watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Kinachofanya watumishi wa Serikali Tarime/Rorya kuuwa na wananchi ni hiki hapa.

    Angalia kwa umakini
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mwakilishi wa Wafanyakazi nchini ampongeza Rais Samia kwa kujali Maslahi ya Watumishi nchini

    Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate kufuatia Sikukuu ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro amempongeza Rais Samia kwa kutoa hotuba iliyozidi kuleta matumaini mazuri kwa wafanyakazi wote nchini. Mhe...
  3. Erythrocyte

    TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  4. Njegele

    Malalamiko ya watumishi shule ya secondary Bulima

    Leo ikiwa ni siku ya wafanyakazi duniani, khari ni tofauti kwenye shule ya secondary Bulima. Shule hii inamilikiwa na umoja wa wazazi Tanzania (CCM) Kwa mwaka huu(2023) shule imejifunga baada ya kukosa wanafunzi. Hasa tatizo lipo Kwa watumishi ambapo mpka Sasa uongozi wa shule hautaki...
  5. Ex Spy

    Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi

    Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
  6. R

    Wizara ya Habari acheni kuonea watumishi maskini, mnawasimamisha kazi waliowashauri mtoe fedha za matengenezo ya mfumo wa umeme mkakataa?

    Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda; unajiuliza Nani kawaambia wizara kama hitilafu ilivyotokea inahitaji tenda? Maana yake wanayo...
  7. B

    Ushauri: Rais Samia tunaomba utamke kesho kuwarudishia misharaha watumishi walioshushwa mishahara yao

    Ni ushauri na ombi kwa Mh. Rais, ikimfaa awarudishie mishahara watumishi wote mishahara yao iliyoshushwa. Ni vyema ikimfaa alizungumze hili kesho siku ya mei mosi, ili kujenga umoja wa kitaifa na kujali watumishi, Tunakupenda sana Rais wetu, jemedari Samia Suluhu Hassan.
  8. Fukua

    Mei Mosi imekaribia, Rais Samia andaa neno/tendo la faraja kwa watumishi wako waaminifu

    Watumishi ambao ni daraja kati ya serikali na wananchi wanaisubiri hii siku kwa matumaini makubwa sana. Kundi hili lilibanwa mbavu na raisi aliyekutangulia ingawa haikuwa kwa Nia mbaya Bali kufunzwa uzalendo kwamba Kuna wakati wa kuumia kwa ajili ya wengine. Walivumilia na kukomaa japo haikuwa...
  9. Mr Q

    Kwanini watumishi hawana hamu na tarehe 1/5/2023 sikukuu ya wafanyakazi? Ni majeraha ya nyongeza ya 23% mshahara?

    Kama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi. Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao...
  10. Stephano Mgendanyi

    Nyumba 52 za Watumishi Zimejengwa Mwaka Huu wa Fedha

    MHE. GODWIN MOLLEL - NYUMBA 52 ZA WATUMISHI ZIMEJENGWA MWAKA HUU WA FEDHA Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema katika mwaka wa fedha 2022/2023 Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga nyumba za Watumishi 52 zenye thamani ya Tsh. Bilioni 3.417 katika Hospitali za Rufaa za Mikoa na...
  11. B

    Ridhiwani: Serikali kuajiri watumishi 30,000 mwaka huu

    Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay.
  12. K

    Hakuna nyongeza ya mishahara kwa watumishi mwaka 2023

    Nimepita huku na kule naona kwenye bajeti 2023/2024 hakuna nyongeza bali matumizi mengineyo yasiyo ya mshahara hii inamaana hakuna nyongeza mwaka huu.
  13. M

    Mikopo ya watumishi ni janga la uchumi

    Leo nikiwa na mbwembwe zangu nimejisogeza hapo bank nikitaka kuchukua mkopo hapo ili niongeze nguvu kwenye mradi wangu wa mifugo. Basi nilivyofika bank nikampatia afisa mikopo salary slip yangu baada ya kuikagua akanijibu hivi “unadaiwa mkopo na sisi na nimefanya hesabu hapa ili upate pesa...
  14. K

    CAG: Watumishi Halmashauri ya Ngara warejeshe Milioni 45.99

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali (CAG) ameitaka Ofisi ya Rais TAMISEM kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa kwa watumishi waliohusika na upotevu wa fedha za mapato ya ada za leseni, ikiwa pamoja na kuhakikisha jumla ya Sh. Milioni 45.99 zinarejeshwa kutoka kwa watumishi husika na...
  15. kagoshima

    Tuna namna moja tu ya kudhibiti utendaji mbovu wa watumishi wa mahospitalini na kwenye taasis zingine

    Nitolee mfano Morogoro referral hospital, utendaji wa madaktari na wauguzi ni mbovu sana. Rushwa, neglegence, wizi wa dawa, impolite languages za wauguzi na baadhi ya madaktari, yaani vurugu tupu kwenye hospital iliyo katikati ya jiji morogoro. Kwavile mfumo wa opras wa kutathimini utendaji wa...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Watumishi wengi wa Umma huenda kazini kwa lengo la kupiga dili tu

    Habari! Nikiwa kwenye utumishi wa umma kwa miaka karibu 8 sasa nina experience ya kutosha kuhusu utumishi na maisha ya utumishi. Kama mlinzi msomi mwenye shahada ya HRM nimefanya utafiti wa kutosha na kujiridhisha kuwa watumishi wa umma % kubwa wanakwenda kazini huku kichwani wamebeba mawazo...
  17. Kamgomoli

    Viwango vya Michango ya Mwenge kwa Watumishi

    Hili la mwenge litafakarisha sana. Iringa kila mtumishi kaagizwa kutoa mchango kama ifuatavyo. 1. Watendaji kata 30,000/= 2. Waratibu Elimu 30,000/= 3.Watendaji wa mitaa 15,000/= Pia watendaji wa mitaa wanatakiwa kuchangisha fedha mitaani huku kila mmoja akipewa malengo ya kiasi cha...
  18. Stephano Mgendanyi

    Ridhiwani Kikwete amezitaka Taasisi za TPSC na Uongozi kuandaa programu za mafunzo zitakazoboresha utendaji kazi kwa Watumishi na Viongozi

    TPSC NA TAASISI YA UONGOZI ZATAKIWA KUANDAA PROGRAMU ZA MAFUNZO ZITAKAZOBORESHA UTENDAJI KAZI WA WATUMISHI WA UMMA NA VIONGOZI. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekitaka Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na Taasisi ya...
  19. MoseKing

    Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba. Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Mungu hahitaji Zaka na Sadaka yako, Sadaka na Zaka ni Malipo ya Watumishi wa dini

    MUNGU HAHITAJI ZAKA NA SADAKA YAKO, SADAKA NA ZAKA NI MALIPO YA WATUMISHI WA DINI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani "Mtolee Mungu" " Hiyo ni sadaka Kwa Mungu wako" " Unamnyima Mpaka Mungu anayekupa uhai" Na kauli zingine kama hizo, ni Utapeli mtupu. Kuna Ile unaambiwa" mtolee Mungu ili...
Back
Top Bottom