wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Dar yaendelea kuongoza kwa Wateja wa Huduma za Mawasiliano Tanzania, ina Wateja Milioni 12.9

    Ripoti ya Robo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha hadi kufikia Desemba 2023, jumla ya Wateja 70,290,876 wa Huduma za Mawasiliano walisajiliwa, ikiwa ni ongezeko la 4.7% kutoka Wateja Milioni 67.1 waliokuwepo Septemba 2023. Mkoa wa Dar es Salaam...
  2. Mjanja M1

    Changamoto za Duka la rejareja

    Huu ni uzi maalumu wa kuelezea changamoto wanazopitia wafanyabiashara wa Maduka ya Rejareja almaarufu "Maduka ya Mangi". Kama una Changamoto yoyote unayopitia andika hapa, hata kama wateja wanakukosea pia ongea hapa. Asante.
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Siasa ni kama biashara, ukishajenga ngome ya Wateja wako kudondoka ni kazi ngumu sana

    SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu. Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi...
  4. luangalila

    Imekaaje kampuni ya kutoa huduma ya mawasiliano kutokuwa na kitengo cha huduma kwa wateja?

    Naona Vodacom wame amua kutoa huduma za customer service za moja kwa moja yaan namba 100. Na TCRA wapo kimyaaa, jamaa nawapigia kuwapa taarifa wafunge namba yangu imeibiwa usiku huu ila ajabu ukipiga simu namba 100 kuna option 2 tu ni either uchague 1 au 2 na zote izo hupati nafasi ya kiongea...
  5. Replica

    DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Kampuni ya Multichoice inayomiliki visimbuzi maarufu vya DSTV imelamba hasara ya Tshs bilioni 122 kwa miezi sita iliyoishia Septemba mwaka jana sababu kuu ikiwa kupungua kwa wateja wake huku Afrika kusini pekee ikipoteza wateja zaidi ya laki nne. Multichoice imedai kutekeleza malengo yake yote...
  6. Melki Wamatukio

    Kuna mama ntilie anauza chakula kizuri. Tatizo liko kwa mwanae, wateja tunapungua

    Yaani anapika msosi mtamu sana kana kwamba anaupika akiwa uchi. Tatizo ukienda kwenye mgahawa wake kula chakula, unapakuliwa msosi vizuri tu, tatizo linaanzia kwa mwanae mwenye furushi la makamasi ya njano puani na kitambi kikubwa sana ilihali ni 5 yrs only Ukiwa unasonsomola msosi, kale katoto...
  7. P

    Suala la DAWASA kukosa mita za kuwafungia wateja miezi minne limulikwe

    Unapoongea na wafanyazi wa DAWASA kuomba wakuunganishie maji alafu mtu unajibiwa hatuna mita zaidi ya miezi mitatu; inatia huruma. Mtu unabaki unajiuliza tumekwama wapi kama nchi?
  8. DPN

    TANESCO Nyakato Mwanza wanatutesa wateja wa Mwandulu - Kisesa

    Nawasilisha.
  9. MamaSamia2025

    Tupendekeze majina ya watakaoshindana kwenye Ligi ya wenye kauli mbovu kwa wateja. Makonda wa daladala wataanzia fainali moja kwa moja

    Wakuu nimeona kutokana na malalamiko ya wateja kutamkiwa kauli mbovu na watoa huduma kwenye sekta mbalimbali ni vema tukataja majina ya wahusika ili tuwaandalie ligi yao maalum. Wadhamini watapatikana. Makonda wa daladala wao wanaingia fainali moja kwa moja kutokana na kiwango chao kuwa juu...
  10. Canabian Rasta

    Huwa unawamudu vipi wateja wapenda punguzo?

