watoa rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Watoa rushwa katika uchaguzi huchagua kumtumikia nani kati ya Mungu na fedha?

    Soma hiki kipande cha hotuba ya J k Nyerere ili twende sambamba kupata jibu sahihi kuhusu watoa rushwa nyakati za uchaguzi hukusudia kumtumikia nani... Tunajua wazi kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM ameshasambaza pikipiki, magari baiskeli nk zenye jina lake huku zikiwa na nembo ya CCM...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hemed: Watoa Rushwa, watiaji Gari Vioo Vyeusi (Tinted), wanaokwepa ibada Misikitini, wasichaguliwe mara hii!

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, "Tafadhalini sana, tusitumike vibaya, sisi viongozi ukiingia kwenye Chama cha Mapinduzi (CCM) tunatakiwa kuwa waadilifu, ukiingia kwenye Chama cha Mapinduzi unakula kiapo"...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Lissu atafanya vipi kazi na viongozi wenzake aliowatangaza ni watoa rushwa?

    Okay, Lissu ameshinda furaha ni kubwa kwa supporters wake lakini kwa wapinzani wake ni msiba mzito. Ni msiba sio kwa kuwa tu wamepoteza nguvu kwenye chama na Mbowe kashindwa, ila msiba mzito ni wao kusemwa vibaya wakati wa kampeni. Lissu alisema wazi chaguzi za kanda na mikoa zilijaa rushwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mimi ni Tishio kwa Majizi na Watoa Rushwa, Si Serikali

    Huyu ndiyo Mwabukusi bwana. Ama kweli Tanzania tuna watu ila hawatumiwi vizuri TLS inamfaa sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…