Wakuu!
Wazee wa kutafuta vichaka vya kujifichia sasa tumefikiwa.
Nimekua nikitumia linux kama primary kernel kwenye laptop yangu kazi
Moja ya sababu ni usalama, kupinguza attack, virus etc zinazo sumbua kwenye windows os
Sasa kuanzia update ya trh 25 - 29 /3, red hat waligundua backdoor...
Wasaalam Natumai Hamjambo Kabisa...!!
Wakuu nisaidieni jinsi ya ku connect DLS 2024 nataka kutembeza kichapo mahali halafu mtu nnaetaka kucheza nae yupo Marekani.
Mie nipo Tanzania msaada tafadhali
Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa.
Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana.
Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin...
Mimi ni mkazi wa Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo, Dar es Salaam) huku kwetu kuna kero ya barabara kuwa mbovu.
Changamoto hiyo inasababisha ajali na usumbufu mkubwa hasa kwa watoto wa shule, Barabara hiyo haijawahi sawazishwa kwa miaka karibu miwili sasa.
Tunaomba Serikali ya Mkoa iangalie hali...
Anonymous
Thread
barabara
changamoto
kutokana
ubovu
ubungo
watumiaji
Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Tik Tok basi tambua kuwa Kuanzia sasa muziki wowote unaomilikiwa na Universal Music Group hautakuwepo kwenye orodha ya nyimbo za kutumia TikTok. Video za zamani zilizotumia nyimbo za wasanii wa Universal Music Group hazitakuwa na sauti tena.
Kwenye barua ya...
Kama mtu ambae napenda kufanya research, Kutokana na utafiti (si utafiti wa kisayansi kwa 100%) nilioufanya nimegundua kuwa wengi wa member wa JF huamini ndivyo sivyo kuhusu member wenzao.
Baadhi wamekuwa wakiamini kuwa asilimia kubwa ya member ni watu wa kipato cha chini lakini hujikweza kuwa...
TCRA Wametoa report ya Q2 inaonyesha watumiaji wapo 35M wa internet.
Hii ni work force kubwa sana , na ni muda wa serikali kuwaza sasa kutengeneza ajira za mitandaoni nyingi sana.
Ukosefu wa ajira za kawaida na ongezeko la watumiaji wa internet inaleta picha ya ama serikali itengeneze ajira...
Kwanza nianze kwa kuwapa salam.
Muende moja kwa moja kwenye malalamiko yangu. Ni jumanne ya wiki hii nyumba tunayoishi Mimi pamoja na wapangaji wenzangu tulikatiwa maji kutokana na baadhi yetu kulimbikiza malipo ya Ankara za Kila mwezi. Siku ya jumatano tulifanikiwa kulipa bili pamoja na faini...
Ni mwaka wa sita huu natumia windows 10, najikuta kwenye mazingira ya kushawishika kuweka windows 11 maana ndio windows toleo jipya zaidi, ila nimeona kwanza nipate ushauri wenu mnaotumia ama mliowahi kutumia windows 11.
Kuna mambo gani tunayakosa watumiaji wa windows 10 ?
mipangilio...
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa taarifa ya mwenendo wa Sekta ya Mawasiliano katika kipindi cha July hadi September mwaka huu ambapo imesema kumekuwa na ongezeko la Watumiaji wa Intaneti kwa 1.24% kutoka Watumiaji 34,047,407, mwezi June 2023 hadi kufikia 34,469,022 mwezi September...
Kwa muda sasa kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata watumiaji wa magari ya gas. Foleni ya kujaza gas ni masaa 3 hadi 4.
Hakuna sababu za msingi zaa kunyima watu vibali vya ujenzi wa vituo vya gas. Wajibisha hawa watu ili hili tatizo liishe.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hilo linatokana na ongezeko la Wananchi zaidi ya 50% kutumia Intaneti ambapo kama kuna mtu ana mawazo ya hovyo atatamani kufanya majaribio yake huko, hivyo Serikali imekuwa ikitunga Sheria zitakazowalinda watumiaji wake...
bahari
bahari ya hindi
karibu
katika
kuchukua
kuwepo
kwani
maafa
maisha
maisha yetu
mwanzo
ofisi
raha
roho
tahadhari
tangazo
tma
volcano
wananchi
watumiaji
waziri mkuu
Kwa muda mrefu, Apple imepongezwa kwa faragha na usalama wa watumiaji wake. Mfumo wa iOS, ulijijengea sifa ya kuwalinda watumiaji dhidi ya vitisho vya kidijitali. Hata hivyo, hakuna mfumo ambao hauwezi kushambuliwa kabisa.
Watafiti wa Citizen Lab na Kikundi cha Utafiti cha Usalama cha Google...
Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini.
Mfano Tandika
Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine.
Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula.
Warembo wa huku ni wale ambao hawana...
Hichi kinywaji kadili siku zinavyozidi kwenda kinazidi kupata umaarufu mkubwa hasa kwa vijana mida ya jioni wengi wameachana na kahawa wamehamia huku kwenye alkasusu
Ukisikiliza story za vijiweni vijana wanakuambia kinywaji hichi kinasaidia kudumisha ufanyaji wa tendo la ndoa kwa muda mrefu...
Adhabu hiyo imetolewa na Mamlaka ya Ulinzi wa #TaarifaBinafsi ya Norway baada ya META kutoweka wazi jinsi inavyoingilia Faraga za Watumiaji wake kupitia Matangazo ya Biashara
============
Facebook owner Meta Platforms (META.O) will be fined 1 million crowns ($98,500) per day over privacy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.