Rais wa Tucta ama shirikisho la vyama vya wafanyakazi amesema wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa serikali kuhusu nyongeza za mishahara ya 23% waliokua wanaitegemea kama alivyoahidi rais kwenda kinyume na matarajio yao.
Rais wa TUCTA amesema wamepokea malalamiko na watatolea...
Nafahamu tu:
(a). Nyongeza ya mishahara ilisimama mpaka tulipomaliza ujenzi wa barabara nchini - walitulia kimyaa;
(b). Kikokotoo kimepita - wao wametulia kimyaa;
(c). Nyongeza ya mishahara kwa Julai hii haikuonekana benki - tena wako kimya.
SASA JE HILI NI TABAKA LINALOJITAMBUA KWELI?
Kwanza tukubaliane Kiongozi wa nchi huwa anashauriwa na sio kuongozwa. Lkn kila nikitafakari sasa naona wapo wanaotaka kumuongoza kwa nyuma na kumtoa kwenye reli. Kila akipanga jambo Jema kabisa kama tiba na ya vidonda alivyoacha Magufuli watu humuongoza kutonesha vidonda na kumjenga achukiwe na...
Katika zama hizi za mapinduzi ya sayansi na teknolojia moja ya changamoto kubwa Katika nchi zinazoendelea haswa barani Afrika ni suala la ajira na maslahi kwa watumishi. Hili suala limekuwa ni kizungumkuti au kitendawili kisichokuwa na majibu.
Viongozi wengi suala hili la ajira kwa vijana...
Waswahili walisema usiku wa deni haukawii kucha. Zimebaki siku chache ili watumishi wa umma nchini waweze kupokea mshahara wao mpya wa mwaka wa fedha 2022-2023.
Kufuatia nyongeza ya 23.3% iliyotangazwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan siku ya Mei Mosi...
Kuna watumishi wa umma wenye ujuzi na uzoefu wa mambo mbalimbali, na wangependa wawe wajasiliamali wapewe likizo ya miaka mitatu wajiajiri na wakifanikiwa basi wapewe mikopo ya 100M ya kuendeleza biashara zao. Hawa watumishi wakifanikiwa watuajiri vijana wengi
Serikali leo imeanza mwaka mpya wa fedha, kadhalika hata watumishi leo wameanza mwaka mpya ambapo jambo kubwa linalotarajiwa na watumishi ni nyongeza ya mshahara ambayo leo ndio imeanza kufanya kazi.
Mtumishi umejiandaaje kupokea mshahara mpya?
Serikali imeridhia pendekezo la Watumishi wa Umma kutoenda kazini siku ya Ijumaa kwa miezi mitatu ijayo ili kuwahamasisha kulima katika maeneo yao ili kukabiliana na uhaba wa chakula unaotarajiwa kutokea
Sri Lanka inakabiliwa na mdororo mbaya zaidi wa Kiuchumi kutokea ndani ya miaka 70 na hali...
Wanabodi kwa jinsi ilivyo duniani vyeo tulivyonavyo ni mamlaka ya muda tu Bado utu wetu na nidhamu ni muhimu sana hakuna haja ya kupandisha mabega na kujipa umungu mtu hata tuwe na elimu ya aina gani hatukupewa uwezo wa kujua Kesho yetu.
Leo Wakuu wa mikoa willaya wakurugenzi na wote waliokuwa...
Jamani nina suala naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa, hapa nilipo kuna tangazo lilitolewa halmashauri juu ya mikopo kwa watumishi wa umma toka mwezi wa pili mwaka huu,
Tukaomba ila chaajabu tukaanza kukatwa kwanza bila kupewa hela na tukiwauliza utumishi wanadai jamaa wa hadhina wanazingua mala...
Kama ilivyowekwa bayana na Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Tanzania Posts Corporation Vs (dhidi ya) Dominic A. Kalangi, Rufaa ya Madai na. 12, 2022.
Mwandishi: Zakaria Maseke
(Advocate Candidate)
MATERIAL FACTS (STORI YA KESI):
-Dominic A. Kalangi alikuwa ameajiriwa na Shirika la Posta...
Perdiem.
Tsh
250k , 220k,170k,150k
kwa Jiji
200k,180k,150,130k
kwa Manispaa
130k,120k,100k, 80k
kwa Halmashauri
Extra duty per day ni Tsh.60,000.0 Maafisa, 40,000.00 watumishi wengine, 30,000.00 wahudumu madereva.
Hapo unaongezea 23.5% ya lile jambo lenu[emoji41]
Wastaafu kulamba 33%...
Asilimia 23.3 la ongezeko la mshahra kwa kima Cha chini si haba, japo baadhi wanakejeli ongezeko Hilo Ila ukweli ni kwamba kheri ya kitu kidogo kuliko kutokuongezewa kabisa.
Napenda kuwashauri watumishi wa umma ambao hupendelea kukopa katika taasisi za fadha kuwa makini na taasisi ndogo ndogo...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amezungumzia upungufu wa Watumishi wa Umma katika Sekta mbalimbali zikiwemo Elimu, Afya, Kilimo, Maji na Kilimo akisema Serikali haina budi kuja na Mikakati mipya kutatua tatizo hilo
Amependekeza kufanyika Ukaguzi wa Taifa (National Audit) ili...
Halo JF .....
Mwaka jana mwezi wa 10 Wizara ya Utumishi wa Umma ilitoa Tangazo la maombi ya Scholarship kwa Masters na PhD kwa watumishi wa Umma.
Kilichonishangaza ni kwamba tarehe 04/04/2022 Wizara Imeweka tena tangazo.
Hii inaonyesha na kutafsirisha kwamba Watumishi wa Umma hawakuomba ili...
Shime shime shime watumishi wenzangu ...asiye na mwana aeleke jiwe.
Tunapoelekea Mei Mosi ya kwanza ya Rais Samia S. Hassan akiwa katimiza mwaka mmoja kazini si vibaya tukatanguliza yale tunayotarajia kusikia toka kwake.
Kama alivyotuahidi nyongeza ya mshahara mwaka huu bila shaka hilo...
Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na...
Na Mwl Udadis
Ipo haja kwa vyama mbalimbali vya wafanyakazi kutoa kauli ya kumpongeza Rais Samia kwa hatua alizozichukua ndani ya muda mfupi katika sekta ya utumishi wa umma, Rais ameonyesha ishara ya kujali na kuwapa watumishi wa umma kipaumbele kinachotakiwa.
Baadhi ya mambo yaliyofanywa na...
Habari,
Wiki iliyopita na wiki hii kuna watumishi wa umma wamejazishwa CV kwa maelekezo na maagizo kutoka HAZINA. Hii nilijua ni ofisi tu kumbe ni ofisi zote.
Lazima kuna lengo ndani ya CV ile. Binafsi ninahisi mambo mawili haya moja linaweza kuwa ndio lengo kuu la ile CV.
1.Kupunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.