watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Victoire

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi. - Bima ya afya kwa Watanzania wote. - Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka. - Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu. - Elimu ya maarifa, kubadili...
  2. T

    Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Na Bwanku M Bwanku Hekaheka na pilika za kampeni zinaendelea kutimua vumbi kwenye maeneo mbalimbali ya nchi kwa wagombea wa Urais, wabunge na madiwani kunadi Sera na Ilani zao wanazoenda kuzitekeleza kwa miaka mitano ijayo kama wananchi wakiwapa ridhaa yao. Kwa bahati nzuri sana nimeendelea...
  3. T

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Siwezi kudanganya watumishi wa umma kuwa nitawapandishia mishahara!

    Hayo ameyasema Leo akiwa mkoani Mara kwenye kampeni za kuomba kuchaguliwa kwa miaka mitano ijayo. Ahadi hii imeniacha na maswali mawili Kama ifuatavyo: 1 Je huyu mgombea anawachukuliaje watumishi wa umma? Huwaona Kama wanaokula bure?, au makondoo tu wasio na lolote.! 2 Nini mtazamo wa...
  4. T

    Waliookotwa majalalani siyo watumishi wa umma, ni akina Kabudi

    Kabudi ndiye aliyekubali kuwa kaokotwa jalalani, siku ile Tundu Lissu alimaanisha huyo wala hakumaanisha wafanyakazi wengine. Hivyo vikazi vidogovidogo wanapewa majada wa chama siyo watumishi wenginee ACHENI UPOTOSHAJI
  5. S

    Tundu Lissu zungumzia pia hoja ya serikali ya CCM kushindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma na malimbikizo mengineyo

    Tundu Lissu,mbali na serikali hii kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kama sheria inavyotaka,lakini pia imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma licha ya watumishi kutakiwa kujaza form za madai ya malimbikizo yao mara kwa mara. Kwa wasiolewa,wako baadhi ya...
  6. Subira the princess

    Ndege unanunua cash money, watumishi wa umma na wakulima unawakopa

    Wasalaam. Nimefatilia kampeni za mgombea urais wa CCM ambae ndio rais anaemaliza muda wake. Katika kila mkutano amekua akiimba pambio kwamba amenunua midege 11 tena kwa cash na sio mkopo kwangu ni jambo jema. Kinachonisikitisha ambacho naamini kinawasikitisha wengi ni jinsi serikali hii ya...
  7. Civilian Coin

    Majeshi na watumishi wa Umma hawana makosa kuisapoti CCM, ni maagizo ya Standing Order zao

    TATIZO LA TANZANIA "Standing Order" zote za Majeshi na Utumishi wa Umma zinawataka kuwa wanachama wa CCM tu. 1. Hili ndilo limeniondoa Utumishi wa Umma na ndio sababu WATUMISHI wa Umma wameniwekea Vikwazo vya Kijinga kwa masilahi ya kijinga Sana. 2. Mtumishi lazima uisapoti CCM kwa Kanuni hiyo...
  8. Analogia Malenga

    Watumishi wa Umma waliotia nia, warejea ofisini

    Watumishi wa Umma waliochukua fomu kugombea majimbo mbalimbali na kushindwa wamerejea rasmi maeneo yao ya kazi leo Septemba 1, 2020. Naibu Katibu Mkuu Utumishi, Dkt. Francis Michael ameamuru watumishi hao wa umma kuanza kulipwa mishahara yao kuanzia mwezi huu. Aidha, Dkt. Michael amefafanua...
  9. Replica

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kuisha. Dkt. John Magufuli Rais anayemaliza awamu yake ya kwanza amepewa ridhaa ya chama hicho...
  10. C

    Ni wakati muafaka watumishi wa Umma kumuadhibu Rais Magufuli

    Sina mengi ila ni wito tu nautoa kwa watumishi wote wa umma kutoa adhabu kali kwa Rais Magufuli kwa kuupigia kura upinzani ili kumkumbusha nguvu mliyonayo kwa jamii. Maana licha ya mchango mlioutoa (hasa watumishi wa halmashauri) kwenye kumuweka madarakani mwaka 2015, amejifanya kuwasahau kwa...
  11. S

    Kadri joto la uchaguzi linavyopanda, sitashangaa kusikia watumishi wa Umma wenye madai mbalimbali wakianza kulipwa

    Swala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na...
  12. D

    Utumishi, Wizara ya Fedha na TAKUKURU kwanini mnaruhusu watumishi wa umma kukopea mishahara yao hadi Senti ya mwisho? Hamuoni kuwa inachangia Rushwa?

