watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. shebination

    Waziri Mchengelwa aangukia pua zoezi la upandishaji madaraja watumishi wa umma, vilio vyatanda kila kona

    Waziri Mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa awaoni badiliko lolote. Walio karibu na waziri nisaidieni kumfikishia hii
  2. Christopher Wallace

    Watumishi wa Umma ambao hatujapanda daraja tukutane hapa

    Baada ya mbwembwe nyingi na mshahara kuchelewa tukiamini kuwa tutapanda madaraja, hatimaye salary imetoka bila mabadiliko yoyote! Vipi huko uliko mtumishi upi katika hali gani?
  3. Josephat Sanga

    Asante Rais samia, tumeona madaraja watumishi wa umma. Mungu akuzidishie

    Asante mama asante sana kilikuwa ni kilio cha watumishi wa umma miaka mingi ila umetenda Mungu akubariki
  4. kurlzawa

    Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

    Habari za mchana huu wakuu, Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake. Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali...
  5. B

    Rais Samia, wakumbuke watumishi wa umma katika teuzi za Ma-DED, Ma-DAS na wakuu wa Taasisi za Umma

    MHESHIMIWA RAIS SASA NI MUDA WA KUWAKUMBUKA WATUMISHI WA UMMA KATIKA TEUZI ZA MA-DED, MA-DAS na Wakuu wa Taasisi za Umma 1. Tunatambua nguzo kuu mbili katika utendaji wa serikali. Ya kwanza ni ile ya watendaji katika shughuli za kisiasa ikiwemo Mawaziri, Manaibu Waziri, ma-RC, na ma-DC. Ya...
  6. N

    Rais Samia, unapoteua zingatia watumishi wa muda mrefu na wenye uzoefu serikalini badala ya kuwatoa mtaani

    Ninashauri ni wakati wa serikali kufikiria namna nzuri kufanya teuzi mbalimbali katika nafasi za serikali kwa kuzingatia uzoefu wa Kazi serikalini, uadilifu ili kutengeneza uzalendo. Kwa mfano haileti taswira nzuri kumuacha katibu wa tarafa au maafisa wameoshika nyadhifa mbalimbali ktk Idara...
  7. Tazama Ramani

    Je, kati ya Machinga na Watumishi wa Umma, nani hasa wanaochafua miji?

    Salaam wanabodi, Moja kwa moja kwenye hoja. Tatizo tulilonalo ni ajira hii ni fact, watafiti wanasema kufikia 2050 Africa itahitaji ajira mpya zaidi ya milioni 500 (source frani hivi) Hakuna serikali duniani iliomaliza tatzo la ajira kwa kuwaajiri wananchi wake wote (if I'm wrong, correct me)...
  8. B

    Kuahirishwa kwa kesi Mdude ni kielelezo cha kiburi cha Watumishi wa Umma Tanzania

    Mahakama inapanga tarehe ya kusoma hukumu ya mtuhumiwa, tarehe inafika na mtuhumiwa anafika mahakamani the mahakama inadai hukumu haijakamilika na mtuhumiwa kurejeshwa rumande kwa zaidi ya siku 14. Hakimu Kama huyu analipwa pesa na serikali na hakuna sehemu utasikia viongozi wake wakilalamika...
  9. Liverpool VPN

    Ahsante Rais Samia, kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

    Niliajiriwa 2013 tokea hapo sijawahi panda daraja. Mwendazake alinyonya sana haki yetu. Tena zile haki za kisheria kama increments ila mama ameponya majeraha ya msukuma. Watumishi kwenye BAJETI 2021/22. 1. PAYE imeshushwa kutoka 9% mpaka 8%. 2. Bil 449 kwa ajili ya kupandisha vyeo watumishi...
  10. Man Mvua

    Suala la Mishahara kwa watumishi wa Umma liangaliwe upya, tena kwa macho manne

    Amani iwe juu yenu. Jambo la mishahara ni kitu muhimu sana kwa mtu ndio maisha yake na ndio uhai wake. Kuna mtumishi namba moja aliyepita alipata kusema "Asiyefanya kazi na asile na maana yake afe" hivyo kila mtu hufanya kazi ili aishi yeye na familia yake. Unyeti wa mshahara ndio umefanya...
  11. Fatma-Zehra

