watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    Wakopeshaji umiza kwa watumishi wa umma ni matokeo ya sera za CCM

    Mara kwa Mara ukiiangalia taarifa za habari utakutana na watu wanaoitwa wakopeshaji umiza. Hawa ni shylocks kwa lugha ya Kiingereza au ukipenda waite "mashailoki". Hawa jamaa wanawakopesha watumishi wa uma kwa masharti makali na ya aibu mno. Kwanza riba ni kubwa sana inaanzia 40%+ lakini pia...
  2. MEXICANA

    Kuhusu kuongeza mishahara ya watumishi wa umma awamu ya utawala huu, alternative hii ingetumika

    Annual increament ni haki ya kila mtumishi wa umma kupata. Ila kwangu Mimi sioni impacts yake katika maisha ya sasa maana ni hela ndogo sana. Ningekuwa mimi mhe. Raisi wa Jmt ningechukua maamuzi ya kuwalipia madeni yote watumishi wa umma kwenye kila taasisi walikokopa particularly mabenki...
  3. Mukulu wa Bakulu

    Utaratibu wa kuhama kwa Watumishi wa umma kwenye mashirika ya umma ukoje?

    Nimeuliza kwa faida ya mtu mwingine ambae amekuja kuniuliza akidhani najua kila kitu. Je, kwa watumishi au mtumishi wa umma ambae anafanya kazi shirika au taasisi ya umma inayojitegemea akitaka kuhamia taasisi nyingine anafuata utaratibu upi? Kwenye mtandao au kwenye tovuti ya utumishi...
  4. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    NMB mjirekebishe, mnakera sana huduma ya mikopo kwa watumishi wa umma

    NMB ndio benki yenye wateja wengi sana nchini karibia asilimia tisini ya wafanyakazi wa umma mishahara yao inapitia benki hii. Lakini tatizo kubwa la NMB kama benki mama ni huduma ya mikopo mbovu kwa watumishi wa umma kuna mlolongo na usumbufu wa kutosha kwa mtumishi hadi anashawishika kutoa...
  5. Superbug

    Watumishi wa umma mjijenge kisaikolojia, ya Kikwete hayatajirudia milele

    Nawasihi watumishi wa umma hamtarejea Tena alipowatoa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais magufuli amewahisha anguko lenu ambalo kiukweli lilipaswa kuja baada yake. Kimsingi mtaloose kuanzia sasa mpaka kizazi Cha 15 yrs to come hivyo ambao mlikuwa mnalewa anzeni kujenga na kuweka vitega uchumi, hali si...
  6. Dam55

    Rais Magufuli: Hatutasitisha mishahara ya watumishi wa Umma kwa sababu ya COVID-19

    Ukiacha mambo mengine aliyo yazungumzia mh Rais Jana kwenye hotuba yake jambo la kutia faraja kwa watumishi wa Umma ni hili. Kwamba watendelea kuwalipa mishahara kama ilivyo kawaida na haita punguzwa. Hili limewatoa hofu watumishi wengi walio kuwa na hofu ya kusitishiwa mishahara yao kwasababu...
  7. cha1509

    Mei Mosi 2020: Rais Magufuli atuma salamu za siku ya wafanyakazi, asisitiza waendelee kufanya kazi na kujiepusha na Corona

    Mh. Rais awasihi wafanyakaz wazidi kuchapa kazi katika kipindi ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha kupambana na Covid19 ........ Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Salamu Za Mei Mosi Kwa Watumishi Wa Umma

    Asalaam poleni na Hongereni kwa mapambano ya Covid19.. ALLAH atatufanyia wepesi Inshaallah.naamin umesema Amin. Naomba nitumie jukwaa hili kuwapa salamu za MEI MOSI Watumishi wa UMMA kada zote.. niwapongeze sana kwa uvumilivu wao wa Miaka 4, bila nyongeza ya MISHAHARA , na bila kupanda...
  9. Azarel

    Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

    Habarini Wadau, Ninaomba kuuliza lakini pia kupatiwa msaada katika jambo hili. Mwaka Jana mwezi wa 5, watumishi wengi wenye sifa walipandishwa madaraja. Lakini cha kushangaza katika mabadiliko ya mishahara ni kama kuna ubaguzi kwa watumishi. Kwa Mkoa wa Kilimanjaro kuna ambao wamebadilishiwa...
Back
Top Bottom