watangazaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AbuuMaryam

    Hivi hawa watangazaji wa Wasafi na E-fm mnawaelewa?

    Wa WASAFI FM SPORT ARENA anaitwa MWANAIDI SULEIMAN Wa E-FM SPORTS HQ anaitwa TUNU HASSAN. Yaani hawa wakiongea ni SHUDU TU... Hata vile wanavyojaribu kuchokoza mada... Wanashindwa hata kujenga hoja. Kiasi kwamba mimi nahisi kazi yao ni kubalance muda wa kipindi na matangazo... Na wako makini...
  2. L

    Watangazaji wanauza machungwa moja kwa moja kwenye mtandao mkoani Hunan China

    Mavuno mazuri ya machungwa yamepatikana mkoani Hunan, China, na watangazaji wanauza bidhaa hizo moja kwa moja kwenye mtandao ili kuwasaidia wakulima kuongeza mapato yao.
  3. GENTAMYCINE

    Wachambuzi, Watangazaji na Kocha Msaidizi wa Yanga SC Kaze hili la Yanga SC kuwa na Fatigue mlijua baada ya Kichapo cha Ihefu FC leo?

    Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie. Yanga SC ingeifunga Ihefu FC leo mngekumbuka kusema kuwa Wachezaji walikuwa na Uchovu (Fatigue) kama mnavyosema sasa kila Mkichambua, Mkitangaza na Mkihojiwa na Waandishi wa Habari? Na kama Yanga SC mlijua Mbeya ni mbali kwanini hamkuwahi kwenda huko ili pia...
  4. P

    Watangazaji wa mpira

    Nawaomba mtumie Kiswahili Kama kimombo ni shida. Eti back left 😀 Jamani ni left back. Sio back right.... No right back.
  5. tpaul

    Watangazaji wa kizazi hiki wanakera mpaka basi. Hivi wanaokotwa wapi hawa viumbe?

    Habari wanaJF? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Kwa mujibu wa utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni, usikilizaji wa redio na utazamaji wa TV umepungua sana miongoni mwa wafuatiliaji wa habari. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya...
  6. GENTAMYCINE

    Watangazaji wa CMG mliomfanyia 'Interview' Kiongozi Mstaafu katika 'Birthday' yake Jana mmeiabisha 'Tasnia' nzima

    Kwanza hamkujipanga vyema kwa Coverage yake ndiyo maana hata Mitambo yenu kila Saa ilikuwa inakatakata hali ambayo Iliboa na Ilituboa zaidi. Pili wenye Akili akina GENTAMYCINE tulitegemea kwa Chombo cha Habari kupata ile Fursa basi ndiyo mngeitumia Kumhoji Mambo ( Maswali ) ya Msingi ya kuhusu...
  7. T

    AZAM MEDIA hakikisheni watangazaji wenu (Baraka mpenja,Patrick Nyembera n.k) wanapata elimu ya msingi kuhusiana na michezo wanayoitangaza mubashara

    Amani iwe nanyi. Nikiwa kama mdau wa michezo, napenda kuishauri kampuni ya habari ya AZAM kuhakikisha kuwa uwekezaji wao wanaoufanya katika tasnia ya michezo unaendana sambamba na kuwapa elimu ya msingi (basic education) watangazaji na wachambuzi wao. Niipongeze kampuni ya Azam Media katika...
  8. goroko77

    Azam Media hakuna maslahi makubwa hadi watangazaji wake mahiri kutimka?

    Nimekuwa nikishangazwa sana na jambo hili kwamba kampuni kubwa nchini kwa masuala ya media ndio kwanza wafanyakazi wake mahiri wanatimka kila kukicha kwenda kufanya kazi kwenye taasisi zingine Tena wababaishaji wengine. Mfano mzuri ni huyu Afisa Habari wa Simba sports club Ahmed Ally alikuwa...
  9. Swahili AI

    Hawa ni Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD

    Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic naNationalpanasonic au maarufu kwa jina la dudu proof Orodha ya Majina haya hapa: Abdallah Iddrissa Majura–Michezo Abdallah Mlawa—Kijaruba, Ombi lako Abdul Ngarawa -Taarifa ya Habari & Mazungumzo baada ya habari...
  10. GENTAMYCINE

    Kwanini Watangazaji wa 'Kipyenga Extra' East Africa Radio wameumia sana na 'Nyundo' aliyopewa Haji Manara?

