wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Hangzhou: Mpishi roboti apika chakula kwa wateja

    Hangzhou: Mpishi roboti apika chakula kwa wateja
  2. Nape: Kampuni za simu acheni kutuma ujumbe ambao mteja hajaomba, hii tabia ikome

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametaka makampuni ya mawasiliano nchini kuacha mara moja tabia ya kuendelea kutuma ujumbe ambao wateja hawajaomba na kueleza kuwa kwa kufanya hivyo ni kuwapotezea muda wateja wao. Nape ametoa agizo hilo Mei 31, 2022 wakati...
  3. Zifahamu aina 9 za wateja ili ukuze biashara yako

    : Mteja ni nani? Mteja ni mtu yeyote anayenunua bidhaa au huduma inayotolewa na biashara fulani. Mteja ni mtu muhimu sana katika biashara yoyote. Lengo la kuanzisha biashara ni kupata wateja watakaonunua bidhaa au huduma yako. Biashara yoyote isipopata wateja bora na wa uhakika, ni wazi kuwa...
  4. Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

    Wakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote, nikamjibu Poa. . Lakini yule Jamaa akanambia watu wageni wanaogopa Sana Hapo maana ULINZI zero. ...
  5. D

    Namna ya kuwafikia wateja wako kirahisi

    Bulk sms ni mfumo unaomuweza mfanyabiashara,taaisisi au kampuni kuwa na uwezo wa kuwatumia watu wengi sms kwa wakati mmoja(hadi sms 1M) Ikiwa na Sender ID Ya kampuni ama taasisi yako Mfumo Huu ni wa kisasa na ni wa haraka sana Ambao unakusaidia kuwafikia wateja wako Kwa urahisi zaidi kwa...
  6. Mitandao ya simu ilivyopoteza wateja

    Ripoti mpya ya Robo ya tatu ya Mwaka 2021 iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonyasha kuwa kumekuwa na panda shuka ya wateja wanaofanya miamala kwa njia ya simu za mkononi. Aidha, ripoti hiyo ya miezi mitatu kuanzia Julai hadi Septemba 2021 inaonysha kuwa wateja wa M-Pesa...
  7. F

    Tetesi: Benki ya Equity inatoa siri za wateja Tanzania

    Maoifisa wa benki ya Equity Tanzania wanadaiwa kutoa siri za wateja kuhusu kiwango cha pesa walichonacho kwenye akaunti zao. Hili ni kosa kwa mujibu wa sheria ya Benki Kuu ya Tanzania(BoT) lakini ni hatari kwa usalama wa akaunti za wateja na usalama wa maisha yao Hii imetokea hivi karibu Moshi...
  8. Mwanza: Polisi wawaambia Bodaboda "acheni kudanganya wanafunzi kwa chipsi"

    Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Pikipiki Kanda ya Mjini Kati, Ramadhan Jacobo amewaasa waendesha pikipiki wenzake kujiepusha na tabia ya kutongoza pamoja na kujihusisha na mapenzi na wateja wao. “Asilimia tisini ya abiria tunaowabeba na wanaotulipa fedha ni wadada, na nyie ni mashahidi...
  9. Tetesi: TANESCO hawataki kuwaunganishia umeme wateja wa Bei ya 27000

    Wakuu Kuna tetesi nilisikia kuwa Tanesco hawataki kuwaunganishia umeme wateja wale waliolipia elfu ishirini na Saba (27000) , eti kisa haikuwa Bei yenye uhalisia. Wakati nakumbuka hata Rais wakati yupo maeneo ya pale tegeta akiwa kwenye msafara wa kuelekea kaskazini, alisamama nakueleza kuwa...
  10. Kukataliwa Goli la Simba dhidi ya Coastal, Azam TV Hamtutendei Haki Wateja Wenu

    Kwema Wakuu, Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya kupata Matangazo hayo katika ubora wa hali ya juu bila ukakasi. Yaani Sisi kwa kununua ving'amuzi...
  11. Jeff Bezos afungue ofisi Africa na kuajiri watu wakupeleka bidhaa kwa wateja

