Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa.
Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
Ni wazi kuwa sasa ni mwaka wa 8 watumishi hawapati shahiki yao ya nyongeza ya mshahara. Matamko mbalimbali hususani kwenye sherehe za Mei Mosi, Rais kupitia majibu ya hotuba ya wafanyakazi alitoa kauli ya kurudisha japo Annual Increment kwa watumishi ifikapo July mwaka mpya wa bajeti.
Tofauti...
Inakuwaje tarehe za mwisho wa mwezi foleni ATM ni kubwa kuliko kawaida, foleni ina almost mita 50 aisee.
Yaani mtu hadi unahairisha kutoa unaenda zako kwa wakala.
Hivi kwa mishahara hii kiduchu tutatoboa kweli.
Tujitahidi kutafuta financial freedom. Mshahara inabidi usitoke pale unapowekewa...
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya...
Ahahahaha
Tumieni vizuri hizo annual increment, msimalize kwenye ulevi na zinaa.
Nunueni hata tukuku mle, inakuwaje mtumishi unamaliza miezi 6 hujala kuku wa kienyeji😭😭😭
Nimeona clip ya Nape Nauye akifoka na kumwambia Tundu Lissu amuheshimu Rais Samia kwa kuwa ni mama yake. Sawa hatukatai kuwa kila mtu anastahili heshima na si viongozi tu wa serikali na kisiasa.
Kosa kubwa ni pale machawa wa viongozi wanataka chawa wao wasikosolewe wala kofokewa wanapofanya...
Kuna sheria ya utumishi wa Umma endapo mtumishi akitoka kwenye ajira yake na kuteuliwa kwenye nafasi kisiasa hata kama bado haja staafu hawezi kurudia ajira yake.
Miezi kadhaa kuna mabosi wa Chama cha Walimu walikataa katakata kutoka kwenye ajira zao na kwenda kwenye teuzi.
Mimi binafsi...
Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Uboreshaji wa Mfumo wa Haki Jinai Nchini, ametoa taarifa hiyo hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete - Ikulu Dares Salaam wakati akiwasilisha Ripoti ya Mapendekezo ya Tume
Tume hiyo iliundwa Jan...
Nimeona roho za kupinga Watumishi wa Mungu zikisambaa vyema kama unaweza watu wa aina hii usibishane nao we angalia wao wanapiga kelelee wamefanya nn juu ya Mungu
Ukiona hamna kitu ujue basi we kazi yako nenda kapokee kile Mungu amekuandalia kwenye maisha yako na sio kuungana kushindana nao...
Mdau wa Jamii Forums anaeleza...
Mimi ni mtumishi wa Umma kuna jambo ambalo limekuwa kero kwa Watumishi wengi, ni kuhusu kuomba uhamisho kutoka Taasisi moja kwenda nyingine au kuomba kwenda kufanya ‘interview’ ya kazi.
Kuna mambo kadhaa ambayo yanafanya kuwe na ugumu katika kufanikisha hilo...
Imekuwa kama utaratibu kwa serikali kuongeza mshahara mwezi wa Saba, watumishi wana tashwishi ya kujua kama kuna ongezeko au wasubiri increament wadau mlioko jikoni mtujuze.
Kazi iendelee
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameonesha kukerwa na utaratibu wa Kuhamisha Watumishi wanaonekana kushindwa kumudu Majukumu yao au kutuhumiwa kufanya vitendo vinavyoenda kinyume na sheria na kisa kupelekwa kwenye maeneo mengine ya utumishi.
Mpango ametoa kauli hiyo akiwa Kigoma ambapo ametaka...
Watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Tabora sasa kuondolewa mkoani humo kwa madai ya kulalamikiwa na wafanyabiashara wa Soko Kuu Tabora.
Wafanyabiashara hao wamefanya mgomo kutokana na madai ya mwenzao kuchukuliwa mali zake na watumishi wa TRA usiku wa kuamkia leo...
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.
Kwa...
Jaokuwa Ni nchi ndogo yenye watumishi wengi kuliko Tanzania tuangalie tu jinsi Kenya inavyohudumia vizuri walimu wake kuliko Tanzania.
Kenya iko na watumishi milion 1 wa umma ukilinganisha na lakisaba tu wanaohudumia umma mkubwa Sana Tanzania. Hii inamaanisha utumishi kenye uhudumia wateja...
Habari ya sikukuu
Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana...
Mheshimiwa Ummy Mwalimu:
Heshima yako Odo Ummy, Amani ya Mungu iwe juu yako, natumaini barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na ustawi bora. Kwenye wizara ya Afya, Naweza kusema Bila shaka jitihada zako ziko bayana kwa kila Mwananchi. Hata hivyo, ningependa kukushirikisha wasiwasi wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.