Uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Sensor Tower inayohusika na masuala ya utafiti wa Masoko ya Kimtandao, umebaini kuwa matumizi ya #Threads yameshuka kwa 75% ikiwa ni wiki chache tangu Mtandao huo kuingia sokoni.
Threads ambayo ilifanikiwa kuweka rekodi ya kupakuliwa na watumiaji zaidi Milioni...
Katika kipindi cha miaka 5 kumekuwa na ongezeko la Watumiaji 16,327,131 wa Huduma za Simu Nchini kutoka 47,685,232 mwaka 2019, sawa na 88% ya Idadi ya Watu hadi 64,088,651, sawa na 101.5% ya Idadi Watu
Mikoa yenye Idadi kubwa ya Watumiaji wa Huduma za Simu Tanzania Bara ni Dar es Salaam...
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC) linaishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya ongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uamuzi na hatua za kundoa tozo kwenye huduma ya kutuma miamala ya fedha kidijitali.
Kuondolewa kwa too hil...
Idadi hiyo imefikiwa ikiwa ni chini ya wiki moja tangu Mtendaji Mkuu wa Meta, Mark Zuckerberg alipotangaza kuuzindua, ambapo kasi yake inaonekana kuwa tishio kwa Mtandao wa Twitter.
Wakati huohuo, takwimu za mitandao zinaonesha kuwa kasi ya matumizi ya Twitter imeshuka ndani ya siku chache...
Tangia Jamii forum ianze miaka 17 iliyopita, mpaka leo bado ina watumiaji laki 6 na kidogo tu. Hii idadi ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watanzania wenye uwezo wa kumiliki simu janja.
Hii ni hasara kwa jamii kwakuwa hatuzivuni faida nyingi za watu kuwa katika huu mtandao kuliko mitandao...
SERIKALI INA MKAKATI WA KUWAWEZESHA WAZALISHAJI WA POMBE ZA KIENYEJI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA
"Hadi kufikia mwezi Oktoba 2022 jumla ya leseni 43 za ubora zimetolewa kwa bidhaa mbalimbali za Pombe za kienyeji zilizokidhi viwango na maombi mengine mapya 22 yapo kwenye hatua mbalimbali za...
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu huu mtandao kuibia watumiaji wake lakini hatuoni maboresho yoyote mimi leo nimelazimika kuandika uzi sababu nimeibiwa salio langu la tsh 300 na huu mtandao baada ya kujaza vocha wananitumia sms umekatwa sh 300 baada ya kujiunga na huduma ya "chekecha mkwanja "...
Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika.
Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) inayosimamia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutoka Nchini Ireland (DPC) imechukua uamuzi huo baada ya META kukiuka agizo la kutohamisha #Data za watumiaji wa #Facebook kwenda Marekani.
DPC ilitoa miezi 5 kwa #META kusitisha uhamishaji wa Taarifa Binafsi za Watumiaji...
Habari za muda huu wakuu?
Kwa watumiaji wa Home internet (Wi-Fi). Hivi malipo hufanyika kwa mwenendo upi?
a) Nilifikiria huenda wana count idadi ya data unazotumia, hivyo unazilipa mwisho wa mwezi. Mfano GB 20 * 2500, hivyo kulipia 50k
Au (b) Mnakubaliana kiwango fixed cha malipo bila kujali...
Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Ngenya amesema uamuzi huo unafuatia uwepo wa taarifa kuhusu Poda hususani za Watoto kuhusishwa na Saratani.
Dkt. Ngenya ameongeza kuwa Poda zilizopo sokoni Tanzania kwa sasa zinatoka Afrika Kusini na tayari #TBS imewasiliana na Mamlaka za...
E-SIM ni teknolojia inayomsaidia mtumiaji wa simu kwa na laini zaidi ya moja kwenye simu hata kama simu hiyo inakisehemu kimoja tu cha kuweka laini.
Vitu vya kuzingatia ili kuweza kupata huduma ya E SIM ni vipi?
1. Lazima simu yako iwe ina uwezo wa kupokea mipangilio ya E-SIM, kwa maelezo zaidi...
Mswada huo utamruhusu Rais wa #JoeBiden kupiga marufuku teknolojia zinazoonekana na Idara ya Biashara ya nchini humo kuweza kuleta "hatari isiyofaa au isiyokubalika" kwa usalama wa Taifa.
Serikali ya Marekani na Maafisa wa kutekeleza #Sheria wamedai kuwa TikTok, inayomilikiwa na kampuni ya...
Kituo kikuu cha mabasi ya kwenda mikoani kilichopo jijini Arusha kimekuwa kero kwa watumiaji wake kutokana na adha mbalimbali zinazowakabili abiria pamoja na wanaowasindikiza.
Kituo hicho kikuu cha mabasi kipo hapo tangu uhuru hadi na sasa kitu ambacho hakiendani na hadhi ya leo hii kutokana...
Google imeanza kuweka uwezo wa kufuta vitu na watu kwenye picha. Kwa kawaida feature hii inapatikana bure kwa watumiaji wa Google Pixels 6 na Google Pixel 7.
Kwa wiki hii Google imeanza kuweka feature hii bure kwa watumiaji wa iOS ambao wanalipia huduma ya Google One. Huduma hii ya Google One...
Apple imeongeza 5G support katika maeneo mbalimbali duniani. Tanzania ni moja kati ya maeneo ambayo sasa watumiaji wa iPhone 12 na kuendelea wanaweza kupata mtandao wa 5G.
Kwa ripoti nyingi zinaonyesha baadhi ya maeneo ambayo kwa iOS 16.4 yamepata support ya 5G ni Macau na Uturuki. Lakini kwa...
Barabara ya mwendo kasi ya Nairobi yenye urefu wa kilomita 27.1, iliyojengwa na kampuni ya China kwa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi, Jumanne iliwatambua madereva milioni kumi ambao wameitumia barabra hiyo tangu ilipozinduliwa rasmi Julai 2022.
Maofisa wakuu, watendaji wakuu na...
Kwa kweli mimi si mjuzi sana wa mambo ya simu, maana baada ya kuhama kutoka kwenye Siemens C25 nikahamia kwenye Research in Motion, na baada ya pale nikaenda Seoul, sikuwahi kurudi tena.
Sasa hapa mjini naona tu wazee wa rika langu wananifuata nyumbani eti niwaagizie simu mtandaoni maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.