Walichokuwa wakisema Wiki Moja kabla ya Kucheza na Congo DR leo na kupokea Kichapo cha Kishalubela ( Kikatili ) ni.....
"Congo DR ya sasa si lolote na chochote kwani Wachezaji wao wengi tunawajua na tunao hapa Tanzania. Congo DR watakufa kwa Mkapa na Kipigo Kwao hakikwepeki kwani kwa sasa...
Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo.
Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo.
Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo wanaosema ni Saa 10 na wengine wakisema ni Saa 9.
Tafadhali mwenye uhakika Kamili wa muda wa Mtanange (...
Mtangazaji Mwakapotela Magic FM
"Hata kama kuna Ndege ya moja kwa moja kwenda Marekani lakini haziruhusiwi mpaka Kwanza zitue Amsterdam wazipeleleze ndiyo ziruhusiwe sasa Kuruka kwenda huko"
Mtangazaji Mkambala Magic FM
"Siyo lazima hizi Ndege ambazo Serikali inazinunua nawe au kila Mtu...
Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha...
Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) alipokuwa Yanga SC...
"Haji Manara hana uwezo na bado kabisa hajaweza kumfikia Antonio Nugaz kwa Kuhamasisha, Kushawishi na kupiga Madongo ya maana na huyu ndiyo kiboko yake"
Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) baada ya kuondoka Yanga SC Jana...
"Haji Manara hana...
Kama Yanga SC ingeshinda leo dhidi ya Zanaco FC Kesho Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo walipanga kusema yafuatayo....
"Hakika Yanga SC hii ndiyo yenyewe na hata hao Simba SC na Azam FC hata ikiwezekana na Al Ahly FC walipange kwani kwa Usajili huu mwaka huu Yanga SC inabeba Vikombe vyote...
"Kuna Wanaume wengine Wana tabia za Kike Kike za kupenda Kuwasema Watu vibaya ambao wameishi na kufanya nao Kazi kana kwamba hawakuwa na Mazuri yao au Yeye nae hana Mapungufu yake. Tafadhali ukiachika nyamaza tu kwani Kutajataja Watu kunaonyesha jinsi gani unavyowakubali na ulivyoumia kutokuwa...
Yaani tukio la Bernard Morrison Kuvua Bukta yake, kubakia na Chupi ya Njano huku Bukta akiiweka Kichwani mwake linajadiliwa kwa dakika 120 ila tukio la Tonombe Mukoko la Kumpiga Kiwiko kibaya John Boko ambacho kingeweza Kumjeruhi vibaya kwa Kumvunja Pua au Kumng'oa Meno yake au hata...
Mamlaka ya Utangazaji imeshauri Runinga na Redio kutotumia Mtandao wa Kijamii wa #Twitter kama chanzo cha taarifa zao, huku ikiwataka wafunge akaunti zao
Mamlaka hiyo imesema haitokuwa uzalendo kwa Watangazaji wa #Nigeria kuendelea kutumia Mtandao huo. Twitter imesema itafanyia kazi kurejesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.