Mimehamia nyumba yangu mpya ambayo umeme haujafiaka. Nimeplani ninunue solar ya kawaida tu lakini si hizi za makampuni. Ninachohitaji kujua, tv na sub woofer yangu vyote vina njia mbili ya umeme na ya solar.
Je, nahitaji kuwa na inveta kuviendesha hivyo vifaa? Au njia ya solar naweza connect...