watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

    Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka. Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni. UPDATES: Habari hii imekanishwa. Zaidi soma...
  2. maina23

    Hata usiku huu nimeangalia promotion madaraja kwa watumishi wa umma

    Naomba ajitokeze HR mmoja aseme modality ya upandishaji madaraja.. Wadau wahusika wataelewa tu kwa sababu kila ninapocheki profile level ya cheo iko vile vile ...saaa mimi kama mm sitajali HR yyt aseme kitu
  3. Nehemia Kilave

    Ni wakati Muafaka sasa watumishi wa Umma kumsamehe Hayati Magufuli na kayaishi Mazuri yake

    Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne 1.Mishahara haikupanda 2.Watu hawakuajiriwa 3.Madaraja hawakupandishwa 4.Mianya ya Upigaji ilizibwa Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali iache kuonea watumishi wa umma

    • Mishahara kidogo • Kuna Taasisi posho zao halali za nauli na Uhamisho zinalipwa kwa mbinde . • Sasa mmeleta PEPMIS ambayo watumishi wanapaswa kujaza kila wiki. • Kikokotoo kandamizi kimetupwa kwa watumishi. • Idadi ndogo ya watumishi inaathiri watumishi waliopo makazini maana mtumishi mmoja...
  5. S

    SoC04 Madhara na suluhisho la kuendelea kuwapa kazi watumishi wa umma waliostaafu

    Katika ulimwengu wa sasa, ambapo mabadiliko ya kiteknolojia na kijamii yanaendelea kwa kasi, nchi nyingi zinafikiria mbinu za kipekee za kushughulikia masuala ya ajira na ustawi wa kiuchumi. Moja ya mbinu hizi ni kuendelea kuwapa kazi Watumishi wa Umma waliostaafu. Ingawa hatua hii inaweza...
  6. The Sunk Cost Fallacy 2

    Watumishi wa Umma 586,000 wametwishwa mzigo wa kuhudumia Watanzania zaidi ya milioni 65. Kwanini serikali haiwalipi mishahara mizuri?

    Kwa mujibu wa maelezo ya Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof.Kitila Mkumbo,Nchi ya Tanzania Ina Jumla ya Watumishi wa Umma 586,000 ambao wanafanya kazi kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wa Serikali. 1. Wizara na Idara(Serikali Kuu) 2. Mamlaka ya Serikali za Mitaa 3. Mashirika na Taasisi za Umma...
  7. M

    Watumishi wa Umma sasa wameamka

    Tofauti na miaka mingine yote, kwa sasa watumishi wa Umma wameamka kutoka usingizini. Wengi wao wameshagundua kuwa, mtetezi wao mkubwa si Wabunge wala serikali bali ni Viongozi wa vyama vya upinzani. Hawa ndio watetezi wakuu wa watumishi wa Umma kwani husimama hadharani na kuyalalamikia...
  8. kichongeochuma

    KERO TAMISEMI kuwanyima watumishi wa umma stahiki zao kwa sababu ya mfumo ambao hata hamjazingatia mazingira yao ya kazi ni ukatili mkubwa kwao

    TAMISEMI inacheza na maisha ya watumishi wa umma , kwamba hawato pata stahiki zao za kupanda madaraja kwa kisingizio cha PEPMIS mfumo ambao unahitaji mda kuuelewa na unahitaji vitendea kazi ni kuwafanyia ukatili mkubwa watumishi Kwa taarifa zilizopo ni kwamba mfumo huu kwenye simu na vishkambi...
  9. Clark boots

    DOKEZO Uhuni mkubwa wanaofanyiwa watumishi wa umma katika michango ya PSSF

    Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi mstaafu anastahili kukipata kama kiinua mgongo baada ya kazi kubwa ya kulitumikia Taifa. Ni...
  10. kipara kipya

    Watumishi wamejaa viburi hawatekelezi maagizo ya wakubwa wao au ni maigizo?.