    Rais Samia ana moyo mweupe kwenu Watumishi wa umma. Mumpe muda ili awaondolee hii kadhia

    Public servants wanalia kila kona. Na ni kweli waliumizwa kwa sababu ya roho ya yule mzee kuamini kila mtu ni mwizi. Samia is good katika hili. I can read her well. You guys will be promoted. Ataongeza tu mishahara. Poleni sana kwa kuteseka. Ninawahurumia sana ingawa wengi wa watumishi wa umma...
  12. Fundi Madirisha

    Watumishi wa umma wamkumbuka Rais Magufuli kuwa na hofu juu ya mishahara kucheleweshwa

    Imeelezwa kwa watumishi wa umma toka maeneo mbali mbali wameanza kumkumbuka Hayati Magufuli kuhusu mishahara yao kucheleweshwa na utawala wa sasa. Wanadai kuwa enzo za hayati Magufuli walikua wakipokea mishahara yao kuanzia tarehe 2, 22 au 23 ikichelewa sana. Lakini kwa mfano mwezi huu hadi leo...
  13. Miss Zomboko

    Uhamisho wa Watumishi wa Umma kufanyika mara 4 kwa Mwaka (kila baada ya miezi 3)

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya mwaka husika. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Prof. Shemdoe amesema...
  14. MIMI BABA YENU

    Serikali yaanza kuzifanyia kazi changamoto za Kiutumishi zinazowakabili Watumishi wa Umma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kuzifanyia kazi changamoto za kiutumishi zinazowakabili Watumishi wa Umma kwa muda mrefu ili waweze kutoa huduma bora kwa umma. Akizungumza wakati...
  15. R

    Mnyukano kwenye kupanda vyeo kwa watumishi wa umma, Waziri elimisha wafanyakazi kupitia maafisa utumishi

    Katika hali inayoonekana kuwa na taharuki ni Rais, kutopandisha mishahara kwa watumishi wa umma, imesababisha wafanyakazi kutoelewa ni nani anastahili kupata cheo kipya, ili aweze kujikwamua na hali ngumu ya kimaisha. Kunahitaji elimu ya kutosha, kinachoonekana watu hawaelewi ni muda gani...
  16. S

    Watumishi wa umma, leo hamtangaziwi nyongeza, bali kulipwa sehemu ya madeni yenu ya nyongeza

    Ik8fika July mwaka huu,tutakuwa tunaingia mwaka wa sita tangu watumishi wa umma waongezewe kwa mara ya mwisho mishahara pamoja na nyongeza ya mishahara ya Kia mwaka mpya wa fedha (annual increament). Annual increament hii ambayo iko kisheria, kwa miaka hii sita kwa mtumishi mwenye mshahara wa...
  17. J

    Unafuu wa watumishi wa Umma kujulikana pindi Bajeti ya Wizara hiyo ukisoma Bungeni

    Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa Umma juu ya kupandishwa kwa madaraja, Kulipwa malimbikizio ya madai yao ya nyuma yatapata ufumbuzi...
  18. N

    Tuseme tu ukweli - Mawaziri na Wabunge wa CCM wa awamu ya tano walikuwa na roho mbaya kwa watumishi wa umma!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  19. Chagu wa Malunde

    Mtihani mkubwa kwa Rais Samia ni kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma. Je, ataweza?

    Watumishi wa umma wanamaumivu makubwa mioyoni mwao sio siri, hata kama kipaumbele ilikuwa kumaliza kwanza mambo ya msingi kama ujenzi wa miundo mbinu, kuimarisha sekta ya afya na elimu lakini waalihitaji kuonewa huruma. Waziri mkuu alikatisha watu tamaa kabisa pale aliposema eti kuongeza...
  20. Pilitoni

    Waziri Ummy Mwalimu suala la Uhamisho kwa Watumishi wa umma litatue

    Binafsi nikupongeze kwa kuteuliwa kuwa Waziri katika OR- TAMISEMI, wizara hii ni kubwa na ina changamoto nyingi. Wizara hii utaiweza tu pale utakaposhirikiana vyema na wenzako na pia kuwa tayari kupokea na kufanyia kazi changamoto mbalimbali zinazoibuliwa na siye wananchi tulioko mashinani...
Back
Top Bottom