Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii.
Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha.
Makampuni yatakutafuta usiku na mchana uweke sura yako na sauti yako kwenye biashara zao.
Mtumishi wa UMMA huwezi kucheza na social...
Inasikitisha sana kuona Bunge la Tanzania likipitisha Muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma kukatwa asilimia 10 ya mishahara yao kuchangia mifuko hiyo.
Kitendo hicho kitaleta athari kubwa sana kwa watumishi wa umma ambao wanachekelea kupandishwa...
Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa...
DAR: Rais Samia Suluhu Hassan amesema kila anapozunguka Mikoani changamoto ya kwanza anayokutana nayo ni upungufu wa Watumishi wa Afya na Elimu lakini hali hiyo inasababishwa na Sekta hizo kuhudumia Watu wengi na zina mambo mengi.
Akizungumza katika Kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Mkapa...
Hongera sana serikali kuanzisha pepmis ambayo imekuwa chachu kwa huduma za utumishi kupatikana kidigitali. Pepmis imerahisisha sana kwa serikali kuona watumishi wao wanayofanya kila siku.
Lakini ingawaje Pepmis imeonekana na faida lakini imekuwa fimbo kukosesha watumishi haki zao. Mtumishi...
Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo
Yaani haiwezekani mtumishi wa...
Husika na mada tajwa hapo juu,
Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi.
Pili. Ni vema kwa wale ambao wanafanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi wakawa wanawashuhudia...
Habari za jioni,
Karibuni kwenye uzi huu kwa ajili ya kuhabarishana kutoka kwa mshahara kila mwezi, nyongeza ya mshahara na updates mbalimbali za mishahara kwa Watumishi wa Umma.
Ahsanteni.
Masaa machache yaliyopita, nimeona baadhi ya mawaziri waandamizi na wakurugenzi wakitenguliwa nafasi zao.
Swali langu: Je, viongozi wa umma nao huwa wanalipwa fao la kukosa ajira kwa kipindi cha miezi 6? Baada ya miezi 6 hawalipwi chochote hadi baada ya miezi 18 ndipo huchukua pensheni zao...
Utangulizi
Uzi huu unatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri(magari/pikipiki).
Aina ya vyombo vya usafiri vinavyohusika na msamaha
(a) Magari
(b) Pikipiki za aina zote
Ushuru unaosamehewa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amekemea utendaji usioridhisha wa watumishi wa afya katika maeneo ya kutolea huduma nchini kwa kuwa unaenda kinyume na maadili ya utumishi.
Maelekezo ya Mhe. Mchengerwa yametolewa kwa niaba na Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii...
Hello!
Nikiwa kwenye corridor za umma takribani miaka 10 sasa nimejionea uzembe wa kiwango kikubwa sana. Watumishi wengi wa umma maadamu mshahara wao ni lazima wapate kila mwezi na posho zipo palepale basi watumishi hawataki usumbufu kabisa. Hata ubunifu hakuna.
Unakuta ofisi leo inaomba...
Viongozi wanaohusika kusimamia watumishi wa UMMA jaribuni kuwatendea haki watumishi wenu, kupata barua ya uhamisho kutoka Wizara ya UTUMISHI imekuwa kero sana.
Taratibu za mtumishi kufuata ili kupata uhamisho zinawekwa na wizara lakini bado barua zinachukua zaidi ya miezi Sita (6) kutoka huko...
Baada ya kufanikiwa kwa kiasi kwenye maandamano ya kuzuia muswada wa sheria ya fedha uliopitishwa na wabunge usisainiwe na Mh Rais,Wakenya sasa wanakuja na namna nyingine ya kuwatambulisha wezi wa mali ya Umma,Wananchi wa Kenya wameonelea kutaja mali za watumishi wa Umma,wabunge na mawaziri ili...
Salaam!
Ni jumanne iliyo njema sana.
Moja Kwa moja kwenye mada.
Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu bila kuzingatia kanuni ya 1/3 (Moja ya Tatu) ya mshahara. Nimeshuhudia na/kuona watumishi wakipokea...
Nipenda kutuma Salamu zangu kwa mwanzilishi wa JF, watumishi wa JF na watumiaji wa JF. Ni mtandao unaofuatiliwa na kusomwa na wengi.
Napenda kuwashukuru kwa kuusimamia Uzi uliokuwa unaelezea kulipwa mishahara ya watumishi Umma, June 2024.
Watumishi wamelipwa baada ya kelele kuwa nyingi...
Habari ya Jioni Jf, sina Mengi zaidi Nimekuja kugundua Wafanya kazi wa Tanzania wananuka Njaa Sana,yaani mshahara umechelewa kidogo kila mfanyakazi analalamika mara hivi mara vile.
Niwaombe nyinyi wafanyakazi mnao lia lia mjitahidi muwe na nyenzo zingine yaani literally uchumi kingine sio...
Taarifa kutoka TUCTA
Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30.
Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.