watatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Kwanini Wamachinga Wanawake Watatu wa Nzega waliandaliwa Meza yao, walikuwa Wanajiamini na hawajulikani sana hapo Sokoni Nzega?

    Halafu Director wa Movie hakumpa Mazoezi ya Kutosha Actress kwani kuna mahala alipokuwa akimhoji Mmachinga Feki wa Kike wa Nzega ( ambao Watu wa Mwenge na Makumbusho ) Dar es Salaam huwa Wanamuona alikuwa akiharibu kwa kila mara Kumuuliza kwanini Yeye ni Mrembo na ni Mmachinga? Actress wa Movie...
  2. Teko Modise

    Chagua viungo watatu wa kuanza katika timu yako katika list hii

    Wewe ndio kocha unataka uanze na viungo watatu, wachague hapa katika orodha hii.
  3. Roving Journalist

    Watu watatu washikiliwa kwa tuhuma za kuwa ni "Kamchape"

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu 1. ERICK S/O SINKALA [33] Mkazi wa Ilembo - Sumbawanga 2. SAID ERNEST MIHAYO [41] ña 3. AMOS BENARD NYANZANDU [25] wote wakazi wa Mbagala D’Salaam kwa tuhuma za kupiga ramli chonganishi @ lambalamba kwa lengo la kujipatia pesa isivyo...
  4. K

    Nani alikuwa mkali wa gita kati ya hawa?

    Eti nani alikuwa mpiga gitaa bora zaidi kati ya hawa watatu 1. Lokasa ya mbongo 2. Dally Kimoko 3. Diblo Dibala Japo kuna watu kama Nene Tchakou
  5. Suley2019

    Mwalimu atuhumiwa kuwaharibu wasichana watano

    Mwalimu wa kiume aliyejulikana kwa jina moja la Ngoitanile anayekaribia kuwa na umri wa miaka 60 anayefundisha Shule ya Msingi Mwembetogwa iliyopo Mtila Kata ya Matola Halmashauri ya Mji wa Njombe, amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za ukatili wa kuwaingiza vidole sehemu za siri Watoto watano...
  6. JanguKamaJangu

    Mwanamke mmoja kati ya Washtaki watatu dhidi ya Antony aondoa malalamiko yake

    Winga huyo wa Manchester United alifunguliwa mashtaka na Wanawake watatu ya unyanyasaji na kuwashambulia, hiyo wamebaki wawili katika mchakato huo. Antony (23) kwa sasa yupo nje ya majukumu ya klabu yake kwa ajili ya kushughulikia mashtaka hayo yakiwemo dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake, Gabriela...
  7. sonofobia

    Nini kimetokea kwa hawa wachezaji watatu?

    Nimeona wanatrend sana ni nini haswa kinaendelea? 😂😂😂 Kuna mmoja hapo alipiga hatrick timu ina wachezaji wanne 😂
  8. BARD AI

    Mtwara: TAKUKURU yaomba Kibali kwa DDP kuwafikisha Mahakamani Wahasibu Watatu wa Mahakama

    Kibali kinachosubiriwa kutoka kwa Mwendesha Mashtaka (DPP), kinahusu Kesi yenye Tuhuma za Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 234 dhidi ya Watumishi wa Kada ya Uhasibu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara. Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa, Jumbe Makoba, amesema walipata taarifa za kuwepo kwa...
  9. Nyendo

    Watatu wakamatwa kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu mbalimbali katika maeneo ya daraja la Selandar eneo la mikoko

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu mbalimbali katika maeneo ya daraja la selandar eneo la mikoko. Akiongea na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro, amesema...
  10. Muwa mtamu

    Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

    Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3. Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda. Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe...
  11. Erythrocyte

    Waliomsindikiza Wakili Mwabukusi Polisi nao wakamatwa. Yumo Mdude Nyangali

    Taarifa kutoka Mbeya zinaeleza kwamba baadhi ya watanganyika wazalendo waliomsindikiza Boniface Mwabukusi kwenda kuripoti Polisi, kama Wito wa Jeshi hilo ulivyomtaka, Wamekamatwa na Polisi, kupigwa pingu na kudhalilishwa. Baadhi ya majina yaliyotajwa kwa waliokamatwa kituoni hapo lipo la...
  12. Nyankurungu2020

    Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. -- “Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si...
  13. O

    Watatu mbaroni mauaji ya wanandoa Shinyanga

    Shinyanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kuwashikilia watu watatu kwa mahojiano kuhusu tukio la mauaji ya wanandoa wawili yaliyotokea katika Kijiji cha Mwagimagi Wilaya ya Kahawa mkoani Shinyanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amesema mauaji hayo yalitokea usiku wa...
  14. Dr Restart

    Uteuzi: Rais ateua Makatibu Wakuu Watatu na Mkurugenzi Mkuu wa TANROADS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:- i) Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS). ii) Amemteua...
  15. Dr Restart

    Uteuzi: Watatu wapewa hadhi ya Ubalozi, yupo Katibu Mkuu Kiongozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama ifuatavyo:- 1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi; 2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia masuala ya Siasa kuwa...
  16. Brightburn

    Nahitaji developers watatu (3), mshahara laki 4 kwa mwezi

    Heshima kwenu wakuu! Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira rasmi itakuwepo endapo watafanikiwa kukamilisha kazi hiyo ya awali. Wanatakiwa devs 3 wenye ujuzi...
  17. Mwasapile

    Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

    Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuwa je, kiwango cha mshahara ninachokipata kulingana na majukumu niliyonayo kama kinanitosha, ni baba wa mke mmoja na watoto watatu ambao kati yao wawili wameshaanza shule. Sasa kila nikipokea mshahara let say tar 01 ikifika tar 03 huwa sina kitu mfukoni...
  18. M

    January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania

    January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania Na Mwandishi Maalumu January Makamba, Maharage Chande na Saidi Yakubu ni maswahiba wa karibu sana, kiasi ambacho unaweza kuwaita ni mapacha watatu. Mapacha hawa watatu wamekuwa pamoja kwenye...
  19. R

    Naiona Tanzania Mpya yenye Maendeleo na Uchumi imara siku wanasiasa hawa watatu wakistaafu/wakiacha kujishughulisha na maamuzi ya kisiasa nchini

    1. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete 2. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe 3. Mzee Yusuph Makamba Sina mengi sana, kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo.
  20. BARD AI

    Watatu kortini kwa kumteka Mfanyabiashara

    Wakazi watatu wa Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka moja la unyang'anyi wa kutumia silaha na kumteka mfanyabiashara. Washtakiwa hao ni Sufian Kidevu (30) mkazi wa Kizuka mkoani; Celestini Kamuli (32) mkazi wa Kizuka na mfanyabiashara Husein...
Back
Top Bottom