Ndugu wa jamii,
Napenda kuwatambulisha kwenu mabingwa wa umeme wa majumbani na viwandani.
Ukiwa na mahitaji ya kufungiwa umeme nyumbani au kiwandani kwako, ramani za umeme (kwa ajili ya bima, mkopo wa benki, osha, crb, TANESCO), umeme wa jua, ukaguzi wa mifumo ya umeme, service a generator...