Hello JF
Habari za kuaminika toka Uvinza Kigoma kuna mauaji hatari yametokea maafisa misitu na Askari wa jeshi la akiba wameuawa vibaya, wahusika hasa TFS, jeshi la Polisi, Mamlaka ya Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma tafadhari onesha nguvu ya Serikali.
Ni hatari sana ni hatari sana...
Wakuu
Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto.
Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye...
Watoto watatu wa familia moja katika kijiji cha Lessoroma wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro wameteketea kwa moto baada ya nyumba yao wanakolala kushika moto.
Akizungumzia tukio hilo leo Januari 21, Mtendaji wa kijiji hicho, Emma Mosha amesema tukio hilo limetokea usiku wa saa mbili Januari 20...
Watu watatu wamefariki kwa kusombwa na maji ya mvua mkoani Arusha, kutokana na mvua zilizoanza kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini.
Watu hao, wamefariki katika Wilaya za Monduli na Longido, ambapo wawili ni wanafunzi akiwemo aliyetarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza siku chache...
Kambi ya kijeshi iliyo ndani ya Urusi, kama kilomita 600km kutoka Ukraine leo imetaharuki kwa kushambuliwa na drone ya Ukraine, japo wameiangusha kwa kuishambulia ila wamekufa watatu, huu ni ujasiri kwa Ukraine maana ni kambi ya kijeshi iliyo ndani ndani ya Urusi, ni kama mashambulizi ya kataifa...
Jina lake ni Miikka Kari, Hapo kwenye Kari alibadili iwe kwa kiswahili na tafsiri yake ni Mwamba, hivyo aliamua kujiita Miikka Mwamba ila wengi tukaizoea Mika Mwamba
Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu:
Tamara + ni wewe - Hard Mad
Eno maiki - Ziggy Dee...
Tukio hilo limetokea baada ya mtuhumiwa kuingia katika mgahawa huo na kuanza kuzungumza kwa sauti “Nitawaua wote humu”, muda mfupi baadaye alianza kufyatua risasi ambazo pia zimejeruhi watu wengine wanne huku mmoja akiwa kwenye hali mbaya kiafya.
Mtuhumiwa ambaye ana umri wa miaka 57...
Mwaka wangu huu, nimepiga hat trick nipeni mpira wangu. Asante sana Monica, Alice na Somoe kwa kunizalia.
Sasa nimefikisha watoto 15, nashukuru kojo langu huwa halidanganyi, sura ngumu kama yangu.
Tufyatue tu jamani.
Washirika wa mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo Tuangoma wakamatwa na kilo 15 za dawa za kulevya aina ya heroin.
Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imewakamata watuhumiwa watatu ambao ni washirika wa mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo...
Kwanza kabisa tunashukuru Mgunda Mnene kutufikisha hapa tulipo pamoja na mapungufu yake ya kimbinu mpaka akapata hizi droo nne ambazo zimetuweka mbali na watani zetu.
Ili tukimbizane na mbio za Ubingwa plus CAF CL tufike mbali, tunahitaji wachezaji watatu bora kabisa.
Tupate Striker mzoefu...
Toka Mwezi wa tisa nimekuwa nikipigwa mara KWA mara simu na watu ninao wafahamu wakiomba kukopeshwa hela.
Wanasema maisha yamekuwa magumu sana hela hawaioni.
Leo nimepigwa simu na watu watatu graduates ambao ninafahamiana nao.
KILA mmoja kanipigia KWA wakati wake.
HAWA ni graduate ambao...
Watu watatu wamekutwa wamekaa juu ya kizimba cha majembe ya kusozea meli
Mlinzi wa pwani ya Uhispania amewaokoa watu watatu waliopatikana wakiwa wamejiegesha juu ya ukingo wa majembe ya kusozea meli iliyowasili katika visiwa vya Canary kutoka Nigeria.
Wanigeria Watatu Wapatikana Wakiwa...
Habari kutoka Ofisi ya Uhandisi wa Anga ya Juu ya China zinasema baada ya chombo cha anga za juu na kituo cha anga ya juu kufanikiwa kuunganishwa haraka, wanaanga wa Shenzhou 15 wameingia kwenye moduli ya obiti kutoka kwenye moduli ya kurudi ya chombo hicho. Baada ya kukamilisha maandalizi yote...
Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP William Mwampagale amesema tukio lilifanyika kwenye operasheni maalumu baada ya kupata taarifa kuwa kuna kundi la watu waliopanga kufanya uhalifu.
Amesema kundi lilikuwa na wanaume 5 na katika uchunguzi wa awali walibaini wamekuwa wakifanya matukio ya unyang’anyi wa...
Wakuu habari
Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi yeyote continuous kapata mkopo mpaka sasa maana kwa mujibu wa tangazo la HSLB wanadai kuwa wametoa mkopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hakuna sehemu wanawataja continuous.
Lakini vile vile katika tangazo lao wanasema wamefungua dirisha la...
Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.
Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya...
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro leo tarehe 01/11/2022 amemuelekeza mkuu wa takukuru wilaya ya Ikungi kuanza uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili watumishi watatu waliokuwa wanasimamia ujenzi wa kituo cha afya kata ya Irisya tarafa ya Sepuka jimbo la singida magharibi
Pamoja na hatua...
Ni maadui watatu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere tangu tunapata uhuru – ujinga, umaskini na maradhi. Hadi anazikwa kijijini kwake Butiama Oktoba, 1999, maadui wa Taifa walibaki ni walewale watatu.
Na kuna viongozi wengi waliopita walijitahidi kupambana na hawa maadui zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.