watumiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Google yatuhumiwa kuuza taarifa za watumiaji wake kama mitazamo yao ya kisiasa na jinsi wanazopenda

    Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji. Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group. Brave inadai...
  2. W

    Unyonyaji wa mitandao ya mawasiliano Tanzania kwa watumiaji wake (kukosa haki ya umiliki wa kile ulichonunua)

    Utangulizi Moja kati ya nyanja zinazo ongoza kwa kunyonyaji wateja wake (watumiaji) katika nchi yetu pendwa ya  Tanzania. Basi huwezi acha zungumzia makampuni ya simu za mawasiliano ya hapa kwetu Tz Zifuatazo ni kelo tunazo kutana nazo watumiaji wa mitandao hii hapa tanzania. 1. Kukosa haki...
  3. beth

    Ripoti: Watumiaji wengi wa intaneti hawafahamu kuhusu uhalifu wa mtandaoni

    Wakati Watanzania wengi zaidi wakiendelea kujiunga Mtandaoni, kasi ya ukuaji wa Watumiaji hailingani na uelewa uliopo kuhusu hatari zinazoweza kutokea katika Mitandao Ripoti ya CIPESA inasema Watumiaji wengi wa Intaneti hawafahamu kuhusu uhalifu mtandaoni au kwanini wanahitaji kulinda Faragha...
  4. GENTAMYCINE

    Serikali: Watumiaji wa Daraja la Tanzanite, Barabara ya haraka Kibaha - Morogoro, Igawa - Songwe -Tunduma kuanza kulipia ushuru

    SERIKALI imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa - Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha. Kwa jinsi Pesa...
  5. Lady Whistledown

    Marekani: Twitter yapigwa faini ya tsh. 349,050,000,000 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za watumiaji

    Kampuni ya Twitter nchini Marekani mapema wiki hii, imepigwa faini ya Tsh. bilioni 349,050,000,000 sawa na dola Milioni 150 za Marekani, baada ya kudaiwa kutumia kinyume cha sheria taarifa za wateja wa mtandao huo wa kijamii Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) na Idara ya Haki wanasema kwamba...
  6. Suley2019

    Facebook na Instagram kufichua namna matangazo yanavyowalenga watumiaji

    Kampuni mama ya Facebook Meta imesema itaanza kutoa maelezo hadharani kuhusu namna matangazo watu. Hatua hii imefikiwa ikiwa miezi michache kabla ya uchaguzi wa muhula wa kati nchini Marekeni. Aidha, tangazo hilo linafuatia ukosoaji wa miaka mingi kwamba mitandao hiyo huzuia habari nyingi...
  7. JanguKamaJangu

    Daktari: Watumiaji wa dawa kuzuia hedhi hatarini kupata magonjwa ya MOYO

    Wataalam wa afya wametoa angalizo kwa wanawake wanaotumia dawa za kuzuia hedhi bila kuzingatia ushauri wa daktari kuwa wako hatarini kupata madhara, yakiwamo maradhi ya moyo. Daktari wa Magonjwa ya Kinamama Hospitali ya Rufani Mkoa wa Njombe, Shomari Masenga ametaja dawa hizo kuwa zimegawanyika...
  8. JanguKamaJangu

    Dar es Salaam: Hali ya mazingira Soko la Kawe siyo nzuri kwa afya za watumiaji na wakazi

    Kutokana na mvua kuendelea kunyesha mara kwa mara Jijini Dar es Salaam hali ya usafi katika Soko la Kawe imekuwa siyo nzuri, mazingira haya yanatajwa kuwa sio salama kwa watumiaji sokoni hapo na wakazi wa maeneo ya Kawe. Soko hilo lipo katika Jimbo la Kawe ambalo Mbunge wake ni Joseph Gwajima...
  9. Kurunzi

    TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi. ===== DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
  10. sky soldier

    NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

    siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20 Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
  11. J

    Makundi matatu ya watumiaji wa MADAWA YA KULEVYA na je, mtumiaji anaweza kupona?

    Watanzania wengi wamekuwa wakiumizwa na changamoto za vijana wao kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya na kujikuta wanapoteza malengo yao ya kimaisha kama vile kupata elimu, kuwa na maisha mazuri, kuwa na familia bora na kujikuta wanaangukia kwenye utegemezi mkubwa badala ya wao...
  12. itel Mobile Tanzania

    Itel kuongeza idadi ya watumiaji wa smartphone Tanzania

    Hivi karibuni serikali kupitia wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ilitoa takwimu za watumiaji wa simu janja/smarthpone na kusema ni 27% tu ya Watanzania wanaotumia smartphone. Pengine mtu anaweza kujiuliza kwanini kiwango hiki ni kidogo sana ukilinganisha na idadi ya watu waliopo...
  13. Baba Rhobi

    Watumiaji wa Xiaomi Redmi na yeyote anayetumia smartphone msaada wenu wakuu yamenifika

    Wakuu habari ya nyie, hopefully mko poa, Leo nimepata shida kidogo kwenye kimeo changu cha redmi 8a, kimeingiliwa maji kidogo, sasa msala ni kwamba, upo kwenye mic na spika. Mtu akipiga ina ita kama kawaida (inatia sauti vizuri) ila nkipokea sim sikii kabisa, mpaka niweke loudspeaker hapo...
  14. J

    Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

    January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi. Pamoja na...
  15. K

    Watumiaji wa Unlimited Internet leteni mrejesho

    Wakuu nahitaji mrejesho kwa wanaowafahamu , hawa wana fiber mjini na nje ya mji au mikoani ni wireless but wanajinasibu wana unlimited yeny bandwith kama posta yao inavyoonyesha au tofauti na hawa nipeni some recomendations
  16. Kasomi

    TikTok yaipiku Google kwa wingi wa watumiaji wa mitandao

    TikTok inapendwa zaidi na watumiaji mtandaoni kuliko Google ambayo imeshikilia nafasi hiyo kwa miaka 10 mtawalia. Mtandao huo wa kushirikisha video unatembelewa zaidi kuliko Injini ya utaftaji ya Marekani, kulingana na Cloudflare, kampuni ya usalama IT. Viwango hivyo vinaonyesha kuwa TikTok...
  17. Analogia Malenga

    WhatsApp na iMessages inawapa FBI taarifa nyingi za watumiaji

    Taarifa za FBI zimeonesha wanaweza kupata taarifa nyingi za watumiaji wa mitandao ya kijamii ya WhatsApp na iMessage ambapo mitandao kama signal na Telegram imeonekana kutotoa taarifa nyingi za watumiaji Hata ukiwa mtumiaji wa Iphone FBI hupewa taarifa hizo na kampuni muda wowote...
  18. Sam Gidori

    Australia: Sheria itakayoiwajibisha mitandao ya kijamii kwa watumiaji wasiojulikana kutungwa

    Serikali ya Australia imepanga kutunga sheria itakayolazimu mitandao ya kijamii kuonesha utambulisho wa watumiaji wasiotumia majina halisi watakaochapisha maudhui yenye kuudhi, au kulazimu mitandao hiyo kulipa faini kama fidia kwa madhara yatakayotokana na maudhui hayo ikiwa watashindwa kutoa...
  19. Kasomi

    WhatsApp imetoa App mpya kwa watumiaji wote wa Windows

    WhatsApp imetoa app mpya kwa watumiaji wote wa Windows. App mpya ya WhatsApp imebadilishwa UWP (Universal Windows App) yote ili kuendana na Windows 11 na Acrylic graphics Effects mpya za Windows. Kwa sababu inatumia mfumo mpya, Inafunguka faster sana (chini ya sekunde 2); ina maboresho ya...
  20. Kasomi

    Apple kuwapa watumiaji wake uhuru wa kutengeneza simu zao wenyewe

    Kwa muda mrefu Apple imekuwa ikizuia wateja wake wasijitengenezee simu, Macs au vifaa vya Apple; au kutumia mafundi ambao hawajasajiliwa na Apple. Hali hiyo ilipelekea Apple kufunga na kuzuia watu wasirekebishe simu kwa mafundi wa mitaani ambao sio authorized na Apple. Kutokana na baadhi ya...
Back
Top Bottom