watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkyamise

    Je, mikopo kupitia pension kwa watumishi wa umma bado ipo?

    Habari za muda huu waungwana? Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na utaratibu wa mtumishi wa umma anapofanya kazi na kukatwa pension kwa miaka 15+ anaweza kukopeshwa sehemu ya pension yake na mfuko anaouchangia. Je, utaratibu huo bado upo? Najua humu wapo wajuzi wa mambo mengi na bila shaka...
  2. MADEVU MANYWELE

    Kikokotoo ni janga kwa watumishi wa umma

    Kwa serikali sikivu ilitakiwa kuwa imeshatoa tamko la kufanya mabadiliko juu ya hii sheria kandamizi ya KIKOKOTOO ambayo hailengi kuwanufaisha wastaafu zaidi ya kuharakisha kifo kwao bila kujali utumishi wao uliotukuka kwa Taifa la Tanzania.
  3. Roving Journalist

    Mbunge ashauri ajira za watumishi wa umma ziwe za mikataba

    Akizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali...
  4. Kamanda Asiyechoka

    Iweje Rais ateue walimu Ukuu wa Wilaya ikiwa Sheria inataka watumishi wa umma wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

    Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake. Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihusishe na siasa. Polisi na hata wanajeshi pia. Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
  5. JanguKamaJangu

    Kigogo wa SMZ asema Watumishi wa umma kuanzisha mijadala ya kukebehi, kudharau mwelekeo wa Serikali ni kosa

    AFISA Mdhamini Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Thabit Othman Abdalla, amewataka watumishi wa umma kisiwani Pemba, kutoungana na watu wengine, katika kukebehi na kudharau mipangano, sera na mikakati ya serikali, kwani kufanya hivyo ni ukiukwaji wa maadili...
  6. Lady Whistledown

    Uganda: Rais apiga marufuku safari za nje kwa Wabunge na Watumishi wa Umma kunusuru uchumi

    Rais #YoweriMuseveni amepiga marufuku kusafiri nje ya Nchi na posho za ndani kwa Wabunge na Watumishi wa Umma ili kuokoa Fedha za kuendeleza sekta muhimu kama Mafuta na Gesi Hata hivyo, Waziri wa Fedha, Matia Kasaija, amesema Serikali haiwezi kupiga marufuku safari zote nje ya Nchi kwasababu...
  7. M

    Ushirikina wa wamiliki wa baa na grocery unaligharimu taifa. Serikali iingilie kati, watumishi wa umma wanamalizwa

    Watumishi wanarogwa na kusahau familia zao. Wanabaki kuwaza urabu na mbunye za mabaamedi. Wanashindwa kufanya maendeleo ya taifa lao. Wanapigwa vipapayu. Hapa bila serikali kuingilia kwa kudhibiti watumishi wataisha. 👇
  8. Mama Edina

    Serikali iweke bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15

    Serikali ichukue huu ushauri itakuja kunishukuru. Ipange (plan) bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15. Wakati ambapo watu wengi mfukoni hawana kitu Chochote. Lakini pia itakuja kukata kiu ya dai la Muda mrefu, nakumbuka nilisikia ushauri huu unatolewa tangu miaka na...
  9. D

    Watumishi Wa Umma Naombeni Ufafanuzi hapa!

    Kwa muajiriwa ambaye hajatimiza Miaka mitatu kazini. Je, inawezekana akapewa ruhusa akarudi kujiendeleza masomoni ikiwa gharama za masomo atajigharamia mwenyewe?
  10. AKILI TATU

    Watumishi wa umma simamieni miradi ya maendeleo kwa uadilifu

    NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deo Ndejembi amewataka watumishi wa umma nchini kuwajibikaji kikamilifu katika kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa nchini ikiwemo ujenzi wa madarasa, zahanati, vituo vya afya na miundombinu ya barabara na...
  11. JamiiForums

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe. Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
  12. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushauri: Serikali ipunguze idadi ya watumishi wa umma, iundwe serikali ndogo yenye weledi.

