Na kuna mahala nimemuona Mtetemaji wa Kihistoria kamuomba Mwalimu amuanzishe ili amalize Kazi mapema kwani anamjua vyema Aishi na Beno.
Kazi ipo leo nyie Jidanganyeni tu Ok?
Wanaume waliojifunika sura zao wamevamua Studio ya TV (TC Television) ya Umma katika Mji wa Guayaquil wakiwa na silaha za moto na marungu wakati wa matangazo yakiwa mubashara kisha kuwateka Wafanyakazi wa kituo hicho kwa muda.
Imeelezwa hakuna mtu aliyeuawa katika tukio hilo ambalo lilizimwa na...
Kuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu.
Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka...
Swali # 1.
Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
Yaani Klabu ya Yanga ikifanya vyema katika Mechi zake zozote zile huwa mnatangaza tena kwa Bashasha zote.
Ila Yanga SC hiyo hiyo ikifungwa (kama ilivyofungwa jana na Ihefu FC huko Highland Estates Mbarali) hamtangazi na huwa mnajifanya hamjayapata Matokeo.
Lakini Klabu ya Simba hata ikifungwa...
Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo sivyo kabisa. Ni kama wewe umsikie mtu akitamka jina Juma kama Jima au Joma. Au jina Ali kama Hali...
Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili.
Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi"...
Tutawazungumzia kwa kigezo cha kipindi wakiwa kwenye ubora wao, Hata Tyson huwezi kumjudge ubora wake kwa sasa maana umri umeshaenda, hayupo active kama zamani.
1. DUDU BAYA
chuma kilichokuwa kinasumbua kikiogopwa na kuogopeka kwa wasanii na KWA MAPROMOTAR NA MA D. J MARADIO PRISENTER NI OIL...
Maulid Kitenge na wenzie walitamba mitandaoni kuwa wanakwenda kufanya mahojiano na DP world na kuleta majibu juu ya maswali ya watanzania!
Maswali makubwa mawili yakikuwa!
1. Mkataba ni wa muda gani?
2. DP world wamewekeza kiasi gani kwenye mradi huu?
Lakini cha kushangaza wamekwenda kumuhoji...
Halafu mlivyo wa hovyo badala ya Kuitangaza vyema kwa kusema kuwa Yanga SC imefungwa Kiuwezo mnachokifanya sasa ni kutafuta Wasikilizaji wenye Uyanga na kuwalazimisha waseme kuwa Yanga SC itaenda kupindua Matokeo / Meza Jijini Algiers nchini Algeria kwa Kuwafunga USM Alger FC na kuwa Mabingwa wa...
Ungempendekeza msanii yupi wa bongo flaver, hip hop au muziki wa injili?
Pia presenter (mtangazaji), mwanamitindo, msimulizi, muigizaji ama mchekeshaji yupi?
Kama watangazaji wetu ni aina ya mtu kama Kitenge, ni kwa nini Idhaa za Kiswahili zisichukue Wakenya?
Naona Maulid Kitenge anafanya project ya kutoka Kituo A kwenda kituo B na kurudi kituo A tena, sidhani kama kuna mtangazaji anawaza kutoka Local na kwenda kutangaza International.
Kwa sasa...
Hope wazima wana JF,
Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku, nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV. Baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka, yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia. Nimeenda Instagram...
Ukweli ndio huo.
ZBC2 katika misimu kadhaa ya Nyuma waliwatumia Watangazaji wazoefu katika kutangaza mechi za kimataifa.
Lakini msimu huu, wanatia Watangazaji ambao hawana mvuto. Sio wabunifu, hawana mbwembwe.
Mpaka Sasa ukiangakia hakuna hasa au chachu iliyo letwa na WATANGAZAJI katika...
Haiwezekani Watangazaji wako hawa Maulid Kitenge na Twalib Muwa ambao si tu ni Mashabiki wa Yanga SC bali pia ni Wanachama wa Yanga SC kila wakiwa pamoja Hewani katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM Kazi yao ni Kuisakama Simba SC, Kuinanga, Kuidhalilisha na Kuichokonoa ili mradi tu...
Mtangazaji wa Bahati Nasibu ya EFM ( Mshindo Milionea ) utamsikia.....
Fanya upesi ucheze Mshindo Milionea kwa kuweka tu Shilingi Elfu Moja yako ushinde Shilingi Milioni Moja ili Kesho Baba mwenye Nyumba wako akakufukuza kwa Kukudai Kodi yake na Ukaibika Mtaani.
Mtangazaji wa Bahati ya Clouds...
Habari ya ijumaa wadau wa JF muda huu nimejiunga na azam max hapa nitazame mechi ya fainali ya mapinduzi cup huku nikiendelea na kazi but nimepata ukakasi kwa kile nilichokuwa nakisikia mara kwa mara kutoka kwa mtangazaji Gharib Mzinga kwa namna anavyopenda kutumia neno "madhambi" kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.