watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    TAMISEMI: Hatutapokea barua ya maombi ya uhamisho, watumishi waombe kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya Watumishi wanaoomba kuhama kushindwa kutekelezewa maombi yao pamoja na kutengenezewa mazingira ya rushwa, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema imebainika kuwa wanaopewa fedha siyo Watumishi isipokuwa ni watu wengine wenye nia ovu katika...
  2. BARD AI

    Dar: Watumishi wa TALGWU wafikishwa Mahakamani kwa ufujaji wa Tsh. Milioni 114.4

    Watumishi hao ni Jackson M. Ngalama ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa TALGWU SUPPORT LTD, Emmanuel G. Mdoe, Mhasibu Mkuu na Timothy P. Mashishanga, Dereva wa Kujitegemea wote wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu katika Mahakama ya Wilaya Ilala. Wote kwa pamoja wameshtakiwa kwa makosa ya...
  3. BARD AI

    Upelelezi wakwamisha Kesi ya Watumishi TANESCO wanaodaiwa kuhujumu Tsh. Bilioni 2

    Ni Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Watumishi wa TANESCO Mkoa wa Mwanza, Abdukadri Lwassa (Fundi) na Respicius Rwegoshora (Afisa Bohari) imeshindwa kuendelea kutokana na upelelezi kutokamilika. Watumishi hao wanakabiliwa na mashtaka 125 yakiwemo ya Kughushi Nyaraka, Ubadhirifu wa Mali ya...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru Aendeleza Mbio za Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa UWT Mkoa wa Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja (1,000,000) Sambamba na hilo Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema ataendelea kutekeleza Ilani ya Chama...
  5. M

    TAMISEMI/UTUMISHI saidieni watumishi walipwe haki zao pindi wanapohamishwa vituo vya kazi

    Ni kawaida sana kwa Mtumishi anapohamishwa kituo Cha Kazi uchelewa/kutolipwa kabisa gharama za kujikimu na kubeba Mizigo kwenye halmshauri nyingi. Mtumishi anakaa miezi 6, mwaka au zaidi bila kulipwa! Kuna mwingine alilipwa kidogo kidogo kwa miaka 5, kweli hii ni aibu na kumdumaza Mtumishi...
  6. R

    Kukabiliana na upungufu wa Dollar nchini, napendekeza safari za nje kwa watumishi wa umma zifutwe

    Ni zaidi ya mwaka sasa Serikali yetu inalalamika upungufu wa Dollar Kwa ajili ya kuagizia bidhaa na kulipa mikopo na mahitaji mengine muhimu. Safari za nje Kwa viongozi wa umma, Hazina yetu ya dollar hutumika, hivyo nashauri tuanze na kufuta safari za nje za viongozi Ili kutunza akiba ya pesa...
  7. Private investigator

    TAMISEMI na sarakasi za uhamisho wa Watumishi. Chaka jipya la kuwaibia Watumishi

    Baada ya sarakasi za kuahidi kuwa watatoa uhamisho mara 4 kwa mwaka, sasa wamekuja na ESS wakati watumishi wamepoteza nauli na usumbufu mwingi ili kukamitisha paper work ambazo tayari TAMISEMI wanazo. Kinachofanyika ni wizi na rushwa maana watu wanaotoa rushwa wanahama na vibali vinatoka. Huu...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi

    Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi MBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Katavi Martha Mariki anechangia mifuko 30 ya Simenti na fedha shilingi milioni Moja kwaajili ya kusaidia ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Mlele Mkoa wa...
  9. The Supreme Conqueror

    Hongera Mchengerwa kuwa waziri TAMISEMI. Nakuomba yatazame haya, vibali vya uhamisho vina urasimu mkubwa

    Mkuu mi Sina mashaka na utendaji wako kabla ya kuwa Waziri tangu ulipokuwa Ofisi ya mwana Sheria Mkuu wa serikali baadaye ukawa Waziri wa Utumishi kwakweli uliwafuta Watumishi machozi kwa wale walioganda daraja moja kwa miaka 6 walipata uhueni. Siwezi kuyazungumzia mazuri yote uliyofanya...
  10. BARD AI

    Lindi: Watumishi wa AMCOS wafikishwa Mahakamani kwa Kughushi Saini na Kujipatia Tsh. 7,854,315

    Watumishi hao ni Said Akili Mtureni ambaye ni Karani wa Chama cha Ushirika wa Masoko ya Kilimo (AMCOS) Tawi la Naungo 'A' Nanjirinji na Afai Rajab Mbwani Karani chama hicho kutoka Tawi la Mawelenje, Nanjirinji wanaokabiliwa na Makosa 2 ya Wizi na Kughushi. Kosa la kwanza ni kuiba Ufuta...
  11. Z

    Fomu za kupimia afya watumishi wa mahotelini.

