Msako uliofanyika Ubungo Riverside unaendelea Sinza. Nadhani muda wa kwenda viwanja mbali na maeneo ya uyu Mkuu wa Wilaya.
Hapa naona ni mitaa ya Vibe Lounge (zamani Corner Bar) Sinza Mori.
Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features.
Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel...
Mimi na biashara yangu ya viatu vya shule, wateja wengi ni wamama wenye watoto mashuleni. Sasa nawaza nitumie mbinu gani ili wamama wengi wanijue au waone biashara yangu.. wenye mbinu tafadhali nisaidieni.
Na Mungu atawabariki.
Habari wadau, nikiwa Kama kijana naepambana katika kizazi hiki Cha teknolojia, Mimi ni mdau mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii, na ni miongoni mwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii kujipatia kipato.
Moja ya vitu nilivyo vi observe na nikaona vinatugharimu Sana hasa kwenye mtandao wa...
Mahakama ya Ushindani na Haki za Watumiaji Huduma (CCPT) ya Nigeria, imeitoza kampuni ya Matangazo ya Televisheni ya MultiChoice takriban Tsh. Milioni 282.56 pamoja na kuwapa Wateja wake Kifurushi cha Matangazo ya mwezi mmoja bila malipo.
Uamuzi huo unafuatia malalamiko ya Wateja wa MultiChoice...
Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN.
Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly Tigopesa. Naongea hivi kwasababu hili tatizo limeanza kutokea kipindi hiki cha week 2 hizi nimefanya...
Anonymous
Thread
changamoto
huduma
huduma kwa wateja
kubwa
mastercard
sana
taarifa
tigopesa
wateja
Ukiwa unauza Kiwanja, Nyumba, Gari ama pikipiki n.k ndani ya Jiji la Dodoma
Basi usisite kunitafuta ili tutafute wateja kama una bidhaa pia nitumie kwenye namba hizi
CALL AND WASAP 0785076070
HATA KAMA UNA BIASHARA INAHITAJI WATEJA USISITE KUNITAFUTA.
AHSANTE I 🤝
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa...
Vitengo vya huduma kwa wateja katika mashirika, taasisi za umaa na kwenye serekali za mitaa vinapaswa kuboreshwa katika miaka mitano ijayo nakuendelea kwa sababu ndivyo vinabeba dhima ya utaoji wa huduma kwa wananchi Kwani kwenye baadhi ya taasisi za umaa Zimekuwa zikiacha kuweka mkazo kwenye...
Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi.
Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila chipsi lazima wanunue na kinywaji kama soda cha kusukumia hizo chipsi, kama ujuavyo chipsi ni viazi na...
"Serikali kupitia Wizara ya Maji imeanzisha madawati ya vituo vya huduma kwa wateja kwa Mamlaka zote za Maji na Usafi wa Mazingira nchini ambapo huwa na jukumu la kupokea taarifa za huduma, maoni, ushauri na malalamiko ikiwemo bili za Maji kutoka kwa wateja na wadau mbalimbali. Baada ya...
Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi.
Tunaelewa kuwa tukio hili limeleta usumbufu na...
Habari,
Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli. Ningependa kupata mawaidha kutoka kwenu ya nifanyeje ili nianze Pata mauzo.
Nilikuwa safari yangu kuelekea Chato nikasimama mji mdogo wa Katoro nje kidogo ya Geita, nikaenda sehemu kupata huduma ya vitu mbalimbali kisha nikaona nikiapate huduma ya kifedha na mambo mengine katika tawi la NMB KATORO.
Ee bwana wahudumu wa tawi hili costmer care yao ya hovyo sana pia...
Mimi sio mchoyo nawasanua vijana.
Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja.
Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache...
Salamu Wakuu,
Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers
Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
“Wafanyabiashara wanashughulika na biashara, huku wanasiasa wakishughulika na siasa.” Katika Maonyesho ya 135 ya Canton, yaliyofunguliwa wiki hii, mwagizaji wa Marekani Steven Selikoff alipozungumzia kauli ya Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen ambaye amemaliza ziara yake nchini China hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.