Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery
Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,
Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.
Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,
Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order...