Ndugu zangu wana JF, majibu ya PM Kassim Majaliwa yanashangaza sana na kutia ukakasi. Majibu aliyotoa kwa mbunge wa Konde kuwa kuongeza mishahara huongez gharama za maisha ni fedheha kubwa kwa watumishi wa umma.
Hivi PM Majaliwa tokea umekuwa waziri mkuu wa Tanzania unataka kusema kuwa gharama...
Ujumbe muhimu kwa Watumishi wa Umma.
Japo kuna baadhi ya watumishi hawatoweza kunielewa nini naamaanisha ila namaanisha kweli.
Kwanza kabisa naomba nieleweke ni hivi mshahara haujawai tosha na wala hautakuja kutosha.
Jambo la msingi ambalo watumishi mnatakiwa kujifunza ni jinsi ya kumeneji...
Kwenye uchumi ambao bei za bidhaa zinapanda kila uchwao, ili mtu uendelee ku survive na maisha, ni budi kipato kipande ili kupunguza ukali wa maisha. Hii kwa wachumi tunaiita 'Cost of living adjustment - COLA'.
Ndo maana utaona salary review zinapaswa kufanyika kila mwaka, na endapo kama...
Mishahara duni ina athari kubwa sana kwa watumishi wa umma na Taifa kwa ujumla na hizi ni baadhi ya athari hizo kwa watumishi na Taifa letu.
1. Low purchasing power
Mishahara duni inapunguza uwezo wa mtumishi kufanya manunuzi na hivyo wakati mwingine humlazimisha mtumishi kukimu mahitaji yake...
Wanabodi hili ni bandiko la kuelezana ukweli,na kama viongozi wetu ni wakweli basi hakuna haja za kusubiri mpaka mei mosi ifike ili mishahara ya watumishi wa umma iongezwe.
Mwaka 2017 kwenye mkutano mkuu wa 33 wa ALAT jijini Dar es salaam rais JPM alisema hawezi kuongeza mishahara ya watumishi...
Wanabodi,
Ukizingatia changamoto tulizo kuwa nazo ni vyema kuona kwamba tumevuka mwaka 2020 salama.
Kitu ambacho ningependa kujadili na wenzangu leo ni hali ambayo imekuwa ikijitokeza na kujumuisha viongozi serikalini kutumia njia ya ukali usio wa lazima na kwa vipindi vingine njia ya kuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Salum Hapi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.
Kufuatia hali hiyo RC Hapi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya...
Tuliwalaumu na kuwalaani wakoloni kwa mambo mengi mojawapo ikiwa ni kutoa ujira mdogo kwa watu weusi na tukaamini tukipata uhuru, mambo haya yataisha.
Cha ajabu, leo hii watwala ambao ni watanzania wenzetu, wanaturudisha kule kule tulikotoka sio tu kwa kutoa mishahara inayoendana na gharama...
Mishahara ya watumishi wa Umma nimikubwa kiasi gani? Unatembelea ofisini kwa mtu unamiuta anasimu tatu smartphone zenye thamani ya si chini ya milioni mbili kila moja, unajiuliza haya mafedha wanayatoa wapi?
Je, huu ni utajiri au nikukosa elimu ya matumizi za fedha? Inaweza kuwa tunashangaa V8...
Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.
Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na...
Nchi masikini zenye uchumi unaoyumba (unstable economy) na mfumuko mkubwa wa bei (high inflation rate), hulazimika kila mwaka kuongeza mishahara ya watumishi wake ili kujaribu kukabiliana na mfumuko wa bei. Ongezeko hilo la mishahara kwa kawaida huwa ni kiduchu lakini matokeo yake huwa ni...
Huyu mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza amekua akikusanya Watumishi wa Umma katika kila tarafa kuzungumza na kuwatisha kwamba yeyote atakayeongelea upinzani au kuupigia kura upinzani. Wakati huo huo anawapigia kampeni wagombea wa CCM.
Hii Taarifa iwafikie tume ya taifa ya uchaguzi NEC...
Wapo watumishi wa mahakama, tume, vyombo vya dola na taasisi nyingine wamekatazwa na sheria kwa kipindi chote Cha utumishi wasijihusishe na siasa lakini aidha kwa kujua au kutokujua leo wanavaa nguo za vyama, wanaposti picha kwenye mitandao wakiwa na nguo za chama Cha siasa na kuandika katika...
Habari wakuu!
Jumatatu nikiwa ofisini katika stori za hapa na pale Mzee mmoja ambaye ndiye mkuu wa kitengo chetu au boss wetu akajikuta ametamka neno.
Alisema hivi "Magufuli akiongeza mshahara mwezi huu( October) tutamwagia kura mpaka ashangae".
Kila mmoja anajua kuwa watumishi wa umma...
Habari Wana wa JF.
Niende madani.
Tangu Rais Magufuli aingie madarakani mwaka 2015, kumekuwa na mabadiliko katika utumishi wa umma. Kuna mengi ila nizungumzie haya machache.
1. Mosi, Watumishi wa umma wengi wamefungua maduka madogo ya rejareja ili kujikimu kimaisha.
2. Pili, Watumishi wengi...
Wana JF;
1. Jana nilitupia uzi humu nikichambua mikakati ya CCM ya kujipatia ushindi haramu ktk uchaguzi mkuu huu nje ya ballot box kwa kuwatumia watumishi wa umma; walimu, manesi, madaktari wetu, polisi, TISS, DEDs, DCs na maRCs.
2. Mpaka sasa mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli anaamini...
Nimefuatilia hoja za viongozi wengi wa Umma wenye PhD na Masters, kila wanaposimama kuzungumzia mstakabali wa nchi yetu wamekuwa wepesi sana KUTUDANGANYA.
Matumizi ya elimu za wasomi ambao ndio viongozi waandamizi wa Taifa letu hayaendani kabisa na kile wanachokichangia kwa Taifa.
Msemaji wa...
Huu Uzi nauandika nikiwa na machungu sana.
Miaka mitano
- Sijapandishiwa mshahara
- Sijapanda daraja
-I ncrement ya mbinde.
- Kazi yetu kama Watumishi wa Umma haithaminiwi. Wanaoshukuriwa kwenye mikutano ni watumishi wa Vyombo vya dola tu.
- Kila siku kiongozi mkuu anasema fedha ziko za kutosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.