Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama...
Maana hizi sherehe kubeba jina la Uhuru wa Tanzania huwa ni batili waandalizi inafaa wafunguliwe mashtaka kwa kutumia Jina la Tanzania kuchota hela na kusheherekea Uhuru wa nchi ambayo ilishafutwa na haipo inakuwaje?
Sasa sio katiba mpya bali na Tanganyika lazima iwepo ili hizi sherehe za kila...
Tarehe 9 ya mwezi wa kumi na mbili, mwaka 1961, Tanganyika ijitwalia uhuru wake toka mikono mwa mwingereza, mlezi wa makoloni yalikuwa chini ya mjerumani baada ya kushindwa vita. Watu wote waliokutwa katika ardhi ya Tanganyika, siku ile ya kuishusha "Union Jack",na kuipeperusha bendera mpya ya...
Haiingii akilini keki ya Zanzibar ni kwajili ya wazanzibari pekee ila keki ya huku bara Wazanzibari nao wana hila, yani chao ni chao peke yao ila chetu ni chao.
Yani huko Zanzibar uongozi kuanzia uraisi, mahakamu wa rais, wakurugenzi wa mashirika, teuzi, n.k ni wao tu ila ukija huku si ajabu...
Tanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na hakuwahi kumzuia Nyerere kwenda UNO kudai uhuru na kama kulitokea purukushani basi zilikuwa za kiwango...
Mwaka huu na ujao 2022 katiba ni lazima ipatikane CCM wakitaka wasitake na kama hawataki wakae pembeni maana saa mbaya! Umma umeanza kuiva na uvumilivu juu ya genge la CCM lililojipenyeza kwenye vyombo vya dola sasa upo wazi na wanaofaidika na hayo si wengine ni wale walio juu ya mstari viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.