    Wanatumia muda mwingi Kumtetea huku pia wakiwatafuta Mawakili wenye Uyanga kutoa Ufafanuzi wa Hukumu iliyotolewa na Poti ( Mkurya ) kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) Watangazaji wa Kipyenga Extra East Africa Radio na wale wa Kipindi cha Michezo cha Usiku cha East Africa Radio nawaonyeni...
  11. sinza pazuri

    Aaliyah ndio mwanamke mzuri na mrembo kuliko watangazaji wote wa kike East Africa

    Ana sura nzuri. Ni mrembo. Anapendeza kila nguo. Ana swaggs. Ana mvuto. Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
  12. The unpaid Seller

    Watangazaji wa TV wapunguze maneno wanapokuwa katika vipindi mubashara ili wataalam watoe maarifa kwa kina

    Wakuu salaam, moja kwa moja kwenye mada, Kuna watangazaji wa vipindi mubashara ambavyo kuna wataalamu wa afya, elimu, viongozi nk hualikwa kwa ajili ya kudadafua mambo fulani kwa kina. Natambua watangazaji wanajukumu muhimu la kuongoza mijadala kwa kuuliza maswali au kupokea simu za watazamaji...
  13. JanguKamaJangu

    Taliban yaagiza Watangazaji wa kike wote kwenye TV kufunika nyuso zao

    Uongozi wa Taliban umeagiza watangazaji wote wa kike katika vituo vya runinga Nchini Afghanistan wanatakiwa kuziba sura zao wanapokuwa wakitangaza. Vyombo vya habari vimekiri kupokea maagizo hayo kutoka katika Wizara ya Maadili na inatakiwa kutekelezwa bila kuwa na mazungumzo yoyote. Waziri wa...
  14. L

    Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  15. GENTAMYCINE

    Watangazaji wa Michezo katika Redio na Tv pamoja na Wachambuzi acheni 'Kutudanganya' kuhusu Yanga SC na huu sasa ndiyo Ukweli...

    Siku chache tu zijazo Yanga SC inatimiza mwaka Mmoja tu (ila siyo Msimu) wa Kucheza Ligi Kuu bila ya Kufungwa. Tayari kuna baadhi ya Watangazaji wa Michezo wa Redio na Television bila kuwasahau na Wachambuzi wa Michezo ambao pembeni yao Wakidanganywa taratibu na Afisa Habari wa Yanga SC...
  16. GENTAMYCINE

    Watangazaji, Wachambuzi na Waandishi wa Hab mnarudia Kosa lile lile ambao litaigharimu Simba SC ikikutana na Orlando Pirates FC

    Kama kawaida yenu ili muaminike Kinafiki, mpewe Vipesa vya hapa na pale na muhaidiwe kuwemo katika 'Trip' ya South Africa mmeshaanza sasa katika Redio zenu, Mitandao yenu na Magazetini Kwenu Kuisifia ( Kuipamba ) Simba SC na Kuwadharau Wapinzani wao akina Orlando Pirates FC ya Afrika Kusini...
  17. GENTAMYCINE

    Asanteni Radio One, Watangazaji Bora Afrika Farhia Middle na Abubakary Sadick kwa Kuniheshimisha na Kuuheshimisha Mtandao wa JamiiForums leo

    Kwanza nianze kwa kutoa Pongezi zangu Kwenu Radio One ( hasa hasa ) Watangazaji wangu Bora kwa Afrika na Kipindi changu pendwa cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu hadi Saa 4 Kamli za Asubuhi kwa Kukubali Ubalozi wangu wa Kujiteua na Kulazimisha wa hicho Kipindi...
  18. Pascal Mayalla

    Kwanini Hatuna Watangazaji wa Kike wa Mpira Miguu?. Tanzania Alijitokeza Mmoja, Halima Mchuka, Leo ni Miaka 10 Toka Afariki, Kwanini Hana Mrithi?

    Wanaspoti Kwanini sisi Tanzania hatuna watangazaji wa kike wa mpira wa miguu?. Tanzania alijitokeza mmoja, Sports Lady Halima Mchuka, leo ni kumbukumbu ya miaka 10 toka alipofariki, kwanini mpaka leo hujawahi kupata mrithi?. Tujikumbushe enzi zake Video kwa hisani ya Aboubakar Liongo. Soma...
  19. GENTAMYCINE

    Kwanini Watangazaji wengi wa Redio na Runinga Tanzania wanapenda kuishi 'Fake Life' tofauti na wale 'Wagumu Asilia' wa Magazeti?

    Na hata ukiwachunguza tu wa Redio na Runinga wengi wao ndiyo wanaongoza kwa Kupenda 'Kulelewa' na 'Mijimama', Wana Tamaa za Kipopoma ( Kipumbavu ), Wanafiki, Waongo, Wala Rushwa na wapenda Michongo sana, Wafitini na Wadangaji wengi utawakuta huko na hata ukitafuta 'walioathirika' na Gitaa pendwa...
  20. liwaya

    Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
Back
Top Bottom