    Inafika wakati biashara inakatisha tamaa, kuna hawa wateja wanao penda kupunguziwa kila kitu asee wanakera. mtu anakuja dukani anaulizia karibu kila bidhaa ukimtajia bei utasikia…….., Duh! We unabei sana! Mbona wenzako wanauza bei nafuu! Punguza bei nimekuja kukuchangia! Tuuzie kama unauza sio...
  11. 4

    NMB acheni wizi kwa wateja wenu

    Ndugu zangu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo, amani ya Bwana ikawe juu yenu. Rejea kichwa tajwa hopo juu. Why NMB Bank mnatenda hivi? Ni kweli mmekuja na app yenu on line, nawapongeza kwa hili, ila kumbukeni mteja na app yenu atachukua pesa kwenda na pesa yake na atatoa kwa wakala...
  12. M

    CRDB sim banking huduma ya ovyo inayowalaza njaa wateja wao kila siku

    Benki ya isiyojali na kufikiria kero za wateja wao ni hii bank. Hawafai basi tu. Kila siku app ina matatizo huku wateja wakilala njaa kwa kukosa huduma.
  13. Acha Dhambi

    Travel Partner Bus jalini wateja wenu

    Nimekataa tiketi ya Mwanza kuandikiwa muda wa kuanza safari ni saa kumi na kuripoti ni saa tisa na nusu ila mpaka saa kumi na mbili bus halijaingia Mbezi yaani ni shida na usumbufu mwingi na hakuna anayeshughulika na sisi yani kama watoto yatima
  14. JanguKamaJangu

    Kitengo cha Huduma kwa Wateja TANESCO kinafanya kazi chini ya kiwango

    Moja kati ya changamoto kubwa ambayo Watanzania tunayo kwenye huduma zenu ni kuhusu kuwahudumia wateja au watu wenye uhitaji. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi, kwa miezi kadhaa nimekuwa nakwaruzana na watu wa TANESCO kuhusu huduma kwa wateja “Customer Service”. Inawezekana...
  15. BARD AI

    Huduma kwa Wateja TANESCO yaelemewa, Simu zinazopigwa ni 40,000 zinazopokelewa ni 12,000 tu kwa siku

    Imebainika kuwa kati ya Wateja 10 wanaopiga Simu Huduma kwa Watje TANESCO, ni Wateja Watatu pekee wanaoweza kusikilizwa kwa siku katika kituo cha huduma kwa wateja cha Shirika la hilo la Umeme. Hali hiyo imefanya Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kutaka mikakati ya muda mfupi kuboresha...
  16. Kichwamoto

    Changamoto za wateja wa kampuni ya Meridianbet Tanzania

    Je, wapenzi wa football na swaga za kubet je hii kampuni Ina wafanyakazi waaminifu? Customer care service wako active kupokea simu za wateja? Kuhusu maamala ya mikeka hasa ya ushindi hasa wenye account zao binafsi kwenye internet, uaminifu wa cashiers kwenye kudeposit pesa za wateja kwa wakati...
  17. Eli Cohen

    BVB kazi yao kugawa wachezaji tu huku wakizoea kuwa vibonde wa Bayern.

    Yani tangia 2011/12 bayern ndio wanabeba tu kombe hadi leo huku hawa dortmund kazi yao ni kuuza vipaji kwa gharama mno bila ya kuinvest vizuri katika team yao. Kwa hio wao sasa wamekuwa soko la kutengeneza wachezaji kuhusu ubingwa na historia hilo kwao hawalijui tena. Walipaswa kuwa european...
  18. Q

    NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Kuna urasimu mkubwa sana kwenye ofisi za NSSF Mwanza ukilinganisha na mikoa mingine, bila kuwa na ndugu au jamaa anayekujua faili lako la mafao linaweza kuzungushwa hata mwaka mzima. Mimi na wafanyakazi wezangu tuliacha kazi siku moja kwenye kampuni binafsi mimi nikiwa branch ya Mwanza...
  19. Sky Eclat

    Mafundi kuweni wakweli katika ufanisi wenu, msihadae wateja

    Picha ya juu ni mchoro wa nyumba tarajiwa na picha ya chini ni fundi alichotoa
  20. Meneja Wa Makampuni

    TCRA wachunguzeni AIRTEL wameajiri watoa huduma kwa wateja wasio na qualification na hawawezi kutoa huduma za kitaalamu

    Ninaandika andiko hili kutoa malalamiko yangu kuhusu huduma za wateja zinazotolewa na kampuni ya Airtel Tanzania. Nilipojaribu kupata msaada kuhusu masuala yanayohusu mawasiliano, nilikumbana na changamoto kubwa. Inaonekana kwamba wafanyakazi wa huduma kwa wateja wa Airtel hawana ujuzi wala...
Back
Top Bottom