Kikokotoo kimeandaliwa na watumishi wa umma na kinalalamimiwa na watumishi wa umma
Bima ya watoto imeondolewa na watumishi wa umma kisa watoto wao wanatibiwa bure ila wanashindwa kufahamu kuna kufukuzwa kazi.
Mishahara inaandaliwa na watumishi wa umma na siku zote waliopo hazina ukiwasikia...
Watumishi hao ni Richard L. Kubona, Adelina K. Leonard na Musa S. Kalumba ambao ni Maafisa Biashara wa Manispaa ya Bukoba wamefunguliwa Kesi ya Uhujumu Uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba Mkoani mbele ya Hakimu Mfawidhi Janeth Massesa.
Washtakiwa wamesomewa Makosa ya Matumizi Mabaya...
Ni zaidi ya mwaka sasa Serikali yetu inalalamika upungufu wa Dollar Kwa ajili ya kuagizia bidhaa na kulipa mikopo na mahitaji mengine muhimu.
Safari za nje Kwa viongozi wa umma, Hazina yetu ya dollar hutumika, hivyo nashauri tuanze na kufuta safari za nje za viongozi Ili kutunza akiba ya pesa...
Na Mwl Udadis, Buza kwa Lulenge
Moja ya falsafa ngumu katika uongozi ni uwezo wa kuongoza watu kimageuzi. Rais Samia anaendelea kuiishi falsafa hii kwa weledi na umahiri wa hali ya juu. Nafasi za teuzi siku zote ni dhamana katika kuwatumikia watanzania, dhamana hii inaweza kukabidhiwa kwa...
Mshahara wa mwezi August ndio umetoka, swali ni je, kuna jipya mwezi huu?
Tukumbuke mwezi wa 7 hakukuwa na mabadiliko kama ilivyokuwa inatarajiwa.
Karibuni.
Nimeona clip ya Nape Nauye akifoka na kumwambia Tundu Lissu amuheshimu Rais Samia kwa kuwa ni mama yake. Sawa hatukatai kuwa kila mtu anastahili heshima na si viongozi tu wa serikali na kisiasa.
Kosa kubwa ni pale machawa wa viongozi wanataka chawa wao wasikosolewe wala kofokewa wanapofanya...
Kuna sheria ya utumishi wa Umma endapo mtumishi akitoka kwenye ajira yake na kuteuliwa kwenye nafasi kisiasa hata kama bado haja staafu hawezi kurudia ajira yake.
Miezi kadhaa kuna mabosi wa Chama cha Walimu walikataa katakata kutoka kwenye ajira zao na kwenda kwenye teuzi.
Mimi binafsi...
Mdau wa Jamii Forums anaeleza...
Mimi ni mtumishi wa Umma kuna jambo ambalo limekuwa kero kwa Watumishi wengi, ni kuhusu kuomba uhamisho kutoka Taasisi moja kwenda nyingine au kuomba kwenda kufanya ‘interview’ ya kazi.
Kuna mambo kadhaa ambayo yanafanya kuwe na ugumu katika kufanikisha hilo...
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.
Kwa...
Siku za karibuni Rais alifanya mabadiliko madogo kwa makatibu wakuu ambapo ndg. Adolf Ndunguru alipelekwa Ofisi ya Rais- TAMISEMI.
Huyu bwana tangia aingie katika ile ofisi alikuta tayari kuna watumishi walishapata uhamisho hasa wale wa kubalishana vituo vya kazi. Jambo la ajabu amezuia...
VIBALI VYA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA
E Mungu Muumba mbingu na nchi,umeiwekea Dunia vitu vyote wakiwemo Wanadamu.Umewapa wanadamu uwezo wa kuongoza na kutawala viumbe wengine. Twakuomba katika kuongoza na kutawala, uwajalie viongozi wetu wa Tanzania afya njema, Hekima na Busara ili pamoja...
VIBALI VYA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA:-
E Mungu Muumba mbingu na nchi,umeiwekea Dunia vitu vyote wakiwemo Wanadamu.Umewapa wanadamu uwezo wa kuongoza na kutawala viumbe wengine.Twakuomba katika kuongoza na kutawala,uwajalie viongozi wetu wa Tanzania afya njema ,Hekima na Busara ili pamoja...
Uwajibikaji ni maana ya ule wajibu wa kuhakikisha kuwa watumishi wa umma na viongozi wanawajibika kwa vitendo na wanawajibika kwa matendo yao kwa watu wanaowahudumia. Uwajibikaji umekuwa ni muhimu sana kwa kuboresha utawala bora kwa nchi yetu ya Tanzania, hii inatokana na mambo ambayo viongozi...
Salamu tawapa mchana!
Watu wengi wannamini watumishi wanapaswa kujiongeza kwa kufanya shughuli zingine nje ya career yao au nje ya ofisi ndipo wataweza kuishi kwa ustawi. Mtumishi hakupaswa kabisa kujishughulisha na shughuli yoyote nje ya shughuli za serikali anazopangiwa na mwajiri wake...
Habari!
Itungwe sheria ya dharura itakayofanya kazi kwa kipindi kifupi (yaani sheria ya mpito).
Kila mtumishi wa umma mwenye umri wa miaka 50 na kuendelea astaafishwe kwa lazima na nafasi yake aajiriwe mtumishi mpya kijana wa miaka 18- 45.
Ajira hizi za kuziba mapengo zisihesabiwe na...
Salaam Wana jukwaaa,
Nataraji mko bukheri wa afya, kwa wale wenye afya yenye mushkeli Bai nawombea Kwa MOLA, awafanyie wepesi wapate kupona na kuendelea na majukumu Yao ya hali, ila kama ya haramu hapana. Katika utumishi wa umma inaonekana Kuna ufisadi sana wa Mali za umma ha fedha.
Hivi kwa...
Ripoti ya CAG itaendelea kuwa Stori zisizo na funzo lolote Kwa Sababu wezi wamegundua kwamba ukiwa na pesa hakuna wakukuchukulia hatua.
Wanasiasa wote walioiba na waliobambikiwa kesi wapo uraia na wananchi wanampongoza awamu ya sita Kwa kuwaachia matajiri; lakini tujiulize NI maskini gani...
Habari!
Nikiwa kwenye utumishi wa umma kwa miaka karibu 8 sasa nina experience ya kutosha kuhusu utumishi na maisha ya utumishi.
Kama mlinzi msomi mwenye shahada ya HRM nimefanya utafiti wa kutosha na kujiridhisha kuwa watumishi wa umma % kubwa wanakwenda kazini huku kichwani wamebeba mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.