wasiojulikana

  1. Kamanda Asiyechoka

    Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Ndugu Watanzania, Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali. Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
  2. B

    Polepole: Ukiwa mwadilifu tegemea vikwazo kutoka kwa wahuni

    Pasi na kupepesa macho dhidi ya wahuni sikia mambo: "Kama si fitna, zengwe au kurogwa tegemea kujikuta ana kwa ana na wasiojulikana." Ama kwa hakika wahuni si watu wazuri! Tumesikia wakitishiwa watu kuuwawa. Uthibitisho kuwa wahuni huupiga mwingi hadi nje ya CCM. Tunaporumbana nao kuhusu...
  3. Sildenafil Citrate

    Uhuru Kenyatta afutilia Mbali wito wa Kustaafu Siasa baada ya Kutishwa na “Wasiojulikana”

    Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta, jumatatu hii ametupilia mbali ushauri na maoni ya Viongozi mbalimbali waliotaka astaafu Rasmi siasa za Kitaifa Nchini humo. Picha: Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta Akizungumza kwenye halfa moja ya Kitaifa ya Chama Cha Jubilee iliyofanyika jumatatu ya...
  4. BARD AI

    Kenya: 'Wasiojulikana' wavamia Studio za Redio na Bunduki huku kipindi kikiendelea

    Watangazaji wa Kituo cha Redio cha Mwinjoyo FM kutoka Nakuru Nchini Kenya wamejikuta kwenye wakati mgumu baada ya wanaume waliovalia nguo nyeusi na Viziba Sura kuwataka wazime matangazo na kulala chini. Baada ya maagizo hayo waliwataka Watangazaji kueleza kama kuna mtu mwingine kwenye jengo la...
  5. Suley2019

    Mwanahabari auawa na wasiojulikana Cameroon

    Mtangazaji na Mwandishi maarufu wa Habari za Michezo nchini Cameroon Anye Nde Nsoh, ameuawa katika mji wa Bamenda uliopo Kaskazini Magharibi mwa nchi. Ripoti zinasema kuwa Nsoh alikuwa kwenye baa alipovamiwa na watu wasiojulikana na kushambuliwa kwa risasi. Kwa miaka mingi sasa Bamenda imekuwa...
  6. R

    Je, wasiojulikana walichangia chochote kwenye upatikanaji wa Fedha awamu ya Tano?Je, waliopotezwa thamani Yao inaweza kulinganishwa na miradi?

    Awamu iliyopita kuliibuka kikundi cha wasiojulikana, wanapewa nguvu kubwa kiasi kwamba binadamu walioripotiwa kupotea au kutokuonekana au kutekwa vyombo havikuona umuhimu wakuwatafuta Kwa kigezo kwamba wamejiteka wenyewe. Kisiasa tulielezwa kwamba KAZI NI moja Tu, miradi ya maendeleo. Hakuna...
  7. K

    Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

    Gazeti la kila siku la Nipashe la leo limekuja na habari nzito inayoelezea namna ya mhasibu mkuu wa bank moja hapa nchini alivyotekwa na watu wasiojulikana kupigwa ,kuteswa kisha kuchomwa moto kwa petrol porini. ========= JESHI la Polisi mkoani Pwani limesema mhasibu wa benki ya BOA tawi la...
  8. Teko Modise

    Siku Watu Wasiojulikana walipoharibu magari ya Mbowe huko Hai

    LEO TENA KTK UNTOLD STORIES OF ZAMA ZA GIZA by Boniface Jacob Tuelekee huko Kaskazini Mwa Tz, Mkoani Kilimanjaro,Wilaya ya Hai. Ilikuwa Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 October 2020 ikiwa ni Siku 2 tuh baada ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Kufuatia Kuharibika kwa Uchaguzi Jimbo la...
  9. figganigga

    Asante BAVICHA Mkoa wa Tanga kwa Kuwamaliza Watu Wasiojulikana

    Salaam Wakuu, Kama mnakumbuka, Baraza la Taifa vijana la CHADEMA Mkoa wa Tanga, Walitoa siku nne Watu wasiofahamika Waliompiga risasi Lissu Wajitokeze. Na Wasipojitokeza Watasoma Albadir. Baada ya siku nne kuisha Wasiojulikana hawakujitangaza wakakaa kimya. Hivyo Albadir baada ya siku nne...
  10. sammosses

    Kumbe wasiojulikana bado wako kazini?

