ndio niko hapa moi kibasila mwaisela jakaya kikwete nk. Walioko hapa tujuane jamani nawatakia...
  20. Chief Kabikula

    Mungu Si Athumani Wasiojulikana Waanza Kujulikana

    Huyu jamaa sio polisi lakini yupo hapo anashiriki kukamata, kumdhalilisha, kumbuguzi, mchana kweupe
Back
Top Bottom