wasiojulikana

  1. U

    Kisa cha Muisrael aliyeuawa na wasiojulikana, wengi walituhumiwa, alipofufuka alimtaja kaka yake kuwa ndiye muuaji wake, ukweli Mungu ndiye anayejua

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa kuwa Kisa hiki Al-BaKisa cha Al-Baqarah (Ng’ombe)i kimetokea miongoni mwa Wana Israel enzi za Nabii Mussa nduguye Haruni Kwamba yupo Muisrael mmoja tajiri aliuawa na watu walianza kuwatuhumu baadhi kuhusika na mauaji yao na waliwaaminisha jamii nzima kuwa...
  2. tpaul

    Swali la kufikirisha: Kwanini wapinzani na wanaharakati tu ndio wanauawa na "wasiojulikana"?

    Tangu kazi ya kuteka na kuua raia ianze katika nchi hii, sijawahi kusikia kada wa CCM kapotezwa na kukutwa ameuawa. Ijapokuwa mauaji kwa njia ya kuteka yalikuwepo tangu awamu ya kwanza lakini nimejaribu kuvuta kumbukumbu zangu sijapata jina la kada hata mmoja wa CCM aliyewahi kutekwa na kuuawa...
  3. C

    Tundu Lissu inabidi aingoze Chadema kutokana na hali ya siasa iliyopo

    Hii haina ubishi kwa siasa za kinyonge zilizopo ndani ya Chadema zinazoendeshwa na Mboe,inabidi amkabizi kijiti Tundu Lissu Siyo kwamba kwa ajili ya kufanya vurugu,hapana tunaitaji mtu atakayetutia ujasiri hata tunapouwawa,siyo kulialia na kuwakaribisha wauwaji kwenye misiba yetu na kutoa...
  4. Pascal Mayalla

    Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

    Wanabodi, Najua wengi wetu wameumizwa sana na kifo cha kikatili cha Mzee Ali Mohamed Kibao, natoa tena pole kwa wote. Watu wamekasirika hadi kuwasomea Albadir, hivyo mimi kama kawaida yangu, kama kuna kitu nakijua, huwa na share, leo naomba kushare kuwaelimisha kidogo kuhusu wauaji na...
  5. R

    Ushauri: Gari zote ziondolewe vioo vya tinted Ili kuwabaini watekaji wasiojulikana

    Salaam, shalom!! Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili. Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu. Ushauri: Gari zote ziondolewe...
  6. Cute Wife

    Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi

    Wakuu kwema, Watu wasiyojulikana siyo maneno mageni kwetu, na mambo haya yameanza kitambo kuanzia enzi za Kikwete na Ulimboka (kusoma tukio hilo zaidi hasa kwa Gen Z soma hapa - Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana aliyetekwa na watu wasiyojulikana...
  7. ngara23

    Fanya haya kuepuka kutekwa na kupotezwa na wasiojulikana

    Watu wanapotea miaka Sasa hawajulikani walipo 1. Epuka ukosoaji wa viongozi wa juu, hao hawataki kukoselewa, wapo pale kutawala, hawataki ukosoaji na ujuaji utapotezwa Mbele ya watu watajifanya wapo tayari kukoselewa ila kiuhalisia hawataki, utapotezwa. 2. Kuwa mtu wa haki Kwa wengine...
  8. R

    Binafsi nina wasiwasi hizi simuliza za maiti kukutwa kwa Waganga wa Kienyeji isije kuwa kichaka cha kuficha na kuwavua uwajibikaji "Wasiojulikana"

    Najaribu kufikiri kwa mapana na marefu! Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini! Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!
  9. Erythrocyte

    Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
  10. mirindimo

    Picha: Magari ya wasiojulikana yanapokosea direction

  11. Mpigania uhuru wa pili

    Watu wasiojulikana wanafanya kile kile walichokuwa wanafanya Interahamwe wa Rwanda

    Baada ya Juvénal Habyarimana aliyekua Rais wa rwanda kuingia madarakani kupitia mapinduzi mwaka 1973 kwa kumpindua Grégoire Kayibanda kutokana na hofu aliyokua nayo dhidi ya madui zake ilibidi aanzishe kikundi kinachoitwa interahamwe hiki kikundi cha kihutu kilikua na lengo la kufanya kazi chafu...
  12. R