    Habari wananchi na viongozi! Serikali hii ina watumishi takribani laki 7(700,000). Hii idadi si kubwa sana ila ndani ya watumishi hawa kuna kundi halihitajiki sana kwa wakati huu. Mfano: Kazini kwangu ofisi X kuna watumishi wapo wanadibiri kustaafu tu, uhitaji wao wa moja kwa moja umekomaa. Ni...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Unyonyaji wa serikali kwa watumishi wa umma ulianza hapa .

    Habari! Unyonyaji unaanzia kwenye tangazo la kazi Ukisoma tangazo lolote la kazi za serikali hasa ajira za kudumu utaona sehemu moja wameiandika kiwango cha mshahara kimafumbo, wenyewe wanaita kimuundo. Mfano,: TGS D, TGOS A, TPAS D, TANAPA 4, TGTS C n.k, n.k. Kama nia ni kuficha kiwango cha...
  14. Hivi punde

    Ufanisi wa kazi kwa watumishi wa umma ni mdogo sana

    Wanabodi, twende mbele, turudi nyuma, wafanya kazi wengi wa serikali (zaidi ya 70%) hawana ufanisi katika kazi zao. Ni kama serikali inawalipa mishahara ya bure kabisa. Kada za ualimu, afya, ulinzi/usalama (Polisi, Magereza, Wanajeshi), sheria(mahakimu) zinajitahidi sana hata kuingia kazini...
  15. muafi

    Kama NHIF imefilisika, tafadhari watumishi wa umma wawe na uhuru wa kuchagua mfuko wautakao

    Dharau zimeanza sasa! Serikali inakoelekea itatufikisha kwenye point ya mwisho. Haya mapendekezo kuwa mteje wa nhif atibiwe kwenye kituo kimoja tu huu ni upuuzi kwamba kama nilikua natibiwa mwanza nikiugua nipo dar nisitibiwe? Eti mgonjwa haruhusiwi kutibiwa zaidi ya mara tatu kwa mwezi...
  16. balimar

    Nini kifanyike kupunguza Makali ya Maisha kwa Watumishi wa Umma?

    Habari ya saa hizi waungwana!! Ni ukweli usiopingika kuwa Maisha kwa watumishi wa Umma yanazidi kuwa ni tia maji tia maji. Mathalani nyongeza ghafi isiyonyumbuka ya mshahara haifui dafu kabisa kwenye mfumuko wa bei uliojitokeza kuanzia April 2022. Nadhani wakati umefika sasa kufungua mjadala...
  17. F

    Mchengerwa Watumishi wa umma watakukumbuka daima

    Moja ya piga kubwa watumishi wa umma walilipata ni kuhamishwa kwa Waziri Mchengerwa kutoka Wizara ya ofisi ya Rais Menejoment ya utumishi wa umma na Utawara Bora kwenda Wizira ya Michezo. Mhe Mchengerwa hakutanguliza siasa Kwenye Wizara hii. Badala yake akaletwa mhe Jenista Mhagama ambaye...
  18. Boss la DP World

    Royal Tour: Watumishi wa Umma Tumeona Matokeo Yake

    Kwakweli binafsi nashukuru sana kwa nyiongeza nono ya 25,000/= (kabla ya makato) nadhani haya ni baadhi tu ya matunda ya filamu yetu. Nasema ni matunda maana filamu imemtengeneza msanii kweli kweli na sanaa hiyo aliitumia katika hotuba ya mei mosi na sasa tumeshuhudia na kudhihirisha bila shaka...
  19. J

    Watumishi wa umma mna akili finyu, acheni kazi sisi tutazifanya kama mshahara hautoshi

    Wameongezewa mshahara ambao wanadai ni kidogo ila jinsi wanavyoleta taharuki utadhani kuna crisis kubwa kama vile Tanzania imepigwa bomu la nyuklia Hivi Hawa watu hawajui kuna watu wasomi zaidi yao wapo mtaani miaka zaidi ya 10 hawana ajira na wanatamani hata walipwe nusu ya huo mshahara...
  20. Superbug

    Rais Samia fuatilia reaction ya watumishi wa umma kwà nyongeza yao ili 2025 usiibe kura, wewe ni muislam safi!

    Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
Back
Top Bottom