watumiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Watumiaji wa halotel, Weka speed test yako na eneo ulipo, naanza mimi.

    pima speed yako >> minya hapa << Halotel internet speed test yangu nimepima nikiwa Iringa mjini, Je huko kwako ni ngapi ?
  2. Roving Journalist

    TCRA-CCC na FCS wasaini makubaliano kuwalinda Watumiaji Huduma Sekta za Mawasiliano

    Taasisi ya The Foundation for Civil Society (FCS) wametia saini makubaliano ya miaka mitatu na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC), ya Katika kuhakikisha juhudi za kulinda haki za Watumiaji wa huduma katika Sekta ya Mawasiliano...
  3. Trayvess Daniel

    Msaada uzoefu wa watumiaji wa unlimited Internet ya Airtel Mwanza mjini

    Kama kichwa kinavyojieleza, nimekua mtumiaji wa voda unlimited kifurushi cha 115K miaka miwili sasa, lakini huu mwaka kimekua na usumbufu wa hali ya juu as if ni msaada..... Nataka nihame chimbo, option pekee ni airtel, TTCL wameniwekea mkwamo, tigo nilipo ni mtihani mkubwa...... Kama unatumia...
  4. Candela

    Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung

    Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung. Ukweli ni kiwa Samsung ndio huwatengenezea Apple Screen zote za Iphone. Na sasa kwa iPhone 16 Apple watatumia Camera kutoka samsung ili kuboresha ubora wa picha zao. Tunakoelekea kununua iPhone itakuwa sawa na kununua Lamborghini Urus...
  5. Vien

    Kwa watumiaji wa Tigo

    Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya. 1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store) 2. Ingia Invite & Earn 3. Bonyeza Redeem 4. Weka hii code 2ZJVO8ZK Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
  6. Mr Why

    Mtandao wa Threads hauna faida yeyote kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta inahaja ya kuufunga

    Mtandao wa kijamii Threads hauna faida kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta ina haja ya kuufunga Idadi ya watumiaji wa mtandao huu inazidi kupungua kwa kasi kwasababu mwanzo walidhani ni mtandao wenye faida zaidi ya zile zinazopatikana X Ifuatayo ni mitandao ya kijamii (social...
  7. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  8. Lady Whistledown

    Taka zimemwagwa Mtaani Msimbazi B, hii ni hatari sana kwa Watumiaji wa Soko la Kariakoo

    Hali halisi ya Mtaani wa Msimbazi B Kariakoo Kwa hali hii watu tutaacha kupata magonjwa ya tumbo, kuhara au hata kipindupindu? Uongozi wa Soko hauoni hii hali na kushughulikia?
  9. kipanga85

    Uzi maalumu kwa watumiaji wa vifaa vyote vya kielektroniki isipokuwa vifaa vya Apple

    Wakuu habari za mishe nimefungua huu uzi ili kuhakikisha kuwa pamoja na uwepo wa vifaa vya apple(ambavyo vina gharama kubwa na watumiaji wake wanajiona sana)pia na vifaa vinavyotumia OS zingine viheshimiwe kwani navyo ni viko fire .Share chochote ila isiwe kuhusu iOS MIMI NAANZA NA UBUNTU...
  10. 6WaS9

    Uzi maalumu kwa Watumiaji wa vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs

    Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  11. Suley2019

    Serikali: Watumiaji wa Intanet wafikia milioni 36.8

    Serikali imesema kumekuwa na mafanikio makubwa ya sekta ya habari na Mawasiliano, pamoja na upatikanaji wa mawasiliano nchini, hivyo kuongeza idadi ya laini za simu, watumiaji wa intaneti na huduma za kutuma na kupokea fedha katika Mwaka wa Fedha 2023/2024 . Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...
  12. Mr Why

    Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
  13. 6WaS9

    Uzi maalumu kwa: Watumiaji wa vifaa vinavyotumia mfumo wa ANDROID kama | Smart Android TV | All Android Phones | Samsung, Xiaomi, Google Pixel, Huawei

    Sony, Lg, Smart watch za Android… Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa zitumiazo android OS Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  14. 6WaS9

    Uzi maalumu kwa: Watumiaji wa vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs

    Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  15. L

    Kwa watumiaji wa Honda Fit

    Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit Asante
  16. M

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Habari za jioni Wana JF, Nimegundua watumiaji wa iPhone asilimia kubwa Wana ushamba na ulimbukeni. Yani akiwa nayo atataka watu waione wajue kama ana iPhone, ulimbukeni wenyewe ni huu huwa wanaona iPhone ndo simu Bora kuliko simu zingine na kuzidharau hizi brand nyingine za simu. Mimi si...
  17. Bravo247

    Naomba kufahamu suala hili kuhusu watumiaji wa X zamani Twitter

    NImekuwa nikiona watu wengi wakipost picha halafu wanaandika caption video iko kwenye comment. Ni kwanini hawataki kupost video moja kwa moja kwenye post? Kwangu mimi naona ni usumbufu tu na nikiona post ya hivo huwa naachana nayo.
  18. Arnold Kalikawe

    Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

    WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status. WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30! Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
  19. A

    DOKEZO Hali ya Choo cha MV KOME II ni hatari kwa afya na usalama wa Watumiaji

    Kivuko cha MV KOME II kinachofanya safari zake kati ya Nyakarilo na Kome Kisiwani katika Halmashauri ya Buchosa, Wilayani Sengerema naweza kusema kinawafanyia ukatili abiria wanao tumia usafiri huo. Kivuko hicho kwa sasa hakina huduma bora ya choo kwani choo kilichopo ni kibovu kimejaa matobo...
  20. Roving Journalist

    Wasimamizi Millennium Tower 2 wakiri changamoto ya lifti, waomba watumiaji kuwa wavumilivu marekebisho yakiendelea

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai 'lifti' tano kati ya sita kwenye jengo la Millennium Tower 2 hazifanyi kazi, wasimamizi wa jengo hilo wamekiri uwepo wa changamoto hiyo na kuwaomba watumiaji ikiwemo wapangaji kuwavumilia kidogo wakati wakifanya marekebisho ambayo wamedai...
Back
Top Bottom