    Nabii Jackob Steven: Bwana kuwafunua wasiojulikana na kuwapiga pigo lililo kuu

    Salaam, shalom! Tangu kuumbwa Ulimwengu huu, Kiti kikuu, Mamlaka kuu ya Mungu haijawahi kushindana na tawala za wanadamu wakabaki salama. Askari wapo kufuata order ya mkubwa wao, ufalme wa Mungu askari pia wapo, na hufuata order ya mkuu wao, Jemedari Mkuu, Mfalme wa Wafalme. Sasa juzi...
  13. Kaka yake shetani

    Je, sheria kuzuia raia kumiliki silaha ndio nguvu ya wasiojulikana kuteka watu kwa urahisi?

    Utekaji ni kitendo cha uwezo mkubwa maana kinatumika na silahaa za moto ili kukabiliana na endapo kutatokea ubishani kati ya muhusika au wananchi kwenye tukio. Ila cha kushangaza watekaji waliopo hapa tanzania ndio wenye matumizi ya vifaa hivyo ukilinganisha si rahisi nchi kukupa silahaa hiyo...
  14. figganigga

    Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”

    Salaam Wakuu, Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Rais ndo Mwenyekiti wa kwanza wa usalama, kupitia thread hii ataweza kujua ni kiasi gani watu wanapotea bila hatua...
  15. OMOYOGWANE

    Kijana SATIVA anayesemekana alitekwa na watu wasiojulikana kitendawili chake kinateguliwa na filamu ya IRIS?

    Kwa mlio wahi kuiona hii filamu ya kikorea mtakubaliana na mimi, Katika idara ya Usalama wa Taifa kwenye filamu hiyo kunaonekana kuwepo idara nyingine ya usalama wa taifa itwayo NATIONAL SECURITY SERVICE (NSS), Hii ni idara ya siri inaofisi na miundo mbinu yote, agents wa kutosha na tactical...
  16. Inevitable

    “Utekaji” waitesa Kenya. Wananchi wanatekwa na kupotezwa. Saba watekwa ndani ya siku 7

    https://youtu.be/OZ9qfm46k0U?si=Rlk4qTkzB_dJgkLz Gabriel Oguda, popular social media activists allegedly abducted Several social media users and content creators are missing after they were abducted in overnight operations in the country hours to anti-Finance Bill demonstrations. Officials...
  17. K

    Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana

    Juzi gazeti la Mwananchi lilichapisha habari kuwa mke wa Balozi Pereira, Mwanaamina Farouk Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana. Mtakumbuka kuwa huyu mwanamke amekuwa kwenye vyombo vya habari sana toka Magufuli aliopoingia madarakani. Nilifanikiwa kufahamiana naye mwaka 2017...
  18. Dr. Wansegamila

    Pre GE2025 Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

    Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro. Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake. Taarifa zaidi zitakujia baadae. Hakuna alie salama..!! --- Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
  19. BARD AI

    Ndugu wa wafanyabiashara waliopotea waiangukia Polisi

    Ndugu wa wafanyabiashara wawili wa mbao waliopotea mwaka jana, wameliangukia Jeshi la Polisi nchini, wakitaka liwasaidie kuwatafuta ndugu zao. Familia hiyo imesema kuwa imewatafuta ndugu zao hao bila mafanikio, hivyo inaliomba jeshi hilo kuwasaidia kufanya hivyo. Wafanyabiashara hao wa mbao...
  20. Artificial intelligence

    Mbinu mahiri ya kijasusi ya kukwepa wahalifu na wasiojulikana

    Je wewe ni muhanga wa ufuatiliaji (SURVEILLANCE)? Ikiwa wewe ni mtu ambaye unafuatiliwa na wahalifu au watu wengine kutokana na shughuli zake ziwe za kisiasa, kibiashara na hata kimahusiano basi njia hizi nitakazozielezea hapa ukizifuata na kuziishi zinaweza kukufanya uwe salama ikiwa upo under...
Back
Top Bottom