Tanzania ya sasa inatia hasira kuliko wakati wowote ule. Kuna ukandamizaji wa wazi wa haki za binadamu pale ambapo watu tunataka kuhoji maswala ya msingi.
Ikumbukwe Tayari kuna wenzetu
wameshaanza kutiwa nguvuni. Ili kuonnyesha tuko nao pamoja. Itabidi tuwaonyeshe CCM nguvu ya umma ni real...
Hey habarini nyote,
Nimesikitika na kutema mate na kusonya sana utoto wa hatua ya police kuhusu maandamano ya amani na yenye nia njema kufikisha ujumbe wa kupinga mkataba mbovu na wa kitumwa na usiofaa popote Duniani kote.
Ni zumbukuku na mazumbukoko tu ndio wanaweza kua na akili za kengeza...
Wana Jukwaa
Ama kweli akili ni mali na ujinga ni adui!
Watanganyika, watu wenye rasilimali asilia za kila aina, kuaniza ardhi kubwa ilimikayo, 60% ya ardhi hiyo binadamu hajawahi kuweka mguu wake, maadini mbali mbali yenye thamani kubwa sana dhahabu, almasi, shaba, chuma, tin, lithium...
Habari ndio hiyo wakuu,
Mpaka Tanganyika inapata uhuru wake mwaka 1961, ni wananchi wawili tu walikuwa wamesoma kwa kiwango cha shahada ya kwanza(Degree).
Wa kwanza alikuwa ni Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alikuwa ni Rais wa kwanza na baba wa Taifa. Mwalimu Nyerere alikuwa na...
Watanganyika wanaitaka Tanganyika yao! Msipowapa kwa hiari watajitwalia wenyewe kwa namna nyingine!
Watanganyika wanaitaka Tanganyika yao! Msipowapa leo kwa heshima watajichukulia wenyewe kesho bila nyie kupenda!
Uvumulivu una mwisho. Wa Watanganyika nao upo ukingoni.
Hima! Jitunzieni...
Habari za Wakati huu;
Siku za karibuni kila jambo limekuwa likitazamwa mara kwa jicho la Uzanzibari vs Utanganyika,Mara Uislamu vs Ukristo
Swali ninalojiuliza Jina kuna Vita ya chini chini kati ya Tanganyika na Zanzibar?Maana kila nikiyatazama yanayojadiliwa nakuta hoja ya Udini au Uzanzibari...
Dubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.
Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika
Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
Watanganyika tumedhulumiwa ardhi yetu, tumedhulumiwa maji yetu ya maziwani na ya baharini, ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha.
Leo Watanganyika tunalia machozi ya damu, Mzanzibari mmoja anatuzuia tusilie. Mara tukae...
Kwa mujibu wa hotuba ya mh. Pius Msekwa katibu wa bunge kipindi cha kusaini hati ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar amedai kwamba baada tu ya muungano huo rais wa Zanzibar Mzee Karume alijihudhuru cheo chake cha urais na kuwa Makamo wa rais wa Kwanza wa JMT chini ya rais Mwl. JK...
Wakili Mwakubusi amesema kuwa kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika ilibakwa, muungano ilikuwa ni ndoa ya utotoni. Amesema aina ya muungano uliopo sio muungano uliohitajika na watanganyika.
Aidha amesema hoja za kuwamba anachochea ubaguzi hazina mantiki kwa kuwa mambo mengi...
FATMA Karume. mwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, amesema hakuna mkataba unaweza pita bila Mwanasheria Mkuu kuukubali na kwamba ofisi ya Mwanasheria Mkuu imejaa Watanganyika; hao ndio waliotuuza na sio wao Wazanzibar.
Aidha Binti Karume amesema AG Feleshi ni msukuma wa...
Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu.
Pia soma >
Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
bandari
dp world
kitila mkumbo
kukamilisha
kuondoa
kwenda
lawama
mali
mipango
mkumbo
ubinafsishaji
uuzwaji
uwaziri
watanganyika
wazanzibari
waziri
world
Uaminifu umepungua kabisa kwa huyu Mama,na inawezekana amesaini mabaya zaidi,hivyo basi kabla ya kuendelea mbele MoU zote zilizosainiwa Dubai ziwekwe wazi, inawezekana tumeuzwa kama mbuzi ndani ya gunia.
Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi...
Katika mjadala unaendelea Clubhouse mwananchi mmoja ameshindwa kuuliza swali baada ya kusema kuwa waliosaini mkataba sio watanganyika ni Wazanzibar.
Moderator wa mjadala, Gerson Msigwa alimtaka mwanachi huyo afute kauli yake ili aulize swali lakini mwananchi huyo alisema huo ndio ukweli hivyo...
Sifahamu iwapo naeleweka vizuri. Kama nitakuwa nje saana mtaniwia radhi. Kuna mambo yananipa kuchanganyikiwa na nisijue lolote!
Mambo ya wazanzibari, yanasimamiwa na serikali ya Zanzibar na yanakuwa ya wazanzibar kwa sababu serikali yake ipo inayasimamia!
Mambo ya watanganyika hayana msimamizi...
Ndugu zangu watanganyika,
Tumebaki yatima tusio na malezi kwenye hii nyika,
Tumetelekezwa kama bendi ýa Lesi wanyika, tumesahaulika,
Nakuja kwenu kwa unyenyekevu mwingi kumuombea msamaha Luhaga mpina mbunge wa kisesa kwenu. Hakika japo hajakili alilo lifanya lilikuwa na mapungufu makubwa kwetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.