Tujipumzishe kidogo na siasa na tuangalie masuala ya kijamii. Kwanini idadi kubwa ya wanawake hawataki kuzaa kabisa au hawataki kuzaa watoto wengi (zaidi ya wawili au watatu).
Je tatizo ni uchumi, kuporomoka kwa misingi ya familia, tamaduni ngeni au kukosekana kwa sapoti ya kutosha kutoka kwa...