    Kuna watu wamechukua Mikopo mikubwa sana na ndani ya mkopo hiyo wameongeza mikopo mingine tena juu kwa juu (inaitwa TOP-UP) Sipo hapa kumpangia mtu Matumizi ya Mikopo yake; lakini swali langu je hao watumishi wanaokatwa mishahara yao yote kwa mikopo wanaishije kwa kubakiwa na chenji kwenye...
  13. T

    CCM inaenda kuondolewa na watumishi wa Umma, Wahitimu wa Vyuo, Wakulima na wafanyabiashara

    Watumishi wa umma hawajapata nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano, kupanda madaraja na vyeo ni ndoto, uhamisho wa kubadilishana ni hadithi Wahitimu wengi sana wa vyuo hawana ajira tangu 2015 mpaka sasa, ajira ya moja kwa moja ilikoma Mei 01, 2015 enzi za Jakaya. Wakulima wanadhulumiwa mazao...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Utabiri wa kweli: Watumishi wa Umma watapandishiwa mishahara Agosti 2020

    Habari waungwana? Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa. Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara...
  15. T

    Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

    Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa. Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka...
  16. The Assassin

    Trump atunga Sheria inayotaka kuajiri watumishi wa Umma kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu

    Trump ametunga sheria au maarufu kama Executive Order inayoagiza watumishi wa umma kuajiriwa kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu. Hili jambo mimi binafsi natamani lingekuja Tanzania. Kwa sababu huko serikalini watu ni hovyo kabisa ila wana degree na vyeti vizuri sana ila hawajui...
  17. S

    Watumishi wa umma na vyama vyenu vya kutetea haki mnakwama wapi?

    Yaani watumishi wa Umma sijui hawajitambui mnakwama wapi vimafao vyenyewe vidogo lakini mstaafu anaangaika zaidi ya miaka kufuatilia wengine mpaka mauti yanawakuta na hajaona hayo mafao yake. Wenzenu wabunge yaani miaka mitano mzigo wa maana na hauchukui hata siku mbili tayari unakua umetoka...
  18. Liverpool_Jr

    Watumishi wa Umma, Rais Magufuli kawasahau tena?

    Kutoka kwenye hotuba ya bajeti kurasa ya 160... • Bajeti kwa ujumla wake imeongezeka kwa Tril. 1 na point • Bajeti ya matumizi ya mshahara imepungua kwa asilimia 1%.. Kutoka 23% mpaka 22% Hii ina maanisha HAKUNA ONGEZEKO hata lile LA kisheria ""ANNUAL INCREMENT"" Ila nakumbuka mwaka 2018...
  19. Return Of Undertaker

    Bajeti 2020/21 Watumishi wa Umma mwaka wa 5 hakuna nyongeza ya mishahara wala punguzo la kodi

    Awamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa. Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita...
  20. S

    Uchaguzi 2020 Lissu njoo na ahadi ya kifuta machozi kwa waliofukuzwa kwa vyeti feki, kulipa malimbikizo ya salary increment za watumishi na ...

    Kama kesho utaongelea unachopanga kukifanya iwapo utafanikiwa kuwa Raisi wa nchi hii licha ya ukweli kuwa hatuna tume huru ya uchaguzi,nakushauri wewe kama mgombea uraisi(iwapo chama chako kitakuteua kuwa mgombea wao) uwe na ahadi zako kama mgombea uraisi na hizi nitazotaja hapa chini ziwe ni...
Back
Top Bottom