    Miaka ya 90 DHL walikua na ofisi mikoani na waliajiri vijana wa kupeleka mizigo kwa wateja. Vijana walipewa pikipiki kubwa na walifanya kazi kwa ufanisi. Amazon ni kampuni kubwa, ukiweza kufungua ofisi na kusimamia Uriah I wa makontena bandarini na wateja kupelekewa bidhaa zao mpaka nyumbani...
  12. Uchawi wa Biashara ni Wateja, tumia gharama zozote kulinda "ulio nao"

    Katika maisha ya biashara na Ujasiriamali hakuna kitu kizuri kama ukiwa na uhakika wa wateja kila siku, kuna furaha flani amaizing sana isiyoweza simulika. Mtu ana simu ya ofisi ipo busy kila wakati,wateja wanapga kuuliza bidhaa zimefika au zipo au lah,raha sana ukiwa mfanyabiashara halafu...
  13. L

    Natafuta Wateja wa Websites. Niko Arusha

    Habari za wakti huu; Kwa jina naitwa Libera Niko Arusha ni binti wa miaka 22.Ninafanya biashara ya kuuza website na bidhaa nyingine za kidigitali.Mwanzoni nilikuwa nafanya shughuli ndogo ndogo lakini nikapata mwalimu akanifundisha jinsi ya kutengenza website kwa kutumia wordpress.Kwa sasa...
  14. Mambo ya Kuzingatia ili Kutoa Huduma Nzuri kwa Wateja

    1. Elewa hitaji la mteja Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya kumhudumia. 2. Jitosheleze kihuduma Kabla ya kuamua kutoa huduma yoyote kwa mteja hakikisha...
  15. K

    Azam TV Max app na matatizo ya channeli ya UTV siku za mechi za simba CAF

    Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili ya kungalia zako mpira unaambiwa CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN YOUR AREA. Ajabu ni kwamba baada ya...
  16. S

    Benki ya Equity Mwenge ni kero kubwa kwa wateja

    Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili.
  17. Kero: Wafanyakazi wa UDART kituo cha Kimara mwisho muache kukwaruzana na wateja (wasafiri)

    Kumezuka ka tabia hawa wakatisha tiketi wa Udart na wale.wanao scan na kuchana .zile tiketi kurushiana maneno na wateja kwa maana wanao safiri Leo pale kimara mwisho majira ya saa kumi jioni ktk folen ya kuelekea Kibaha kijana.mmoja.mchana tiketi alikuwa ana rushiana maneno na...
  18. Mtazamo: Taasisi na mashirika ya Serikali ambayo yana huduma mbovu kwa wateja Tanzania

    Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu wa kupitia huduma mbali mbali katika mashirika hayo kwangu naona Hawa WATANO Wafuatao kwao mteja ni "boya" na Wala sio mfalme 5. TRA 4. Polisi 3. Maji 2. Nida 1. Tanesco Kama umewahi kwenda ofisi hizo hapo juu utaona jinsi unavyopokelewa mpaka...
  19. Waziri Simbachawene aonya kampuni za simu zinazovujisha siri za wateja wao

    Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene ameitaka ofisi ya Taifa ya Mashtaka kuanza kuwachunguza na kuzichukulia hatua baadhi ya kampuni ya simu za mkononi pamoja na watumishi wake wanaovujisha taarifa za miamala ya wateja wao kwa wahalifu wa mitandaoni. Akizungumza jana Jumatano...
  20. Nape: Kampuni za simu haziibi vifurushi vya intaneti vya wateja

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Bungeni kuwa Serikali inaendelea kuchambua malalamiko ya matumizi ya Bundle kwenye simu. Amefafanua, "Malalamiko kwamba kuna Bundle zinawekwa kwenye Simu, zinatumika bila Mtumiaji kuzitumia yamekuwepo, yamefikishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…