    Naomba kwa aliye na sample ya fomu ya kupimia afya watumishi wa mahotelini na kwenye migahawa aniwekee hapa. Ukiniwekea pdf yake nitashukuru sana. Ninafungua mgahawa, sasa kupata hizo fomu wahusika wanadengua, wanataka sh 15,000/= kwa kila fomu!! sasa kwa watumishi watano nadaiwa 75,000/=(mbali...
  12. Mathanzua

    TAMISEMI mpo wapi, Wilaya ya Mvomero hakuna kinachoendelea. Ni upigaji, uonevu wa watumishi na ushirikina tu

    Kwa kuandika bandiko hili mtu asije akadhani kwamba mimi ni mtumishi,sio mimi ni mdau wa maendeleo ninayekerwa na hali halisi ilivyo katika Wilaya yangu ya Mvomero.Taarifa nyingi zinakera,ndio, zinakera sana,ni kama Wilaya haina mwenyewe. Kila mahali ushirikina umekuwa gumzo, wafanyikazi...
  13. BARD AI

    Dar: Upelelezi kesi ya Watumishi 16 waliopiga Tsh. Bilioni 8.9 za Halmashauri ya Jiji Wakamilika

    Upande wa mashtaka katika kesi inayowakabili watumishi 16 wakiwemo wahasibu wa Jiji la Dar es Salaam umedai upelelezi umekamilika wanaandaa taarifa kwa ajili ya kuituma Mahakama Kuu. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 143 likiwemo la kuisababishia hasara jiji hilo zaidi ya Sh8.9 bilioni...
  14. Feld Marshal Tantawi

    Kikwete watumishi wa Mungu hawezi kutofautisha siasa na dini kwa sababu siasa ni dini na dini ni siasa

    Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na viongozi wa kisiasa wanataka kuigeuza nchi yetu shamba la Bibi.🩸🩸🩸 Kwanza kabisa napenda niwashukuru Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuuelewesha Umma. Kanisa Katoliki ni...
  15. S

    Watumishi wa Umma, mwezi huu kuna jipya?

    Mshahara wa mwezi August ndio umetoka, swali ni je, kuna jipya mwezi huu? Tukumbuke mwezi wa 7 hakukuwa na mabadiliko kama ilivyokuwa inatarajiwa. Karibuni.
  16. Suley2019

    TAKUKURU Katavi, yawafikisha Watumishi saba kizimbani kwa ubadhilifu

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Katavi imewafikisha mahakamani watumishi saba wa serikali kwa tuhuma za kujihusisha na ubadhilifu wa fedha za serikali zaidi ya shilingi bilioni 1.23 Akizungumzia ubadhilifu huo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi, Faustine Maijo amesema...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Wazee mshahara umeshasoma huko?

    Haya wazee wa mshahara leo ni siku yetu ambayo tunatumaini itafunika miaka 7 yote iliyopita. Vipi huko ishasoma?
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Watumishi wa Mungu wamekuwa wakame rohoni sasa makanisani wanafundisha falsafa za kidunia, Falsafa ambazo unaweza kuzipata popote

    Injili ya kale ya akina Petro ilikuwa rhema. Rhema ni neno la Mungu kwa wakati husika. Yaani Mungu anasema kwa kinywa cha mtu. Anaweza kutumia neno hili la kila siku (logos) ila anaposema Mungu mwenyewe hulitia uzima na kutimiza kusudi lake kwa haraka kama umeme. Ndio maana ukisoma kitabu cha...
  19. A

    DOKEZO Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

    ➤ Sisi ni Watumishi wa Umma Wastaafu tuliokuwa tunafanyia kazi vikosi mbalimbali vya Jeshi, tuliajiriwa kila mtu na CV namba yake na kila mtu alipewa barua ya kuajiriwa pia kila Mwajiriwa alikuwa na C/NO yake ya kupatia Mshahara kutoka Hazina (Pay Slip tunazo). ➤ Tukiwa katika ajira tulikuwa...
  20. BigTall

    DOKEZO Chuo Kikuu Iringa hawalipi mishahara kwa wakati na kuna changamoto ya Mifumo ya Malipo, hivyo Watumishi wasio waadilifu wanachezea mifumo ya malipo

    Sakata la Chuo Kikuu cha Iringa roho za Watanzania zinateseka katika hicho chuo, kwanza hakilipi mishahara kwa wakati matokeo yake Watumishi wasio waadilifu ikiwepo Ofisi ya Uhasibu wanatengeneza mchezo mchafu wa malipo hewa ili kujipatia fedha. Ishu hiyo ilipokugundulika chuo bila kuchunguza...
Back
Top Bottom