Picha kwa hisani ya Google
Mapacha hutokea pale ambapo yai linaporutubishwa hugawanyika mara mbili au zaidi kutoa mtoto zaidi ya mmoja au pale ambapo yai zaidi ya moja hurutubishwa na mbegu za kiume. Hali hii hutokea kwa viwango tofauti kulingana na jamii husika mfano kwa Waafrika ktk kila...