Mimi ni Mtanzania. Nimezaliwa na kukulia upande wa Tanzania Bara, yaani, Tanganyika.
Nimeshamsikia zaidi ya mtu mmoja akijitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibar. Lakini sijawahi kumsikia mtu akijitambulisha kuwa ni Mtanganyika. Mimi binafsi sijawahi kifanya hivyo.
Je! Inawezekana Watanganyika...