watumiaji wa barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Taa ya kuongozea Magari Biafra, kinondoni yaendelea kuwaka ikiwa chini zaidi ya Wiki tangu Igongwe, wahusika hamuoni?

    Wakuu Haya mataa ya kuongozea magari Biafra, Kinondoni, yameendelea kuwa chini kwa zaidi ya wiki moja tangu zigongwe na kuanguka, hali inayohatarisha usalama wa watumiaji wa barabara na kuchangia usumbufu wa foleni kutokana na kukosekana kwa mwongozo sahihi wa magari. Cha kushangaza, licha ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumiaji wa Barabara ya Ipoipo - Kihonda Sekondari (Morogoro Mjini) tunaathirika na vumbi

    Watumiaji wa Barabara ya Ipoipo kwenda mpaka Kihonda Sekondari hapa Morogoro Mjini, iliharibika baad aya awali kuwa na lami, Serikali ikachimbua-chimbua kipindi Mwenge unakuja Morogoro na kuiacha hivyo. Sasa imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hii na wafanyabiashara waliopo pembezoni, kwani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Shimo Kubwa katikati ya barabara Shekilango Latishia Usalama wa Watumiaji wa Barabara, Mamlaka Husika Hawaoni Hili?

    Shimo kubwa lililopo katikati ya barabara eneo la Shekilango mara tu baada ya tuta, limeendelea kuhatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Kutokana na ukubwa wake madereva hulazimika kulikwepa ghafla jambo linaloongeza hatari ya ajali na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Mataa ya Biafra Kinondoni ya kuongozea Magari hayawaki Wiki mbili, Watumiaji wa barabara hii tunanusurika kupoteza maisha yetu

    Nimeona watu wakinusurika kugongwa na magari, huku pia madereva wakinusurika kupata ajali katika junction ya mataa ya Biafra, Kinondoni. Hali hii inatokana na taa za kuongozea magari kutofanya kazi kwa zaidi ya wiki mbili sasa, bila kuchukuliwa hatua zozote. Mbaya zaidi hakuna dalili za mamlaka...
  5. JamiiForums Tanzania Mkaguzi Kata Iragua akitoa Mwongozo kwa Watumiaji wa Barabara kuepusha Madhara

    Mkaguzi Kata Iragua, Mkaguzi wa Polisi (INSP) Ramadhan Abdalla, akitoa msaada na maelekezo kwa watumiaji wa barabara katika eneo la Nyanya, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, kufuatia changamoto ya upitikaji wa barabara ili kutokuleta madhara kwa vyombo vta usafiri na watumiaji wengine wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania KERO Magari ya Dangote kupaki barabarani (Old Morogoro Rd) maeneo ya TANITA kueleka Mwendapole imekua kero kwa watumiaji wa barabara hiyo

    Watumiaji wa barabara ya Morogoro hususani tunaokwepa foleni kutoka picha ya ndege kuelekea Mlandizi tumekua tukitumia old Morogoro road ila kwa kipindi kirefu tumekua tunapata shida tunapofika maeneo ya TANITA na Mwendapole kutokana na msululu mrefu wa Magari ya Dangote yanapark barabarani na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Mashimo ya kwenye reli Barabara ya Korogwe - Same eneo la Chekelei ni hatari kwa watumiaji wa barabara

    Eneo hili la reli lina mashimo makubwa ambayo yanahatarisha watumiaji wa barabara hasa usiku. Wananchi Eneo hili wanashuhudia ajali kila kukicha watu wakipasua tairi za magari na kupoteza mwelekeo barabarani. Wahusika ikiwemo TANROADS Mkoa wa Tanga na wengineo wako wapi?
  8. JamiiForums Tanzania Waliokaidi ukaguzi magari ya shule wakamatwa, wananchi waombwa kulinda kundi Jipya la watumiaji wa Barabara

    Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kimesema kuwa baada ya kuhitimisha zoezi la ukaguzi wa magari ya shule(School Bus) kwa kipindi cha likizo ambacho kilitangazwa ili kuondoa usumbufu kwa wanafunzi wanaotumia vyombo hivyo kimeanza kuwakamata wale wote walio kaidi agizo hilo huku kikosi...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Kuna kipande kikubwa cha barabara eneo la Nzega kina mashimo makubwa na hatari kwa usalama wa watumiaji wa Barabara Kuu ya Shinyanga - Singida

    Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami. Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara hii na hasa kwa madereva ambao hawaijui njia hii wanaweza kupata ajali. Nimepita usiku huu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mzani wa Makuyuni Arusha ni kero na hatari kwa watumiaji wa barabara

    Kwa waliowahi kutumia barabara ya Arusha Babati watakuwa mashahidi. Eneo mzani ulipo ni mteremkoni na kuna kona mlalo hivi. Sijajua kulikuwa na ulazima gani umbali wa Arusha babati kuwa na vituo viwili vya mizani. Makuyuni na mdoli. Kama kuna ulazima huo, basi tanroads watafute sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…