    Pamoja na utawala wa mwendazake kutamatika, bado mbinu chafu zinazoongeza hofu dhidi ya wnanchi na mali zao zinaendelea kwa kasi. Takribani wiki moja sasa imepita,siku ya Ijumaa iliyopita watu wasiojulikana wakiwa na gari nyeusi tinted, walimteka kijana mmoja mwendesha Toyo, maeneo ya kwa...
  11. Magonjwa Mtambuka

    Mwanasheria: Hakukuwa na hati ya kukamatwa kwa Dkt. Fred Matiang’i

    ======== Lawyer Danstan Omari was the lawyer who spoke to members of the forth estate alongside Raila Odinga at the Karen home of former Interior CS Dr. Fred Matiang’i following the raiding of his house by an elite police squad. While insisting the squad had no reason whatsoever to prove their...
  12. R

    Wasiojulikana walichangia au walidumaza maendeleo ya Taifa letu? Siku hizi wapo wapi?

    Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi? Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya? Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au...
  13. Story za nguate

    Watu wasiojulikana

    Ni kipi kilijificha nyuma ya watu wasuojulikana? Tumeshuhudia matukio mengi ya kutisha na kuogofya ndani ya ardhi ya Tanzania kama: ~ Mauaji ya Kibiti. ~ Mapigano ndani ya mapango ya Amboni. Lakini haya yote yalimezwa na watu wasiojulikana. Swali: Je, ni nani alikua nyuma ya hili? Mada...
  14. L

    Maswa: Kijana achukuliwa na wasiojulikana. Familia yamtafuta vituo vya Polisi bila mafanikio

    Breaking: Kijana mmoja achukuliwa Maswa na wasiojulikana, AFUNGWA PINGU na kupandishwa kwenye gari,Familia yatafuta vituo vya polisi bila mafanikio.
  15. figganigga

    Tanzania sio Kisiwa cha amani tena, ni baada ya kufuga watu Wasiojulikana

    Baada ya Tanzania kulaumiwa na Jumuiya za kimataifa kwa kumiliki kikundi cha watu wasiojulikana ambao kazi yao ni kuteka, kuua kutesa, kubambikizia kesi, Tanzania imetoka kuwa nchi ya kwanza yenye amani Afrika na kuwa ya 16. Ila kuwaliwaza wanasema ni ya 7 Ifuatayo ni Orodha ya Nchi zenye...
  16. Mag3

    Kitendawili cha wasiojulikana hatimaye kimeteguliwa na Spika Tulia?

    Nimetulia namsikiliza kwa makini Spika Tulia akiwataka vijana wanaosadikiwa ni wa CCM kuwashughulikia wanaowakosoa viongozi wa chama na serikali. Moja kwa moja nikamkumbuka kijana machachari Ben Saanane kwa jinsi alivyokuwa anahoji sifa za Rais na Mwenyekiti wa CCM, John Pombe Magufuli (RIP)...
  17. figganigga

    Wale Chinja Chinja wa Arusha wasiojulikana, Waanza kujitaja. Albadiri inafanya kazi

    Salaam Wakuu, Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja. Je, Polisi watachukua hatua yoyote? Pia soma: - Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa - Kada...
  18. B

    Tuwatambue wenye kutaka kutuaminisha kuwa tu waoga

    Uzalendo ni pamoja na kuyaweka wazi yanayotukera katika nchi bila kujali yanafanywa na nani. Ndugu zetu pale kijitonyama, wasiojulikana, waziri Masauni hadi mama Samia tuvumiliane tu. Uzalendo kwanza. Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa Kuna maswali ya msingi kwa awaye yote...
  19. BARD AI

    Wasiojulikana wateka Watawa wanne Nigeria

    Katibu Mkuu wa Makao ya Watawa, Zita Ihedoro, amesema watawa hao wanne walikuwa wakisafiri kutoka Jimbo la Rivers kwenda jimbo la Imo kwa ajili ya Misa ya shukrani. Tukio hilo linakuja ikiwa ni miezi mitatu tangu Mkuu wa Kanisa la Methodist nchini humo kufurushwa na watu wenye silaha katika...
  20. BARD AI

    Watu wasiojulikana waiba vikombe nyumba ya Watawa

    Mtu asiyefahamika ameingia nyumba ya watawa wa Shirika la Veronika lililopo Soweto, wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro na kuiba vikombe vya kuwekea komunyo (siborio). Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema kutokana na uzembe uliofanyika...
Back
Top Bottom