    Haya ni mambo yanafikirisha kidogo, kipindi cha shujaa wa Afrika kipenzi cha wana Hayati Magufuli Wananchi walikuwa wakifurika na kutoa malalamiko ya kero zao mbalimbali tofauti tofauti na kuonyesha kuwa zinatatuliwa na wengine kupewa maagizo, na kuona yamepokelewa na kuahidiwa kumalizwa...
  11. T

    KERO Mkurugenzi Manispaa ya Moshi awalazimisha watumishi kufyeka na kusafisha makaburi ya Karanga siku za mapumziko

    Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi. Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi...
  12. T

    Tetesi: Watumishi wa Umma kupandishwa madaraja karibuni

    Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka. Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021. Kongole Mama yetu, tunakupenda sana, yaani mitano tena.
  13. G.T.L

    Kwa yanayoendelea Arusha na RC Makonda, ni dhahiri watumishi wa umma wengi ni wazembe na hawana sifa!

    Wasaalam. Ni declee interest na mimi ni Mtumishi wa Umma. Hili swala linaloendelea Arusha likiratibiwa na RC wa Arusha ni uthibitisho tosha sisi watumishi wa umma wengi wetu tuko Incompetent, Wazembe na Uadilifu uko chini. Pamoja na wengi wanasema haya ni maigizo ya RC lakini emu chukua muda...
  14. Mpishimzoefu

    SoC04 Mfuko wa uwekezaji wa pamoja (UTT AMIS) uunganishwe na mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kuwakwamua Watumishi wa Umma

    Watumishi wa Umma wamekuwa wakipitia changamoto za kifedha kwasababu ya kukosa kipato Cha ziada,Iwapo mifuko hii itaunganishwa changamoto hii inaweza kupungua. Kwanza nianze na kueleza maana ya mifuko hii 1. NSSF Ni mfuko wa hifadhi ya jamii ambao unamsaidia mfanyakazi wa Umma au Taasisi...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Watumishi wa umma tuache kelele, Serikali inatupenda sana

    Morning! Serikali inatupenda sana watumishi wa umma. Hebu vuta picha ni upendo kiasi gani serikali imefanya kwa watumishi wa umma. Ninaposema Serikali, namaanisha viongozi wakuu kuanzia Rais, mawaziri mpaka wabunge wamekubali hii neema ya kikokotoo iwe kwetu watumishi huku wao wako tayari...
  16. Aramun

    Mishahara ya watumishi wa umma inapaswa ifanyiwe mapitio, haiakisi uhalisia wa maisha ya sasa

    Asilimia 90 ya watumishi wa umma Tanzania ni wa daraja la kati, wengi ni walio na diploma. Mishahara ghafi yao ina range laki 6 mpaka laki 8. Baada ya makato, wanaondoka na kama laki 5. Hapo ni kwa wale ambao hawana mikopo. Ukijumlisha mikopo (ambao wengi wanayo) utakuta mtumishi anaondoka na...
  17. R

    Makonda anataka apange safu yake Arusha. Rais amempoteza

    Unapokuwa kiongozi unayemtumia vyombo vya habari kudhalilisha watumishi wa umma unakuwa umemdhalilisha hata aliyekuteua. Kinachotokea Arusha ni kumkwamisha Mhe. Rais, kwa sasa watumishi walio wengi wameweka mgomo. Kila analoelekeza hakuna anayelitekeleza badala yake wanasubiri aondoke na kamera...
  18. Johnson Yesaya

    SoC04 Huduma za Kiserikali zitolewe kupitia TEHAMA/Mtandao, kupunguza rushwa, gharama na lugha mbaya kutoka kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa wananchi

    1. 0 UTANGULIZI. Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
  19. Morning_star

    TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

    Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
  20. S

    Uhamisho kwenye mfumo wa EES kwa watumishi wa umma

    Wadau nimeshafanya uhamisho huu online, status inasoma ALLOWED, kwa waliowahi kufanya uhamisho huu nini kinafuatia baada ya hapo natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom