watumiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kali linux

    TWITTER API HACKED: Mamillion ya data za watumiaji wa twitter yanauzwa

    Hello bosses..... Musk alikosea sana kufukuza fukuza watu hovyo, mm shabiki yake lkn kwa hilo alikosea, makampuni mengi yamefanya layoff ila yanaenda polepole sio kwa speed ya kufukuza watu wengi kiasi kile. Sasa watu wamedukua twitter masaa mawili yalopita, data za zaidi ya watumiaji million...
  2. BARD AI

    Apple kuruhusu watumiaji kuweka Apps za nje ya App Stote

    Apple inalazimika kuruhusu watumiaji wa iPhone kuwa na uwezo wa kuweka app bila kutumia App Store ya Apple. Mabadiliko haya yatawezesha watumiaji wa iPhone ku-install app yoyote nje ya App Store. 📲 𝙆𝙬𝙖 𝙠𝙖𝙬𝙖𝙞𝙙𝙖, ukiwa unataka kuweka app kwenye simu ya iPhone, unalazimika kwenda katika App Store...
  3. C

    Kwa watumiaji wa kinywaji cha Serengeti Lite

    Mimi ni mmoja wa watumiaji wa kinywaji hiki pendwa cha Serengeti Lite Mwanzoni kilipoanza kusambazwa kwa watumiaji chupa zake zilikuwa na maandishi madogo kwenye chupa yanayooeleza tarehe ya kutengezwa na tarehe ya mwisho wa matumizi ya kinywaji hicho na zilikuwa na ladha nzuri sana. Baadaye...
  4. BARD AI

    Marekani: Tiktok yashtakiwa kwa kudanganya kuhusu Usalama wa Taarifa Binafsi za Watumiaji

    Mwanasheria Mkuu wa Jimbo la Indiana amesema mtandao huo unawapotosha watumiaji wake hasa watoto kuhusu kiwango cha Maudhui Yasiyofaa na Usalama kwa Mtumiaji. Katika malalamiko yaliyowasilishwa na Todd Rokita ambaye ni Wakili Mkuu wa Republican amesema kuwa Tiktok inakusanya maelezo nyeti na ya...
  5. BARD AI

    Tetesi: Data za watumiaji zaidi ya Milioni 487 wa WhatsApp zinauzwa mtandaoni

    Kuanzia November 16; taarifa za watumiaji hao zimevuja na zinauzwa mtandaoni. Taarifa hizi zikiwemo namba za simu, majina (kwa wanaoweka majina yao kwenye akaunti zao) na profile picture zimekusanywa na kuuzwa kwenye Dark Markets. Hakuna chats zilizovuja; data zinazouzwa ni namba za simu za...
  6. mangiTz

    Kampuni nyingi hazina mifumo imara kukabiliana na ongezeko la watumiaji

    Habari wakuu, poleni na majukumu pia. Kuna Uzi alileta mdau mmoja kulalamikia mfumo wa TRA kuwa ifikapo muda wa kufile return Huwa unasumbua na kuchukua muda mwingi kupokea (mfumo kupakia data) hivyo huleta usumbufu kwa watumiaji Hivi pia nmeona makampuni kadhaa nitatolea mfano katika...
  7. BARD AI

    Watu milioni 7.8 wataka Trump arudi Twitter, Elon akubali kumrejesha

    Ni baada ya mmliki mpya wa Twitter, Elon Musk kuweka chaguo la Kura kuwataka watumiaji wa mtandao huo kuamua Donald Trump arudi au asirudi. Ndani ya saa 24 jumla ya Kura zilizopigwa ni 15,085,458. Kura 7,844,438 zimetaka Trump arudishiwe akaunti yake huku Kura 7,241,019 zikimkataa Rais huyo...
  8. TODAYS

    Kutokana na kauli ya Waziri Nape kwenye matumizi ya bando; Wataalam na watumiaji majibu yenu Muhimu

    Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi. Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda. SWALI: Wale...
  9. J

    Nape: Serikali haifurahishwi na Mahusiano ya watoa huduma za Mawasiliano na Watumiaji

    Hayo yamesemwa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (MB) wakati akichangia Mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa utakaotekelezwa Mwaka 2023/2024. “Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayoonyesha...
  10. BARD AI

    Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

    "Chief Twit" mpya wa Twitter Elon Musk anaripotiwa kufikiria kufanya blue tick kuwa kuwa kipengele cha Twitter Blue, wakati huo huo akiongeza mara nne gharama ya huduma ya usajili. Hii inamaanisha kuwatoza watumiaji ada ya kila mwezi ya $20 ili kuweka beji yao ya tiki ya bluu. Inaelezwa kuwa...
  11. BARD AI

    Watumiaji wa simu, intaneti waongezeka Tanzania

    Watumiaji wa simu za mkononi wameendelea kuongezeka nchini ikielezwa kuwa ni kutokana na mazingira wezeshi katika sekta ya mawasiliano kuelekea uchumi wa kijidali. Hayo yamebainishwa katika ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyotolewa leo Oktoba 25 jijini hapa. Kwa mujibu wa...
  12. BARD AI

    Wakenya wapewa saa 24 kukamilisha usajili wa line kabla ya kuzimiwa mawasiliano

    Watumiaji wa Simu nchini humo wamebakiwa na chini ya saa 24 kukamilisha usajili wa laini zao za simu kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijazima huduma za mawasiliano yao. Kwa mujibu wa CAK watumiaji simu na kampuni za mawasiliano waliongezewa muda wa miezi 6 kuanzia April 15, 2022 ambao...
  13. BARD AI

    META yasema watumiaji milioni 1 wa Facebook wamedukuliwa

    Taarifa kutoka mtandao huo zinasema walibaini Apps zaidi ya 400 za udukuzi kwenye Play store ya Google inayotumiwa na vifaa vya Android na App Store ya vifaa vya Apple zinazoiba Taarifa Binafsi za wateja. Msemaji wa META, Gabby Curtis ametaja taarifa zinazohusishwa na udukuzi ni pamoja na...
  14. BARD AI

    Twitter yashutumiwa kupotosha kuhusu ulinzi wa taarifa za watumiaji

    Akitoa ushahidi wake mbele ya Bunge la Marekani, Mkuu wa zamani wa usalama wa mtandao huo, Peiter Zatko amesema data za watumiaji hazijalindwa vya kutosha na kwamba wafanyakazi takriban 4000 wanaweza kuzipata. Amezitaja taarifa za mtumiaji ambazo Twitter haijaziweka salama kuwa ni namba ya...
  15. R

    shared vs dedicated internet? Speed na idadi ya watumiaji

    Habar wadau Hivi vitu viwili mm huwa sivielewi kabisa nilichogundua kuna kitu sikujui hapo ivo nikaona bora niulize ukienda kwenye mitandao km TTCL au SIMBANET nk wana internet za dedicated na wanadai speed haishuki na wala internet haikatiki ilabei yake sasa weeeh laki 5 per mouth not fair...
  16. H

    SoC02 Namna viwanja vya wazi vinatumika kuongeza watumiaji wengi wa madawa ya kulevya Dar es salaam

    Serikali ilikua na lengo zuri sana kutenga maeneo ya wazi kwaajili ya matukio ya kijamii kama vile walsha, michezo, matamasha na vinginevyo vifananavyo na hivyo. Kama ilivyo adha kwamba kila kizuri kina kasoro basi, kwa utafiti wangu nilioufanya kulizunguka jiji la dar es salaam nimegundua...
  17. Christopher Wallace

    Star times ndio king'amuzi chenye watumiaji wengi nchini

    Hii ni kwa mujibu wa TCRA.
  18. JITU LA MIRABA MINNE

    Watumiaji wa simu ya Xaomi Redmi 9A niambieni mnaweza kunishawishi ninunue hii simu?

    Hii simu ina ubora gani na inarate sh ngapi?
  19. JanguKamaJangu

    Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

    Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kwamba tayari limekwishaifutia usajili baada ya kubaini imechanganywa na dawa za kuongeza nguvu za kiume (Viagra). Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba...
  20. Twilumba

    Serikali iiangalie TEMESA-kuna uzembe utakaokuja kugharimu maisha kwa watumiaji wa vivuko

    Nikiri wazi kuwa mimi ni mmoja wa watuamiaji wa vivuko vinavyosimamiwa na TEMESA katika eneo la Ferry Kigamboni. Niwapongeze kwa kuingia makubaliano na Azam kama mdau wa usafiri wa majini kwa kuja na SEATAX ingawa nijuavyo yapo mazingira ya kunufainishana kwa wakubwa in either ways and levels...
Back
Top Bottom